Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,206
- 1,465
Tumeona nyaraka za viongozi wa Dini ktk kujikinga na huo ugonjwa wa Corona! Mchungaji wetu alipobanwa na Wazee wa Kanisa kama hali ni mbaya kwanini hufungi kanisa watu wasalie nyumbani?
Akatujibu kama mnavyoona tangu Jan mpaka Feb tumepata msiba mmoja. Haya mengine ni kufuata Viongozi wa juu wanavyotaka. Pia akasisitiza mgonjwa mwenyewe alikuwa na kisukari na hofu ilimzidi ndio maana akafa.
Kwa kweli hali ingekuwa mbaya hawa wachungaji na mashehe wasingekuwa wanaoruhusu waumini wajae! Tena hawavai barakoa. Naangalia sherehe za KKKT hapa Ask Shoo na timu yake hawana barakoa. Kanisa zima nimezihesabu hazifiki 10.
Ndg zangu propaganda za mitandao ni nyingi. Tunashukuru Viongozi wa Dini kutoa waraka. Hawakuzuia waumini kwenda ibadani Kwa kuwa wanamuamini Mungu.
Tuache kuinenea nchi yetu au kuiwazia mawazo mabaya! Hata Bwana ametusaidia! Tutavuka. Amen