kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Yesu alitoa muongozo na majibu ya maswali ya taratibu za talaka kwenye ndoa, kwa nini watawa wa kanisa katoliki hawaoi?

    Kwenye Suala la kutoa talaka: Yesu aliwajibu wafarisayo walipomjaribu; Wakamuuliza: “Basi, kwa nini Musa aliagiza kutoa cheti cha kumfukuza na kumtaliki?” 8 Akawajibu: “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Ninawaambia...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mchungaji na waumini wanaowapinga kamchape wachezea kipigo kizito kutoka kwa wananchi

    kigoma ni mkoa mgumu sana ukianza kugusia suala la kutokomeza Kamchape
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji apigwa na wananchi wa Kigoma kwa kuzuia waganga wa kienyeji "Kamchape" wasiingie eneo la kanisa kutafuta uchawi

    Mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi. waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawaachia huru waumini wa Kanisa la Watch Tower waliokataa watoto wao wasipewe Chanjo ya Surua

    RUKWA: Mahakama Kuu, Kanda ya Sumbawanga imewaachia huru Wachungaji na Waumini saba wa Kanisa la Watch Tower Wilayani Kalambo waliohukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kuzuia Watoto walio chini ya umri wa miaka mitano kupewa chanjo ya Surua. Imefahamika hukumu iliyotolewa kwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Mlinzi wa Kanisa anayetuhumiwa kumlawiti Mtoto Muimba kwaya kwenye vyoo vya Parokia apandishwa kizimbani

    Mtuhumiwa Baraka Benedicto ambaye kabla ya kutiwa mbaroni alikuwa mlinzi katika Kanisa Katoliki la Sinza, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi-Sinza, amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kumuingilia mtoto kinyume na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kudaiwa kumlawiti Mwanafunzi, Padri asimulia kilichotokea

    Paroko wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi - Sinza, Padre Josephat Celestine Muhoza amesema kuwa Kanisa lao lina taarifa kuhusu tuhuma za mlinzi wao mmoja anayetambulika kwa jina la Baraka kudaiwa kuhusika na tukio la kumlawiti Mwanafunzi wa darasa la Tano mwenye umri wa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Madai ya Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kumlawiti Mwanafunzi, mama wa Mtoto aomba Serikali imsaidie

    Baada ya member wa JamiiForums kuripoti madai kuwa kuna Mlinzi wa Kanisa Katoliki la Sinza kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wa kiume anayesoma Darasa la Tano katika Shule ya Msingi Sinza ya Jijini Dar es Salaam, kuna mwendelezo wa taarifa hiyo. Andiko hilo la awali lipo hapa - Serikali imsaidie...
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Waumini 15 wa Kanisa Katoliki Nchini Burkina Faso wauawa katika shambulio la kigaidi

    Raia 15 waliuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi kwenye kanisa katoliki wakati wa ibada ya Jumapili kaskazini mwa Burkina Faso, afisa kwenye kanisa hilo alisema. “Tunataka kuwafahamisha kuhusu shambulio la kigaidi ambalo lililenga jamii yetu ya kikatoliki katika kijiji...
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja akamatwa baada ya kushambulia Kanisa Katoliki Zanzibar

    Mtu mmoja ambae jina lake halijafahamika amevamia Kanisa Katoliki, St. Joseph Cathedral huko Zanzibar leo asubuhi. Mtu huyo amefanya uharibifu mbalimbali ikiwemo kuvunja sanamu kanisani hapo leo asubuhi. === Zanzibar Mtu mmoja aliingia katika mazingira ya kanisa maarufu la minara miwili mjini...
  10. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Naanzaje kumshitaki kiongozi wa kanisa kupitia vitengo vyao vya kanisa ikiwa ameninyanyasa, kunipora vitendea kazi na kutishia kuniuwa?

    Habari za majukumu wapendwa,jambo hili linanitesa sana nafsi yangu,limeharibu maisha yangu yote kiujumla,sasa hata kuilea familia yangu yenye mke na watoto wanne imekuwa ni ngumu sana kutokana na kiongozi huyu wa dini kuchukua kitendea kazi changu kikuu katika ofisi yangu(ni mwaka takribani wa...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Papa na Vatican wataja maeneo ambayo kanisa la RC wanafanya katiba mpya, bandari na tume yauchaguzi hayamo

    Pope Francis meets with President of Tanzania Pope Francis holds an audience with President Samia Suluhu Hassan of the United Republic of Tanzania, expressing their joint commitment to promoting peace in the world. By Deborah Castellano Lubov Pope Francis received the President of the United...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Kanisa lenye fimbo za upako

    Angalia hapa jinsi waumini wanavyocharazwa fimbo za upako na mchungaji. Nini maoni yako?
  13. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Kanisa Katoliki lagoma kuendesha Ibada ya misa ya mazishi ya Thadei Ole Mushi kwa sababu ALIPINGA WARAKA WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC) Uliopinga uuzwaji wa Bandari, uliotolewa tarehe 18 August 2023 na TEC. Thadei Ole Mushi alipinga hadharani waraka wa TEC, kupitia...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Ashiriki Misa ya Kutabaruku Kanisa la RC Visiga, Aipongeza WAWATA

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameupongeza Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) kwa kuendelea kuwa mstari wa mbele kujitoa katika maendeleo ya kanisa na kutegemeza kazi za Kanisa Katoliki Tanzania. Bashungwa ameeleza hayo leo Feburuari 10, 2024 katika Misa Takatifu ya kutabaruku...
  15. ward41

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa taifa la Israel na kanisa

    Taifa la Israel ndiyo msingi wa kanisa. Ukiangalia emblem ya Israel ni kinara cha TAA Saba kama kinavyoonekana hapo Kwa wale wanaoelewa maandiko, Kanisa LA Mungu limeundwa juu ya msingi wa makanisa Saba. Makanisa hayo ni efeso, smyrna, pergarmo, thytira, sardi, Philadelphia na leodecea. Hayo...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ufilipino laua magaidi waliolipua kanisa Katoliki

    Hawa magaidi wenye mlengo wa uislamu wamekua kero kote duniani, sikujua hata Ufilipino na huko wameliamsha, wanaendelea kuuawa. Inashangaza hata kwa nchi ya Ufilipino ambayo asilimia kubwa (93%) ni Wakristo, yaani jamaa wanajitutumua tu. ========= Government troops killed nine members of a...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

    Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Hassan atafanya ziara ya kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January...
  18. CRISTA

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza acha kulichafua Kanisa la KKKT

    Hivi karibuni hapa Jamii Forum tumeshuhudia Tamko kutoka kwa Askofu Bagonza likimshutumu Aliyekuwa Askofu Mkuu wa KKKT Dr.Fredrick Shoo. Kauli hii inasikitisha sana ikizingatiwa ni Kiongozi Mkubwa sana wa Kanisa la KKKT. Maswali ya muhimu kwako 1.Kwa Nini uliamua Kutoa Mambo ya KKKT...
  19. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

    Friends and Our Enemies, Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'... Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui...
  20. excel

    JamiiForums Tanzania Geita: Aliyevamia Kanisa la RC Geita na kuharibu mali za Tsh. Milioni 48 ahukumiwa miaka mitatu jela

    Elpidius Edward, mkazi wa Mtaa wa Katundu mjini Geita amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu kwa kosa la uharibifu wa mali zenye thamani ya zaidi shilingi milioni 48.2 za Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki Geita. Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemtia hatiani Elpidius baada ya kuridhishwa na...
Back
Top Bottom