kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Mdau aliyeripoti kelele Mtaa wa Alesika shukrani zikufikie huko ulipo, sasa imebaki Kanisa la Angles Ministry kutumia Sound Proof

    Wakuu kwema? Kuna mdau alileta kuhusu suala la Mtaa wa Alesika, Mbezi Beach kwenye baa na Kanisa la Angels Ministry kuwa kero kutokana na kulele kubwa kutoka kwao na walikuwa kikesha usiku kucha. Upande wa Pub ya Amigos tunashukuru suala hili wamejirekibisha, shida imebaki kwenye kanisa la...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kanisa hili linanikera; nifanyeje?

    Kuna kanisa limejengwa chini ya dirisha langu. Usiku na mchana, linapiga kwaya kwa kutumia mabomba katika ibada zao. Wao hawajali kama watu wanalala au wako macho; wanashikilia ibada yao kuwa mbele. Mara nyingine, ibada yao huendelea hadi saa 8 usiku huku wakitumia mabomba. Nifanyeje?
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima, anayofanya askofu mwanamapinduzi ni wewe unamtuma? Kwanini hujamfukuza kanisani kwako?

    Ndugu yangu askofu Josephat Gwajima wewe ndiye baba askofu mkuu wa makanisa yote ya ufufuo na uzima Tanzania, wewe ni mbunge na ni kada wa chama Cha mapinduzi unakiona anachofanya mojawapo ya wachungaji wako pale Kibaha kwa Mathias ? Askofu mwanamapinduzi amelibadili kanisa la Kibaha kuwa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshiriki meza ya Bwana Kanisa Wasabato salasala, wanaume wamewaosha miguu wake zao!, kawaida jinsia moja hutawadhana kama alivyofanya Bwana Yesu

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeshiriki meza ya Bwana (Lords Supper) kama ilivyoagizwa na Bwana wetu Yesu Kristo kama njia ya kumkumbuka. Hata hivyo nimeshuhudia utaratibu mpya kwenye zoezi la kutawadhana/ kuoshana miguu ambao sijawahi kushuhudia hata siku moja ndani ya Kanisa Kawaida watu...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kenya: Kanisa lapewa onyo kwa kupiga kelele usiku, waenda na kipimo alfajiri

    Baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa raia Mkuu wa Idara ya Mazingira Geoffrey Mosiria, ameliomba moja ya kanisa nchini Kenya, kudhibiti kiwango cha kelele ili kuepuka usumbufu kwa jamii. Mosiria amesisitiza umuhimu wa kanisa hilo kuhakikisha kuwa viwango vya kelele vinazingatia sheria na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mababu zetu wa zamani, kimsingi hawakujua kanisa wala msikiti wako motoni au ilikuaje?

    Wakuu. Leo swali langu ni dogo sana kama nilivoandika huko juu, Mababu na mabibi zetu wa enzi na enzi hizo miaka hiyo mingi iliyopita, Ambao walikua hawajui kanisa wala msikiti na hawakujua kusoma wala kuandika muda huu wako motoni au wako wapi hasa,
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kanisa jipya la Anglikana laanzishwa Tanzania, Kuzinduliwa Septemba 15

    Kanisa jipya la Anglikana lijulikanalo kama Episcopal Anglican Province Tanzania linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 15 jijini Wilaya ya Kongwa jijini Dodoma. Kuzinduliwa kwa kanisa hilo kunatajwa kuwapa chaguo waumini wote wa Anglikana kuamua waabudu kanisa lipi kati ya hili jipya na lililopo...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi: Kanisa ni katoliki mengine ni vibanda tu

    Habari JF, Hapa pastor Dominic -kiboko ya wachawi alikuwa na maana gani? Je, na yeye alikuwa ana miliki kibanda? Je, hii kauli ina ukweli kiasi gani?
  9. Mjuba og

    JamiiForums Tanzania OCD wa Dodoma na OCCID wafunga Kanisa la AGGCI Kizota Dodoma

    Katika Hali isiyokuwa ya kawaida, Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Dodoma Mjini na Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya Jumapili tarehe 1 September 2024 walimbatana na wananchi waliovamia Kanisa la AGGCI Kizota kinyume cha Sheria wakati Ibada ikiendelea na kufunga Kanisa Hilo ambalo kwa sasa lipo chini ya...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi kanisa lilivyovunja ndoa ya binamu yangu na kumfuja mali za talaka, wanawake wanaoabudu manabii wa mchongo wamechotwa akili huwaambii kitu

    Ni kisa cha miaka 10 iliyopita lakini mhusika anapitia kipindi kigumu mpaka sasa Ilifikia kipindi anashinda sana kanisani mpaka anaacha watoto nyumbani, hapiki analipa kanisa kipaumbele, kuchukua pesa za savings kwajili ya zaka na sadaka za kitapeli, anaweza kesha kanisani, n.k. Mume wake...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mexico: Mchungaji wa Kanisa auza Viwanja vya Mbinguni,mita ya mraba TSH. 265,000 adai alipewa kibali na Mungu

    Huko Mexico Kuna mchungaji mmja wa Kanisa la Kilokole ameingiza Mamilioni ya pesa Kwa mauzo ya viwanja vya Kanisa lake vilivyopo Mbinguni. Bwana huyo amedai Alipewa Kibali na Mungu kufanya mauzo hayo mwaka 2017 hivyo Waumini wachangamkie mapema kabla havijaisha. Taarifa hii ililipotiwa 28...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Karibuni sana kwenye makambi Kanisa la Waadvetista Wasabato Salasala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Kwa furaha kubwa nawajulisha kuanza Kwa makambi hapa Kanisa la Waadvetista Wasabato salasala Nyote mnakaribishwa sana Vipindi vizuri vyenye kutoa elimu zote za kiroho na kidunia pia Kwaya za kutosha zitahudumu Usipange kukosa mtu wa Mungu Mtaarifu mwenzako Mungu...
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kanisa katoliki adakwa na vyombo vya usalama

    ⚠️😳 Kiongozi wa kanisa Katoliki adakwa na vyombo vya usalama Marekani na kuvuliwa wadhifa huo kwa kuishi maisha ya kifahari kwa kufanya utapeli wa zaidi ya shilingi bilioni 1.7 ($650k) ambazo ni michango ya wahisani na waumini kwa ajili ya kusaidia wagonjwa/wahanga wa vita nchini Lebanon...
  14. Girland

    JamiiForums Tanzania Vita ya madaraka Makanisani ilivyoanzisha Kanisa halisi kutoka Siloam!

    UMEWAHI kusikia kanisa liitwalo KANISA HALISI LA MUNGU BABA? Wanavaa nguo nyeupe kanisa zima, ibada zao nyingi zinarushwa STAR TV?Hawataji jina MUNGU wala YESU wao wanaita CHANZO HALISI 😁Hapa nakuletea historia fupi ya kiongozi huyo maarufu kwa jina la ELISHA ELIYA MIAKA 1000 (anaandika michuzi...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki latoa tahadhari ya homa ya nyani

    Barua hii hapa USSR
  16. Safari_ni_Safari

    JamiiForums Tanzania Tanganyika Packers: Eneo la Umma, palipokuwa Kiwanda kilichotoa ajira zaidi 2000, sasa pana Kanisa! Watu wanauziwa udongo, mafuta na maji

    Kuna mdau yeyote mwenye taarifa na eneo hili pale kawe(263 acres) na nini mustakabali wake? Inaonekana wanasiasa na viongozi wa dini wamejimilikisha. Nini hatma ya mashine zilizokuwemo? Zilienda wapi?
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Afrika kusini kuna kanisa linamuabudu rapa lil'Kim kama mungu wao

    In South Africa, there is a church in which they worship RAPPER LIL'KIM as their GODDESS. The Church is known as " THE HOLY TEMPLE OF GODDESS LIL'KIM" and it operates in form of a secret society. It is located at KEMPTON PARK ( 45 MINUTES DRIVE TO DOWNTOWN JOHANESBURG) They have a very...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Uimbaji wa aina hii sio sahihi ndani ya kanisa la kisabato.

    Nani aliyeanzisha huo uhuni wa kwaya kuimba kama wasanii wa bongo flavour na playback? Mchungaji Paul Semba yuko sahihi kukemea huo ushenzi. Hata katoliki mnaowasimanga hawawezi kufanya hiki kinachofanyika ndani ya SDA. Mkataeni shetani mapema kabla hajazidi kuharibu mambo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nani analifahamu kanisa la Shincheonji Tanzania?

    Habari! Kanisa hili ni jipya, lilifunguliwa Tanzania mnamo mwaka 2015. Kanisa hili lina makao yake makuu nchini Korea Kusini. Kuna mengi nahitaji kuyafahamu kutoka kwa watu ambao wanafahamu abc's za kanisa hili. Wewe unalifahamu vipi kanisa la SCJ Tanzania? Karibuni tufahamishane!
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi ashtakiwe arudishe pesa za watu, na afungwe iwe fundisho kwa wahuni wote wa aina hii

    Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako akitapeliwa wala kutaharika Tunakushukuru kwa yote ktk jina la mwanao Yesu Kristo alie hai Huyu Baba...
Back
Top Bottom