kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania D.light ni kampuni ya utapeli na bado Serikali inafumbua macho

    Hii kampuni ya D.light ilikuja na mfumo wa solar ambayo ina kifaa maalumu cha kulipa ili kuweza kupata huduma ya umeme. Baadae wakaja na simu ambazo unalipa kwa siku,wiki,mwezi ikiambatana na kianzio kulingana na simu ilivo au kifaa chochote. Hii kampuni sikuweza kuifahamu vizuri ila nimekuja...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Imekaaje Bill Gates alivyofukuzwa Microsoft, kampuni aliyoianzisha mwenyewe?

    Inakuwaje wanaJF! Ni miezi michache mwaka huu tu ilikuja kugundulika kumbe Bill Gates alilazimishwa kujiuzulu kwenye board ya Microsoft na kujikita zaidi katika faundesheni yake na aliyekuwa mke wake Melinda. Sababu zenyewe za kumlazisha a jiuzulu ni nyepesi sana halafu za kipuuzi kwa mtazamo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania JATU PLC wataharibu imani ya Watanzania kununua hisa kwa kampuni ndogo za Watanzania

    Jatu PLC imeanza kunuka wizi mapema kabla hakuja kucha tayari wakulima wadogo wanadai hela zao za mazao hawajalipwa kwa muda mrefu huku wakulima wakubwa pia wakidai hela zao. Bidhaa zimeshuka Bei haswa maharage Wana nunua kwa Bei chini ya kiwango walichosema mbali na kwamba walisema mazao yana...
  4. JamiiForums Tanzania Kununua stocks/Hisa za Kampuni za Marekani

    Wakuu habari. Nimehangaika sana kupata platform ninunue hisa za Lucid Motors,kila App nayopata hawasapoti Tanzania.Sasa nitumie njia gani?
  5. JamiiForums Tanzania Marekani yaiwekea vikwazo kampuni ya programu ya Pegasu

    Marekani yaiwekea vikwazo kampuni ya programu ya Pegasu Serikali ya Marekani imeiweka kampuni ya Israel inayotengeneza programu ya udukuzi ya Pegasus kwenye orodha ya makampuni mabaya, ikiishtumu kwa kutengeneza na kusambaza programu ya ujasusi kwa serikali za kigeni, zilizoitumia vibaya...
  6. JamiiForums Tanzania Wahanga wa bima za kampuni za ajali za magari tuonane😠

    Jamani, kumetokea utitiri wa kampuni za bima za magari nyingi sana nchini kiasi kwamba na makanjanja wamepetia humo humo. Makampuni haya ni mepesi sana kupokea hela kutoka kwetu wateja...lakini mteja lilikukuta la kukukuta la ajali ya gari wanaingia mitini kwa speed ya 5G. Wakitoa vijisingizio...
  7. JamiiForums Tanzania Lini Kampuni ya Azam Marine itaanza Safari Zake za Boti Mpya ziwa Victoria?

    Uzoefu wake kwa kweli kwa sasa inabidi aongeze mipaka!? Watu wale maisha ya kisasa.. Tunamkaribisha KANDA YA ZIWA VICTORIA... UTAJILI WA MTU MMOJA UNA MAANA KUBWA DUNIANI
  8. JamiiForums Tanzania Facebook inaweza kujikuta kwenye kesi na logo ambayo ni kampuni nyingine

    Sijui kwanini facebook alikurupuka kutengeneza logo ambayo kumbe ni ya kampuni nyingine. Hawa watu wanamsubiria kutambulisha na kumfungulia kesi waje kumfilisi.
  9. JamiiForums Tanzania Facebook wabadili jina, sasa kuitwa Meta

    Hivi karibuni facebook walitangaza kuwa watabadili jina. Leo wametangaza jina lao jipya kuwa ni Meta. Meta ilikuwa initiative ya mke wa Mark, leo Facebook imebadili jina na kujiita Meta. Nguvu ya mapenzi hii. Karibu meta. --- Facebook has changed its corporate name to Meta as part of a...
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Scancem yainunua Tanga Cement

    Dar es Salaam. Kampuni ya Scancem inayomiliki Twiga Cement imeafikiana na Kampuni ya Afrisam kununua asilimia 68.33 ya hisa za Tanga Cement ifikapo Juni 2022. Bei ya hisa moja itakayolipwa na Scancem kwa Afrisam ni Sh3,157, hivyo kufanya jumla ya fedha zitakazolipwa kufika Sh137.329 bilioni kwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mobisol engie, kampuni ya sola ya kitapeli nchini Tanzania

    Tanzania ni moja ya nchi iilizofungua milango ili Makampuni mengi yaje kuwekeza nchini kwenye Sekta mbalimbali hususani Sekta ya Nishati. Moja ya Kampuni hizo ni Kampuni ya Sola ya Engie ambayo zamani ilikuwa ikiitwa Mobisol. Kampuni hii yenye Makao Makuu yake Mkoani Arusha ni Kampuni ya...
  12. JamiiForums Tanzania Viashiria vya kutambua taasisi, shirika au kampuni yenye mafao mazuri kwa wafanyakazi

    Utawatazama waajiriwa wake, wengi wanakuwa na afya nzuri, uso na mwili umetakata, wana sura za furaha, wana magari mazuri haya makubwa makubwa, wanakuwa na furaha ya kumuhudumia mteja n.k Lakini ukienda kwa taasisi, shirika au kampuni ambapo wafanyakazi wake hawana furaha, wako kinyonge nyonge...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Waafrika wafurahia huduma ya bei nafuu inayotolewa na kampuni za China

    Kila Jumamosi alasiri, Levin Chama mwenye umri wa miaka 11 anakwenda kwenye Kituo cha Mtandao cha Konnect Hub kilicho kwenye mtaa wa 44 wa Githurai wa mji mkuu wa Kenya, Nairobi, ili kusikiliza masomo ya lugha, utamaduni, hisabadi yanayotolea na walimu wa nchi mbalimbali kupitia mtandao wa...
  14. JamiiForums Tanzania Ni aibu Tanzania kutokuwa na Kampuni zake yenyewe hasa Ujenzi

    Tanzania tuko na Engineers wa kila aina, aina zote za Engineers wanapatikana Tanzania. Ni kawaida sana sana kuwasifia Engineers as individuals wanaoibuka na Tuzo mbali mbali au wanakua recognized duniani. Mfano, kuna Electrical Engineer mkubwa sana mtanzania mweusi kabisa ana miliki Kampuni...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada anaejua Kampuni inayosafirisha mizigo kwa meli kutoka UK

    Habarini wakuu wa jukwaa. Naomba kufahamu yeyote anaejua kampuni ya uhakika wanao safirisha loose cargo kutoka UK. Kuna Machine nataka ninunue zije kwa maji, kuzipandisha ndege kwa uzito wake gharama ya usafiri ni bei ya kiwanja. Pia Mashine nyingi zimejaa madukani, wafanyabiashara wanaleta...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kenya yatanua hadi Ivory Coast

    Mwendo wa kuendelea kutia Afrika yote kwapani na kukimbia nayo. Hapa Afrika Mashariki na Kati tulishamaliza mchezo, tumefika pia SADC sasa tunelekeza pua. Magharibi na Kaskazini mwa Afrika, hili bara lina watu zaidi ya bilioni, yaani parefu sana. ====== Sendy Ltd, a Kenyan digital logistics...
  17. JamiiForums Tanzania Agiza simu kutoka china kwa bei ya viwandani na kampuni ya AA Tanch Trading na upate offer ya kipindi hiki

    Haya ni maneno kutoka kwa moja ya wateja wetu: Wa kampuni ya AA Tanch Trading Company. Kwanza nianze kwa kusema mimi mwenyewe pia, nlikua moja ya watu wanaotafuta kampuni nzuri na ya kuaminika. Ya kuagiza vifaa mbali mbali kutoka china. Lakini baada ya kusikia kampuni hii ya AA Tanch Trading...
  18. JamiiForums Tanzania Kampuni za kupima ardhi na mipango miji (Urasimishaji)

    Ni miaka mitatu sasa tangu kuwepo kwa vuguvugu la Makampuni ya kutoa huduma za Urasimishaji Viwanja na mashamba kwa gharama ya 250,000 (baadaye gharama ikashuka kuwa 150,000). Lengo likiwa mwenye shamba /viwanja kupewa hati ya umiliki. Kwa maeneo ya Tegeta Madale, Mivumoni, Goba, Msigani jijini...
  19. JamiiForums Tanzania Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

    Hakika Rais Samia anaupepo kwelikweli | Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575bl kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70 " Hakuna kama Rais Samia " Wakati uwekezaji kwa miezi sita ya Rais Samia ukikua kwa 400% kutoka $510M March 2021 hadi $2.98bl Sept karibu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Umiliki wa ardhi uwe wa Mtu binafsi au kampuni binafsi (inayomilikiwa na raia). Tuachane na hii ya kumilikiwa na Rais

    Katika uchumi ardhi ni moja wapo ya rasilimali muhimu. Katika biashara na uwekezaji, ardhi ni kati ya rasilimali muhimu sana. Hivyo, umiliki wa rasilimali hii ni jambo la muhimu sana katika kutumia hii rasilimali muhimu. Juu au ndani ya rasilimali hii, rasilimali zingine huwekwa, za muda mfupi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…