kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kampuni ya PUMA imehamua kuachana na kusambaza na kuuza oil za Castrol?

    Mimi ni mtumiaji wa Oil za Castrol kwenye magari ya Ulaya na Japan. Juzi nilikuwa natafuta oil ya Castrol 5W30 Edge Full Synthetic kwenye filling stations za PUMA sikuweza kupata, sana sana walikuwa na oil za Castrol chache ikiwemo 5W40 Edge, nilizozikuta ni PUMA Oil ndizo wamezijaza nadhani ni...
  2. JamiiForums Tanzania Nacy Pelosi na Kampuni yake ya NVIDIA na mgogoro ndani ya USA ni upenyo kwa China

    Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists. China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave ili kuweka dunia iwe salama. Nchi nyingi zitamwamini mchina kuliko marekani. Vilevile kwa namna...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni zinazofanya shughuli zake nchini Bila kuwa na vibali/usajili, serikali inatambua(waliopewa dhamana ya kushughulikia hayo)?

    ,
  4. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    Wanajamvi niko na tatizo nilichukua Sola ya ZOLA kwa kulipia kidogo kidogo kwanza awali nililipa 75000 then iliyobaki nalipa kwa mwezi sasa leo napiga HESABU nimeshalipa 550,000 halafu Leo naambiwa bado nadaiwa 320,000 hivyo ukijumlisha JUMLA unakuwa 870,000 zola yenyewe inawasha taa nne tu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa kampuni za betting Tanzania, nini maoni yako?

    Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2015 Hadi sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la kampuni za michezo ya kubeti kuja kuwekeza Tanzania. Je nikutokana na kuimarika kwa huduma za internet, au upatikanaji mzuri wa njia za malipo ya simu? Je kutokana na uwekezaji wanaokuja nao mathalani kila kampuni...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mysol engie kampuni ya sola ya kitapeli na kijambazi, serikali chukueni hatua

    Wapendwa wana Jamii Forums, Niliingia Mkataba na kampuni ya sola ya Engie Mysol ambayo zamani ilikuwa ikiitwa MOBISOL wanifungie Sola ya watt 200 nyumbani kwangu Biharamulo ili watoto wangu waweze kusoma vizuri kwani bado hatujapata umeme wa TANESCO. Cha kushangaza nimeshalipia malipo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Unahitaji kusajili kampuni na nembo za biashara? Nipigie

    Habari ya jioni wakuu. Endapo unahitaji: 1. Kusajili kampuni, 2. Jina la biashara 3. Alama/nembo za biashara 4. Kufuatilia kibali BoT kwa ajili ya kampuni za kukopesha 5. Nk usisite kunicheki nitakusaidia. 🔥Kampuni ni ndani ya SIKU 3 TU 🔥Business name ni MASAA 24 TU. Huduma zangu ni uhakika...
  8. JamiiForums Tanzania Jamani kwenye uelewa na hii kampuni anisaidie "RAISE YOURSELF TO HELP MANKIND(RYTHM)" Foundation

    Jamani kama heading inavyojieleza hapo juu, mwenye kuijua vyema hii kampuni/ foundation anielekeze vizuri. Asanteni
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nawaza kufungua kampuni ya kilimo ili wanaotaka kulima walime bila kuingia shamba

    Watu wangu wengi wa karibu ni wafanyakazi katika makampuni hapa Dar es salaam lakini wanapenda sana kujihusisha katika kilimo, kutokana na kazi kuwabana na uaminifu mdogo kati ya ndugu au rafiki katika pesa wengi wao wameshindwa kuwekeza kwenye kilimo kuhofia usimamizi wake utakua mdogo sana au...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yavunja mkataba wa kuiuzia korosho kampuni ya Kenya

    Serikali ya Tanzania imesema mkataba wake na kampuni ya Kenya ya kununua korosho tani laki moja umesitishwa. Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Joseph Kakunda , wakati akihojiwa na gazeti la Tanzania la "The CITIZEN" na kusema kuwa kampuni hiyo ya Indo Power wameshindwa kufuata masharti...
  11. JamiiForums Tanzania Nanunua Mitungi Empty ya Gas za Majumbani Kampuni zote

    Habari wakuu, naomba kama kuna anaeuza mtungi wake wa gas anicheki au kama kuna wale wafanyabiashara wa gas wanaoacha biashara zao na kuuza mitungi yao naomba pia niambiwe. Nanunua mitungi yote size zote, idadi yoyote iwe tu ya HALALI na sio ya WIZI hii ni kwa wakazi wa Dar, mwenye mitungi...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kusajili kampuni

    Habari wanaJF? Polen na kazi ya kujenga taifa letu, lengo kuja kwenu ni kuomba msaada kwa mtu au kampuni ambayo wanajihusisha na shughuli za usajili kampuni brela, nahitaji mtu ambae atanifanyia process za usajili wa kampuni kuanzia company name registration untill taratibu ya kufanya malipo...
  13. JamiiForums Tanzania Kero: RC DSM tuondolee kampuni zinazokamata magari ni kero na zinachochea rushwa rushwa

    Kilio chetu kwa mkuu mkoa DSM sisi wananchi mkoa DSM kuna tabia sasa imerudi ilikuwepo zamani ikaondolewa wakati fulani sasa imerudi tena kwa kasi. Kuna kampuni zimesajiliwa sijui na TARURA kukamata magari barabarani pale unaposimama na kupaki mahali au gari ikiwa imeharibika njiani. Kwanza ni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Makubaliano kati ya Serikali na kampuni ya madini ya Barrick, yametekelezwa kwa kiwango gani mpaka sasa?

    Naomba kujua hawa wanaume wa kampuni ya Madini ya Barrick wametekeleza makubaliano gani mpaka sasa maana tuliahidiwa mengi na makubwa ila kwa sasa ukimya umetawala tofauti na kilichokuwa kinahubiriwa majukwaani. Kwa mfano, ujenzi wa smelter umeshaanza? Na kama umeanza, umefika asilimia ngapi...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kazi sana kuikagua kampuni inayochimba madini au mafuta endapo muda wa kugawana faida umefika au bado.

  16. JamiiForums Tanzania Je, ulisajili kampuni na hujafungua e-filing ya TRA?

    Habari ya jioni wakuu. Kuna baadhi ya watu walifungua/kusajili kampuni lakini wakawa kama wameitelekeza iwe ni kwa kufanyia kazi kwa muda mfupi na kuiacha ama kutoifanyia kazi kabisa baada ya kuisajili. Mjue kuwa taarifa zenu zipo TRA tena nyie mliofungua kampuni kuanzia mwaka 2018 ndio hadi...
  17. JamiiForums Tanzania Mshiriki wa Kampuni ya TEHAMA Iringa Mjini

    Habari wakuu, Natumai mko poa, natafuta kijana mmoja aliyepo Iringa mjini mwenye uwezo mzuri na uzoefu wa kutengeneza Software awe aliyehitimu Shahada ya IT au related programs ili awe mshiriki wangu tufungue kampuni ya IT hapa Iringa Mjni. Kwa info zaidi nicheki PM. Asante!!
  18. JamiiForums Tanzania Naomi Osaka kuja na Kampuni yake ya Mawasiliano ya HanaKuma

    Sijui vijana wetu wa Kitanzania wanafeli wapi. What Is 'HanaKuma' And Why Are KoT Losing Their Heads Over It? Tennis superstar Naomi Osaka during a past tournament. PHOTO | COURTESY HanaKuma, according to Osaka, means “flower bear” in Japanese; and while that sounds cute and all, it has a...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kusajili kampuni

    WAKUU mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu. Jamani nipo kwenye mchakato wa kusajiri kampuni shida niliyokutana nayo brela online kila nikiandika jina la kampuni inaniambia nimekosea jina la kampuni sijajua nakosea nini maana jina ni jipya na wala halifanani na jina lingine naombeni msaada wenu...
  20. JamiiForums Tanzania TRC wavunja mkataba na Kampuni iliyopewa tenda ya kutengeneza Vichwa vya Treni

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limevunja mkataba na kampuni ya Eurowagon ya nchini Uturuki baada ya kushindwa kukamilisha ujenzi wa vichwa viwili vya treni ya umeme na mabehewa 30 ya abiria. Kwa mujibu wa mkataba huo, vifaa hivyo vilitakiwa kukamilika Novemba 2021 lakini kwa kuwa Eurowagon...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…