Kanye West avunja mkataba wa Tsh. Trilioni 2.2 na kampuni ya mavazi ya GAP

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,323
7,963
kanye Gap.png

Rapa na mfanyabiashara huyo ameiandikiwa barua kampuni ya GAP na kuijulisha rasmi kwamba atasitisha ushirikiano wake na kampuni hiyo ya mavazi,

Ushirikiano huo uliokuwa kwenye misukosuko ulianza mwaka 2020, umesababisha West kutoa malalamiko mengi kwenye mitandao ya kijamii katika wiki za hivi karibuni.

Mkataba kati ya West na Gap ulitangazwa awali kama ushirikiano wa kuendeleza ubunifu wa nguo chini ya chapa ya Yeezy Gap.

Siku ya Alhamisi, mawakili wa West walituma barua kwa Gap kuiarifu kampuni hiyo kwamba Yeezy LLC inakatisha mpango huo. Kwa mujibu wa barua hiyo, kama inavyoonekana, Kanye anaituhumu Gap kukiuka makubaliano hayo kwa kutotoa nguo au kufungua maduka ya rejareja kama walivyokubaliana.

===========================

The rapper first joined forces with the retailer for a YEEZY Gap collaboration in 2020, which followed with buzzy releases including recycled nylon jackets, colored hoodies and more. The duo also introduced Balenciaga‘s Demna into the partnership, introducing the YEEZY Gap Engineered by Balenciaga range. During his time with the brand, Ye also transformed Gap’s stores, while most recently debuting a sci-fi campaign starring Candice Swanepoel, shot by Nick Knight.

A report from The Wall Street Journal states that Ye’s attorneys sent a notice of termination to Gap, because the retailer wasn’t releasing apparel or opening YEEZY stores as promised. There will be no more collaborations created, but Gap will be able to sell its existing YEEZY Gap products. Its partnership with Balenciaga also remains unaffected.

“If [these companies] want to play with me — I’ve been playing nice up to this point… [Gap has] to really give me the position to be Ye and let me do what I’m thinking or I have to do the thinking somewhere else,” Ye shared recently. His contract with Gap had originally noted that there would be “as many as five” retail stores by July 31, 2023.

THE WALL STREET JOURNAL
 
Hii inaweza kuwa ni mwanzo wa kuanguka au kuanza kufilisika kwa mtu mzima weezy maana siku chache zilizopita alikuwa na mgogoro na Adidas kihusu masuala ya kimaslahi hayohayo leo tena kaanza na Gap wazungu siyo watu wazuri wataanza kumtengenezea zengwe na kuanza kupewa mascandal kibao mwishowe jela itamhusu kama R kelly na utajiri utakuwa umeisha.
 
Hii inaweza kuwa ni mwanzo wa kuanguka au kuanza kufilisika kwa mtu mzima weezy maana siku chache zilizopita alikuwa na mgogoro na Adidas kihusu masuala ya kimaslahi hayohayo leo tena kaanza na Gap wazungu siyo watu wazuri wataanza kumtengenezea zengwe na kuanza kupewa mascandal kibao mwishowe jela itamhusu kama R kelly na utajiri utakuwa umeisha
Umetoa athari tu, unashaurije sasa kwa huyo Kanye West?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Hii inaweza kuwa ni mwanzo wa kuanguka au kuanza kufilisika kwa mtu mzima weezy maana siku chache zilizopita alikuwa na mgogoro na Adidas kihusu masuala ya kimaslahi hayohayo leo tena kaanza na Gap wazungu siyo watu wazuri wataanza kumtengenezea zengwe na kuanza kupewa mascandal kibao mwishowe jela itamhusu kama R kelly na utajiri utakuwa umeisha.

Sio kweli kabisa ndugu yangu!
Usiyatazame maji ya mto kwa juu bila kujua kina chake walahi
 
Hii inaweza kuwa ni mwanzo wa kuanguka au kuanza kufilisika kwa mtu mzima weezy maana siku chache zilizopita alikuwa na mgogoro na Adidas kihusu masuala ya kimaslahi hayohayo leo tena kaanza na Gap wazungu siyo watu wazuri wataanza kumtengenezea zengwe na kuanza kupewa mascandal kibao mwishowe jela itamhusu kama R kelly na utajiri utakuwa umeisha.

R Kelly alianza upumbavu wake muda mrefu tena wazi wazi kabisa mpaka kwenda kuoa mtoto wa 15 years
Usimfananishe nae kabisa!
 
Hii inaweza kuwa ni mwanzo wa kuanguka au kuanza kufilisika kwa mtu mzima weezy maana siku chache zilizopita alikuwa na mgogoro na Adidas kihusu masuala ya kimaslahi hayohayo leo tena kaanza na Gap wazungu siyo watu wazuri wataanza kumtengenezea zengwe na kuanza kupewa mascandal kibao mwishowe jela itamhusu kama R kelly na utajiri utakuwa umeisha.

R. Kelly na hii issue ni vitu viwili tofauti mkuu. Robert Kelly ni criminal na Ye kavunja mkataba wa kibiashara bila kuvunja sheria mkuu.
 
Ninavyofahamu mkivunja mkataba kuna mtu analipwa fidia. Hapo nani sasa, mzungu au Kanye?
 
Hii inaweza kuwa ni mwanzo wa kuanguka au kuanza kufilisika kwa mtu mzima weezy maana siku chache zilizopita alikuwa na mgogoro na Adidas kihusu masuala ya kimaslahi hayohayo leo tena kaanza na Gap wazungu siyo watu wazuri wataanza kumtengenezea zengwe na kuanza kupewa mascandal kibao mwishowe jela itamhusu kama R kelly na utajiri utakuwa umeisha.
Mgogoro wake na adidas ulianzia kwenye adidas kutompa uhuru anaotaka kwenye ubunifu wa mavazi yake.
Ila kwakweli dunia inafurahisha, zile nguo zake mimi sizielewi. Kuna nguo zilizinduliwa mwezi uliopita zikaisha fasta na zilikiwa zinauzwa si kwenye maduka bali kwenye yale madude ya kuhifadhia taka 😄
 
Hii inaweza kuwa ni mwanzo wa kuanguka au kuanza kufilisika kwa mtu mzima weezy maana siku chache zilizopita alikuwa na mgogoro na Adidas kihusu masuala ya kimaslahi hayohayo leo tena kaanza na Gap wazungu siyo watu wazuri wataanza kumtengenezea zengwe na kuanza kupewa mascandal kibao mwishowe jela itamhusu kama R kelly na utajiri utakuwa umeisha.
Umeelewa nn kuhusu wanasheria kuandika barua kwa kampuni
 
Weezy ni mtu tofauti na Kanye West.
 
Umeelewa nn kuhusu wanasheria kuandika barua kwa kampuni
Law of contract kwa wabongo bado sana , 😀😀pia Ye ni billionaire na businessman sa hivi kwa iyo kuterminate contract ni kawaida haina cha wazungu 😀😀kwani Ye si american
 
Hii inaweza kuwa ni mwanzo wa kuanguka au kuanza kufilisika kwa mtu mzima weezy maana siku chache zilizopita alikuwa na mgogoro na Adidas kihusu masuala ya kimaslahi hayohayo leo tena kaanza na Gap wazungu siyo watu wazuri wataanza kumtengenezea zengwe na kuanza kupewa mascandal kibao mwishowe jela itamhusu kama R kelly na utajiri utakuwa umeisha.
Una mawazo ya kifukara aise.

R. Kelly tamaa. ZA mwili ndo zilimponza
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom