kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wadukuzi wa Korea Kaskazini wadukua kampuni ya silaha ya Urusi

    Ni kampuni kubwa ambayo hutengeneza mizinga ikiwemo ile ya hypersonic, wamedukuliwa kizembe sana tena kwa miezi mitano bila kushtukia.... North Korean leader Kim Jong Un and Russia's Defense Minister Sergei Shoigu visit an exhibition of armed equipment on the occasion of the 70th anniversary...
  2. Mwakilishi wa Kampuni ya N-Card: Taarifa inayosambaa kuhusu Yanga SC kuizidi Simba SC mapato ni Uwongo

    "Moja ya Makubaliano ya Kisheria tukiingia na hivi Vilabu vya Simba na Yanga katika Matamasha yao ni kutotaja Mapato yao na hiyo Taarifa inayosambaa kuwa Sisi N-Card tumesema Yanga SC imeizidi Simba katika Mapato ya Matamasha yao ni ya Uwongo na ipuuzwe imeandikwa na Waandishi Wahuni" amesema...
  3. F

    Hoja ya Zitto Kabwe ya kuunda Kampuni na kugawana mapato na DP World 50% kwa 50% ni ya kijinga!

    Nilimsikia Zitto Kabwe akipendekeza eti tuunde Local Company halafu tugawane mapato 50% kwa 50% na DP World ! Hivi uzwazwa huu Zitto Kabwe kausomea wapi hapa Duniani? Huwezi kujua equity yako kwenye investment mpaka kwanza ijulikane wewe umewekeza (nini) kwenye hiyo investment. Sasa sisi...
  4. Serikali imefanikiwa kuzuia uamuzi wa kuzilipa kampuni za madini

    Kupitia mtandao wa ICSID kuna taarifa za kutia moyo kuwa Katibu Mkuu wa ICSID amesajili maombi ya kubatilishwa kwa tuzo yaliyowasilishwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa maombi hayo, ICSID imesitisha kwa muda utekelezaji wa tuzo iliyotolewa dhidi ya Tanzania kwenye kesi iliyofunguliwa...
  5. Orodha ya Kampuni Bora za Ujenzi nchini zinazomilikiwa na Watanzania

    Hebu tuzitaje Kampuni kubwa za ujenzi Tanzania ambazo ni za Watanzania, zile ambazo tunaona zina uwezo sawa na za nje. Tuweke list hapa please.
  6. J

    Tetesi: SIRI IMEVUJA: CHADEMA mikononi mwa kampuni ya BELG Sea International

    SIRI IMEVUJA Wapatiwa malipo makubwa ya Kupinga Mkataba wa Uwekezaji katika Bandari. Taarifa zinasema Kampuni kutoka Ubelgiji inayojulikana Kwa Jina la BELG SEA INTERNATIONAL ambao walikuwa washindani wakubwa wa DP WORLD inaitumia CHADEMA chini ya Tundu Lissu kuvuruga uwekezaji. Kamati kuu ya...
  7. Kampuni ya Bradda acheni wizi

    Habari Jf, Baada ya kuangaika sana katika harakati za kutafuta sehemu nzuri au kampuni nzuri itakayoweza kutoa Internet nzuri ya nyumbani na ofisini kwa gharama nafuu. TTCL : Nilitumia ka muda mfupi baadae nikaachana nao maana wazito katika kutoa huduma au ukiwa na shida inachukuwa mda mrefu...
  8. Mbunge Juliana Shonza Atolea Ufafanuzi Kuhusu Uwekezaji wa Bandari na Kampuni ya DP World

    "Nataka tuwekane sawa maana tayari watu wameanza kupotosha na kazi ya Serikali ni kuelimisha wananchi, mjadala wa bandari umekuwa ni mkubwa sana kuliko Mijadala mingine yote na hii ni kwasababu kwa mara ya kwanza watanzania wameshuhudia mkataba mkubwa kama wa bandari ukipelekwa Bungeni" - Mhe...
  9. Napendekeza nchi iongozwe kwa mfumo wa kampuni, kila mwananchi anakuwa mwanahisa, na akitaka anaweza kuuza hisa zake kwa yeyote

    Rasimali na mali zote za nchi. (Kampuni) zifanyiwe tathmini na zipatiwa thamani ya fedha, jumla ya ‘assets’ za nchi zigawanywe kwa idadi ya waTanganyika wote, na kila mtu apewe hisa zenye thamani sawia, hivyo kila mwananchi ni mwanahisa wa kampuni ya Tanganyika. Kiongozi mkuu wa Kampuni ya...
  10. Kampuni ya ICTE kutoka Ufilipino imeshinda tenda kuendesha bandari ya Darbun, SA kwa miaka 25

    Kampuni ya uendeshaji wa shughuli za bandari ya International Container Terminal Services kutoka Ufilipino imeshinda kandarasi ya kuendesha bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka 25. Swali, kwa nini sisi DP World hatuambiwi watafanya kazi kwa muda gani? =======...
  11. L

    Kampuni ya Huawei yatumia teknolojia yake kusaidia nchi za Afrika katika kuhifadhi matumbawe na wanyamapori

    Uhifadhi wa mazingira ya baharini na nchi kavu ni jukumu ambalo binadamu wanapaswa kulitia maanani sana. Tunafahamu kuwa bila kuwa na mazingira mazuri wanyama na binadamu wote watakuwa hatarini. Katika kutimiza wito huo, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, Huawei, imekuwa katika harakati na...
  12. Pita hapa, tupate elimu ndogo kuhusu kampuni

    Kuna sababu kadhaa kwa nini unaweza kuamua kusajili kampuni. Hapa kuna baadhi ya faida za usajili wa kampuni: 1. Utambulisho rasmi: Usajili wa kampuni hutoa kitambulisho rasmi cha biashara yako. Hii inamaanisha kuwa unapata utambulisho tofauti na wewe kama mtu binafsi. Hii inaweza kusaidia...
  13. 4G router ya kampuni gani ya simu inafaa kwa Smart TV

    Wakuu nisiwapotezee muda, kwanza kabisa nikiri kuwa sina utalaamu na mambo ya watoa huduma za mawasiliano hapa Tanzania hasa makampuni ya simu. Tatizo langu ni kuwa nilinunua smart tv na kuja nayo huku wilayani nikitegemea nitaweza kutumia intanet ya TTCL kupitia simu za waya kama vile...
  14. Wizara ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi

    MADINI YAPONGEZWA KWA KUTOA ELIMU NA KAMPUNI YA GGML #GGML wapongeza Mkaa mbadala wa STAMICO #GGML Kinara uchangiaji huduma kwa jamii Wizara ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi na wadau wanaotembelea banda la Wizara, taasisi zake...
  15. Ndani ya miezi 6, Kampuni za Teknolojia zimefukuza Wafanyakazi 201,860

    Mwaka 2023, umetajwa kuwa mwaka mgumu sana kwa Wafanyakazi wa Tasnia ya Teknolojia duniani kote baada ya kugharimu tena ajira za makumi kwa maelfu ya wafanyakazi. Wakati huu, upunguzaji wa wafanyakazi umefanywa na makampuni makubwa zaidi katika teknolojia kama Google, Amazon, Microsoft, Yahoo...
  16. N

    Magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania

    TBS wamesema magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania. Hivyo TBS wamewapa tenda Quality’s Inspection Service Japan(QISJ) kukagua magari yanayotoka Muungano Wa Falme Za Kiarabu(UAE) na EAA Company...
  17. Kampuni 266 za Nje ya Nchi zinashiriki maonesho Sabasaba 2023

    Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk Ashatu Kijaji amesema kampuni za nje zilizoshiriki katika maonyesho ya 47 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) mwaka huu zimeongezeka ikilinganishwa na mwaka jana. Mwaka huu jumla ya kampuni 266 kutoka nje zimeshiriki maonyesho hayo...
  18. BBC: Kampuni ya Shell bado inanunua mafuta Urusi

  19. Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

    Kampuni iyo ambayo imemaliza mwezi uliopita kwa mabasi yake 12 kupata ajali na kuua abiria wengi Mwezi huu wa 7 pia wameanza kwa kasi ya ajali Leo hatimaye wamepata ajali nyingine kitonga na chanzo kikuu ni mwendokasi Serikali wamegoma kuifungia hii kampuni
  20. Je, unaweza kuishtaki kampuni iliyotoa tangazo la biashara ukiwamo na wewe bila ridhaa yako?

    Salamu wana jamvi! Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana? Natanguliza shukrani!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…