kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon

    Source: Bloomberg Subscribe China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon The government is increasingly relying on Huawei — the company Washington tried to destroy — to lead the country’s efforts to build an independent semiconductor ecosystem. By Bloomberg News...
  2. R

    Kampuni ya KPMG yatangaza kusimamisha malipo kwa wafanyakazi 12,000

    Taarifa ya kusitishwa kwa malipo iliripotiwa kwa mara ya kwanza na FT, huku wafanyakazi wakipata nyongeza ya mishahara ikiwa tu watapandishwa vyeo rasmi, kabla ya mapumziko ya Krimasi Inasemekana kwamba washirika wa KPMG hulipwa zaidi ya pauni £700,000 kila mwaka kabla ya malipo ya ziada...
  3. T

    Usajili wa Kampuni Brela

    Kuna tatizo la usajili "ONLINE" wa kampuni BRELA. Baada ya kutimiza masharti yote ya ONLINE REGISTRATION ikiwa ni pamoja na kuingia gharama za usajili unaambiwa eti jina linafanana na kampuni iliyopo. Hii si sawa kabisa kwa sababu unakuwa tayari umeishafanya name clearance online. Kwa hiyo jina...
  4. Kampuni za simu zinazotarajiwa kutambulisha bidhaa mpya

    Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo la teknolojia, wakiahidi kubadilisha mtazamo wako kidijitali kama kijana.. Miongoni mwa vifaa...
  5. 5

    Naomba kujuzwa kampuni bora ya kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania Kwa ndege (zinazosafirisha simu)

    Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
  6. Mwenye kujua kampuni gani nzuri ya jiko la gesi+umeme plet 4/6

    Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, baada ya kukaa na kufikilia sana nataka kununua jiko la gesi la Gesi la Plet 6 (4-Gesi + 2-Umeme), nina familia ya mimi na shemeji yenu tu na sitaki kuja kununua tena Jiko uko mbeleni ndio maana nimeamua ninunue la plet izo 6 (USHAURI UNARUHUSIWA)...
  7. Basi Kampuni ya Baraka kutoka Newala - Dar lapata ajali na kusababisha vifo 14

    Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo, Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun ===== Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
  8. Taratibu za kufuata ili kupunguza thamani za hisa za kampuni

    habarini wanajukwaa natuamini wote ni wazima wa afya na mlio na changamoto mungu awe nanyi katika kila hatua AMEN. Naomba muongozo wa taratibu gani za kufuata ili kuweza kupunguza thamani ya hisa za kampuni. mfano katika memats ya kampuni tuliandika thamani ya hisa moja ni 2 million lakini...
  9. F

    Unapoona juhudi za kuwapiga chapuo makandarasi wa ndani zimeshika kasi ujue kuna mtu amefungua kampuni lake la ujenzi

    Wakati wa awamu ya nne tuliona kampeni kubwa za kugawa tenda za ujenzi kwa makandarasi wazawa. Tuliona kampuni ya Mayanga Construction ilivyomwagiwa tenda mpaka ikashindwa na kuishia ku-subcontract kwa makampuni ya nje! Leo tunajua Mayanga Construction ilimilikiwa na nani. Kampeni za kunyanyua...
  10. Mpanda: Machinga waiomba Serikali kuzifuatilia Kampuni za Mikopo

    Wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga Mkoani Katavi wameiomba Serikali kuzifuatilia taasisi na kampuni za utoaji mikopo kwa Wafanyabiashara kutokana na kuwepo kwa malalamiko ya udanganyifu ikiwa ni pamoja na utoaji mikopo kandamizi. Hayo yamebainishwa na Wafanyabiashara hao katika Baraza...
  11. Kampuni ya Open AI imetangaza kuwa aliyekuwa CEO Sam Altman amekubali kurudi kazini

    Aliyekuwa CEO wa Kampuni ya Open AI ambayo imejikita katika masuala ya akili Bandia Bwana Sam Altman Amekubaki kurudi Tena kuiongoza Kampuni hiyo baada ya kufukuzwa kazi siku chache zilizopita. Ikumbukwe baada ya Sam Altman kufukuzwa kazi Kampuni hiyo imejikita ktk changamoto kubwa ikiwemo...
  12. Hongera Haji Manara kwa kupewa kazi ya usemaji wa kampuni ya Tigo

    Hongera sana Haji Manara kwa nafasi hiyo adhwimu.God bless!!! Aliyepewa kapewa. Itoshe kusema kwamba Mganga wa Haji sio tapeli. --- Kupitia Ukurasa wake rasmi wa Instagram HajiManara anathibitisha kupata usemaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo. Katika kulieleza hili Haji Manara anaandika...
  13. S

    Kampuni ya SuperFeo Ruti ya Songea-Arusha-Moshi mbona mmeanza nyodo na maringo? Au kwa vile mko wenyewe?

    Hii kampuni ya SuperFeo ilianza safari zake za kutoka Songea-Dodoma-Arusha mwanzoni mwa mwaka jana 2002. Tulifurahi sana maana ilikuwa ni ukombozi wa safari ya moja kwa moja kutoka kusini mwa nchi yetu mpaka kaskazini. Kwa wiki huwa na safari 2, walianza vizuri sana, ulikuwa unakata tiketi...
  14. Changamoto za wateja wa kampuni ya Meridianbet Tanzania

    Je, wapenzi wa football na swaga za kubet je hii kampuni Ina wafanyakazi waaminifu? Customer care service wako active kupokea simu za wateja? Kuhusu maamala ya mikeka hasa ya ushindi hasa wenye account zao binafsi kwenye internet, uaminifu wa cashiers kwenye kudeposit pesa za wateja kwa wakati...
  15. Kampuni ya Microsoft yamuajili Sam Altman Kuongeza Juhudi katika Akili Bandia

    Baada ya CEO wa open AI Sam Altman kufukuzwa kazi katika Kampuni ya Open AI Microsoft imempa ajira mpya bosi huyo wa zaman wa Kampuni ya Open AI ili Kuongeza Juhudi katika Akili Bandia Chanzo CNN
  16. Kampuni zilizoleta mabasi mengi kwa mwaka 2023

    Wakurugenzi walioleta mabasi mengi zaidi mpaka sasa kwa mwaka 2023 1. Abood kaleta basi 36 2. Shabiby 30 3. BM 22 4. Kimbinyiko 10 5. Kisire Luxury 6 6. ?
  17. Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo Tanzania, mwenye kujua taratibu za kuishtaki kampuni tafadhali anipe muongozo

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato
  18. Kupata Tin number na tax clearance kwa kampuni

    Naomba kuuliza Wiki iliyopita huku nyanda za kaskazini nilienda TRA kwa ajili ya kupata TIN number na tax clearance ya kampuni, baada ya kulipa rental tax na stamp duty nikaambiwa nitafute muhasibu aniandalie provisonal return statement ndo nitapata tin number pamoja na tax clearance. Au nimpe...
  19. B

    Jinsi gani naweza andika wazo langu la kutengeneza application/system na nikapata ufadhili kutoka serikalini au kampuni binafsi

    Naom,ba kuuliza ni jinsi gani watu wanaandika mawazo yao na kufanikiwa kupata udhamini kutoka selikalini au makampuni binafsi na kufadhiliwa ili kuendeleza au kufanya yale m,awazo alioyawakilisha kwa mfano mimi naitaji kutafuta udhamini wa kutengeneza application au system ambayo inaweza kua...
  20. T

    Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

    𝗥𝗘𝗩𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗: 𝗛𝗼𝘄 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗴𝗻𝗲𝗱 𝗮 𝗰𝗿𝗮𝘇𝘆 𝗱𝗲𝗮𝗹 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝗮 𝗺𝘆𝘀𝘁𝗲𝗿𝘆 𝗰𝗼𝗺𝗽𝗮𝗻𝘆 𝘁𝗼 𝗼𝗽𝗲𝗿𝗮𝘁𝗲 𝘁𝗵𝗲 𝗰𝗼𝘂𝗻𝘁𝗿𝘆'𝘀 𝗺𝗮𝗶𝗻 𝘁𝗼𝘂𝗿𝗶𝘀𝘁 𝗮𝗶𝗿𝗽𝗼𝗿𝘁 The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…