kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kampuni za simu

    Nashauri hii usemi nikiunga bando nawapa hela mnasema ndugu mteja ombi lako linashuggulikiwa utapata ujumbe ... . hapana mana hilo sio ombi Semen amri yako inashughulikiwa
  2. JamiiForums Tanzania Ni hatua gani za kufuata ili kuishtaki kampuni binafsi ambayo imenitapeli

    Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu. Pesa yenyewe ninayowadai ni kidogo (250,000) ndio maana nasita kwenda kushtaki kwa kuhofia kuwa kunaweza kuwa na gharama...
  3. JamiiForums Tanzania Huu ndio uongo wa Kampuni ya tiGO Tanzania

    Hebu angalia Tangazo lao Halafu angalia walichokifanya nusu saa kabla ya muda Hii ni Aibu kwao na Mamlaka zinazowasimamia Nimeweka ushahidi huu ili kuondoa uongo uongo kwenye masuala ya msingi, hizi hela tunazoweka humu si zao ni zetu wajaribu kutuheshimu
  4. JamiiForums Tanzania Aibu kwa kampuni ya Cocacola, fanta ndani ina kisoda kilichokunjwa

    Habarini wadau.... Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu haikuonekana au kampuni haiko serious sana kwa Sasa.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Expert, naomba kujua ni kampuni gani Ina vyoo imara vya kuchuchumaa

    Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa nikashindwa ninunue vya kampuni gani . Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea...
  6. JamiiForums Tanzania Tunahitaji Investor(s) wa kuwekeza Dollar($) 1 Million kwenye kampuni ya teknolojia (Fintech)

    How do I futa this?
  7. JamiiForums Tanzania Kuna kampuni ya wakopeshaji mtandaoni. Wamenipa mkataba mtandaoni wanadai niliridhia, ninawashtaki

    Serikali yetu imeacha hawa wezi watusumbue. Naapa kuwashitaki. Kuna kampuni nyingi kwenye mitandao inachukua taariza maskini watanzania na kuwakopesha kwa nguvu huwadai pesa nyingi kama rejesho. Nitakufa na mtu...twiga loan kaeni tayari I will ....@%&you
  8. JamiiForums Tanzania Customer care: Kuna shida kubwa sana kwa makampuni mengi hapa nchini kuwa na poor customer care kwa wateja wake. Toa ushuhuda wako hapa!

    Kama mteja, uliwahi kukumbana na aina gani ya ugumu pale ulipohitaji msaada kutoka kwa huduma kwa wateja?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rwanda yanunua madini kwa siri nchini Tanzania na kuyauza tena kwa kampuni ya Apple

    Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo. Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni watanzania. Wanachofanya ni kununua almasi na dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kuiuza nchini Rwanda...
  10. JamiiForums Tanzania Fahamu Tofauti kati ya Jina la Biashara na Kampuni

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mko salama na mnaendelea na shughuli mbalimbali za Ujenzi wa Taifa.Wakati ninapofanya kazi na watu ya kusimamia mchakato waowa usajili wa Kampuni na majina ya biashara huwa ninakutana na maswali mbalimbali kuhusu tofauti iliyoko kati ya Jina la...
  11. JamiiForums Tanzania Madereva wa kampuni za Usafiri Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara ya usafiri

    Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni -Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja -Kuwashusha wateja katikati ya safari na kudai hawafiki hadi mwisho kwasababu watakosa abiria...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kuna kelele Nyingi za Kuendesha Kwa Reli zetu na kampuni Binafsi sasa huko walianzia mambo si mambo tena

    Metro – End of the line for failing train firms Labour has pledged it will nationalise the railways should the party prevail at the next election, Metro reports. Shadow transport secretary Louise Haigh told the paper the “current model doesn’t work for anyone”. The plan would see a Great...
  13. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji Company Profile?

    Je, unatafuta mtaalam wa kuandaa Business/ Company profile mwenye uzoefu na ujuzi wa kuunda maelezo ya kuvutia na yenye ufanisi? mimi ndiye mtaalamu unayemhitaji. Ninaweza kukusaidia kuunda Business/Company profile bora itakayovuta wateja wapya, kuimarisha uhusiano na washirika wa biashara, na...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni za Mawasiliano na ukiukwaji wa haki za mteja Tanzania

    Kabla ya WhatsApp nilikuwa na line za nchi mbalimbali. Ililazimu Kila nchi uliyofika ununue line. Mwisho nikajikuta na line zaidi ya 100. Nikijua naenda Italy nachukua SIM, Naenda Switzerland nachukua MOBISTAR, n.k. Kwa sasa natumia Togocel na Moov. Hii ni mitandao ya Togo. Togocel ni shirika la...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani inaendelea kuilenga kampuni ya TikTok, TikTok inaendelea kuwa maarufu barani Afrika

    Katika siku za karibuni Marekani imeendelea na mpango wake wa kuishambulia China na makampuni yake, baada ya wabunge na ikulu ya Marekani kusema wana wasiwasi kuwa kampuni inayomiliki App ya TikTok inahatarisha usalama wa Marekani na inaweza kutumiwa kufanya ushawishi kwenye uchaguzi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Ipi kampuni bora ya bima ya magari kati ya hizi?

    Wakuu, kati ya kampuni hizi hapa ipi ni bora kwa ajili ya bima ya gari?
  17. JamiiForums Tanzania Kampuni zinazotengeneza mitungi ya gesi hapa kwenye hichi kifuniko mnatesa wateja

    Hivi kampuni zinazotengeneza hii mitungi midogo ya gesi kwani hakuna namna hichi kifuniko cha plastic (seal) ikawekwa katika namna inayomuonesha mteja namna ya kukifungua? Au kuna namna yake ya kuifungua na mimi sifahamu ndugu zangu? Maana unakuta hadi unatumia pliers, kisu, screwdriver, etc...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba wa ushauri njia bora ya kuendesha kampuni

    Wakuu ni matumaini yangu kuwa hamjambo, nimeamua kuingia kwenye jukwaa hili nikiamini ya kwamba nitasaidia kimawazo. Katika harakati za kutafuta maisha nilifanikiwa kusajili na kufungua kampuni ya ulinzi na kuanza kuiendesha kuanzia mwaka 2021 hadi 2023 mwishoni,nilikuwa na wateja wa kawaida...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kampuni zinatoa internship Arusha

    Wakuu habarini, Mimi nimehitimu chuo mwaka jana, Accounting and finance, nauliza sehemu apa Arusha wanatoa nafasi za internship.
  20. JamiiForums Tanzania Wanachama wa Simba mchakato wa kufanya Simba Kampuni bado, chukueni hatua!

    Wakuu, Ni muhimu wanachama kuomba kikao cha dharura waweze kuelezwa hatma ya timu yao. Kama msipofanya hivyo subirini miujiza! Hii timu mkitaka mfanikiwe msikubali hadithi za kale na takwimu za tupo nafasi ya ngapi CAF, ulizeni maswali magumu mjibiwe au watuachie timu tuungeunge hadi tupate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…