kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The bump

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Connection Ma Friji ya Kampuni

    Naomba msaada kwa mwenye kujua watu wanao husika na utoaji wa haya mafriji ya vinywajk ya kampuni. COCACOLA PEPSI BEER Nayahitaji kwa hali na Mali naomba msaada ili niweze fungua biashara ninayoitamani kwa kuanza nayo hayo kisha baadae nitaweka yangu binafsi. Kuna wengine wanatoa ma Freezer...
  2. daydreamerTZ

    JamiiForums Tanzania Sajili jina la biashara bure leo

    OFA KABAMBE! Je, unahitaji kusajili jina la biashara? Hii ni nafasi yako ya kipekee! Day Dreamer TZ Consultancy inatoa OFA maalum ya kusajili majina mawili ya biashara kwa watu wawili Tu, BURE! (Hakuna ada ya huduma.) Utalipia tu gharama za control namba, kiasi cha Tsh 20,000/= TU, ambazo...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Kampuni ya Tembo Nickel Yafanikiwa Kusafisha na Kuzalisha Madini ya Nikeli, Shaba na Kobati Kwenye Kiwanda Kilichopo Kabanga, Ngara.

    WAZIRI MAVUNDE: TEMBO NICKEL YAFANIKIWA KUSAFISHA NA KUZALISHA MADINI YA NIKELI, SHABA NA KOBATI KWENYE KIWANDA KILICHOPO KABANGA, NGARA, HII NI HABARI NJEMA Kampuni ya Tembo Nickel ambayo Serikali ya Tanzani ni mbia, imepata mafanikio ya kihistoria - kwa mara ya kwanza! Tembo Nickel kupitia...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kuzuia virusi ya Urusi Kaspersky yajiondoa Marekani baada ya kupigwa marufuku

    Kampuni kubwa ya kuzuia Virusi ya Kaspersky Labs ambayo makao makuu yake yapo Nchini Urusi inajiandaa kuondoka Marekani baada ya utawala wa Rais Joe Biden kupiga marufuku uuzaji na usambazaji wa programu za kampuni hiyo. Kaspersky ambayo imefanya kazi Marekani kwa zaidi ya Miaka 20, imesema...
  5. daydreamerTZ

    JamiiForums Tanzania Je, unakwamishwa kuanza biashara yako leo?

    Karibu Day Dreamer Tz Consultancy, watatuzi wa changamoto zako kwenye: 1. Usajili wa Jina la Biashara Brela - Tunakusaidia kusajili jina la biashara lako kupitia BRELA (Business Registrations and Licensing Agency). Hii ni hatua muhimu ya kisheria inayokuwezesha kufanya biashara kwa jina...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni na kusitisha huduma kwa kampuni zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani

    Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni za kampuni zote zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani Wakuu kuna baadhi ya makampuni yanayoleta usumbufu kwa wateja pale wanapohitaji huduma na haya makampuni yanatoka bara la Ulaya, Asia na Afrika nashindwa kuyataja...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nippon Paint Yazindua Kampuni Tanzu Afrika Mashariki, Ikilenga Kutoa Bidhaa na Huduma Zenye Ushindani Katika Soko Hili Linalokua

    (Kushoto Kwenda Kulia) Mheshimiwa Bw. Rohit Vadhwana, Kaimu Kamishina Mkuu wa India, Sharad Malhotra - Makamu wa Rais Mkuu, Nipsea Group, Hardev Singh- Rais na Mkurugenzi (Idara ya Kiwanda), Nippon Paint India, Arun Mishra - Meneja Biashara, Nipsea Paint Kenya, Jamil Virjee, Mkurugenzi Mtendaji...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

    Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania LATRA kampuni ya mabasi ya BM inastahihli kufungiwa kwa utapeli

    Tunaomba mamlaka ya usafiri LATRA iifunge kampuni ya mabasi ya BM yandayo Dar -Kilimanjaro/Arusha kutokana na udangajifu kwenye nauli. Wanafunzi wa shule ya anwarite ambao walikuwa wanatakiwa kusafiri leo kwa mabasi aina ya luxury wametapeliwa kwa kulazimishwa kusafiri kwa kutumia mabasi ya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Biashara endelevu: Nini nini mtumizi na tofauti kati ya Kampuni, Entreprises, Investiment, groups na Limited (Ltd)

    Ni nini tofauti kati ya Majina haya yanapotumika katika baiashara mbalimbali: Kampuni, Entreprises, Investiment, groups, Limited (Ltd) Nini Faida yake katika biashara Utaratibu wake wa usajili Utaratibu wake wa kikodi katika biashara Changamoto zake katika biashara
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yafurahishwa kuanzishwa kwa kampuni ya bima ya ‘CRDB Insurance Company’

    Kamishna wa Uendelezaji Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamaja (katikati) akifurahia uzinduzi rasmi wa kampuni tanzu ya Benki ya CRDB inayotoa huduma za bima ‘CRDB Insurance Company (CIC) Ltd’ katika hafla iliyofanyika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam 18 Juni 2024...
  12. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Samsung: Hii kampuni inachofanya ni sawa kweli?

    https://x.com/SamsungMobileUS/status/1800233900389617979?t=VDdvhRoSeZ0LKEnI_RgKcw&s=19 Kampuni ya Kikorea "Samsung" imeleta features nyingi zinazowezeshwa na Artificial intelligence kwenye Samsung Galaxy S24 series na collection ya AI features kwenye S24 series Samsung akaamua kuiita "Galaxy AI"...
  13. Candela

    JamiiForums Tanzania Hizi kampuni za simu zinaona wateja mazuzu

    Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features. Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tuko kanisani tunaandika majina ya maaduui zetu wachomwe moto tuma majina ya maaduiwasiwe mke ama mumeo la

    NIMEKUJA KWENYE IBADA MOJA HUKU BANANA TUKO SEHEMU YA KUANDIKA MAADUI ZETU TUWAOMBEE WACHOMWE MOTO WALE WALIOKUTESA WANAOKUTESA MAKAZINI WANAOTESA NDOA ZAKO BIASHARA ZAKO AFYA ZAKO VIPATO VYAKO WEKA HAPAA NIWAANDIKE MUNGU ANASEMA ANAKWENDA KUPANDANA NA ADUI ZETU WANAOKUFANYA USISHIKE HELA...
  15. yunus75

    JamiiForums Tanzania Kujitolea kwenye kampuni hasa viwanda

    Habari waungwana naamini kuna wengi sana walio nitangulia naamini nitapata mawazo chanya, kwa sasa nipo DSM ila nataka nitume maombi ya kujitolea kwnye viwanda vilivyopo Mbeya, Iringa, Njombe, na sehemu nyingine makampuni ya Coca, Mo, Asas, ili niweze kujitolea nina imani ya kuwa wanaweza...
  16. Bexb

    JamiiForums Tanzania Uendeshaji kampuni: Kuongeza mwanahisa

    Habari ya mchana wakuu. Nimeona leo pia tuzungumze ama kujadili masuala kadhaa yanayohusiana na uendeshaji wa kampuni ili kuhakikisha kuwa kila kitu kipo sawa na hamuendi kinyume na sheria ili kuepusha matatizo yoyote ambayo yanaweza kuibuka. Sasa, kulingana na uhalisia wa kiutendaji na...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mikopo ya mtandaoni zinatoa wapi namba zetu kwa sisi ambao hatujawahi kukopa?

    Si mbaya kuuliza, nimewaza tu kama haya makampuni ya simu yanakopwa na Jesca ama Betty. Gafla mimi natumiwa meseji na haya makampuni ya kukopa ati ndugu ama mfadhili wa Betty unaombwa kumjulisha tapeli ametaka kututapeli kiasi kadhaa. Nawaaambia nimeshtuka sana, gaflaaa nikauliza umepata namba...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Upigaji, utapeli, uliojifichika kwenye kofia ya Kampuni Binafsi za Ulinzi

    Ni uchunguzi wa miezi zaidi ya mitatu kwa nyakati tofauti kwenye maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam na mikoa jirani, ambapo safari yangu inakutana na Walinzi wa kampuni binafsi wakitoa kauli zenye kuashiria uwepo wa mazingira ya upigaji, utapeli na usanii. Nini kinabainika? Kwa siku za hivi...
  19. Bexb

    JamiiForums Tanzania UENDESHAJI KAMPUNI: KUMTOA MWANAHISA.

    Habari ya majukumu wakuu. leo nataka tuzungumzie suala hili kidogo kwani nimekua nikipata maswali juu ya suala hili kwa watu kadhaa kutoka hapa JF. Wengi wamekua wakiuliza namna ya kuwatoa baadhi ya wanahisa katika kampuni lakini wamekua wakikwama katika hilo kutokana na sababu mbalimbali hivyo...
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu au kampuni ya kufanya Partnership ya Social Network mfano sawa na Facebook & Twitter

    Moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli natafuta watu au kampuni ya kufanya nao Partnership ya Social Network ili tufaidike sote Mtandao tayari umeshaundwa mfano wa Twitter na Facebook kilochobaki natafuta watu au kampuni tutakayoingia Partnership ili tusaidiane kulipa bill za...
Back
Top Bottom