Mitungi Empty ya GAS 300 inauzwa Kampuni Mihan/Taifa

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,958
23,100
Kwa wafanyabiashara wakubwa wa GAS kuna mitungi inauzwa ipo 300 cylinder zisizo na gas.

Mtungi mmoja bei (Bila Usafiri) 14,000.

Kampuni iliyopo ni Taifa/Mihan Gas...

Anahitajika Mfanyabiashara atakaeweza inunua kwa pamoja mitungi yote 300 na sio 200 wala 250 wala 270 bali ni yote 300.

Bei ipo Fixed haipungui.

Kwa Mfanyabiashara Mdogo unaetaka kufunga biashara yako nanunua mitungi midogo ya 6kg kampuni zote kwa 11,000 (usafiri included)

Mitungi mikubwa ya 15kg nanunua kwa kampuni ya ORYX tu.

Muuza Mitungi uwe na mitungi kuanzia 10 na kuendelea.

Mnunuaji Mitungi Eneo la Biashara ilipo Mitungi ya 6kg inayouzwa ni...

LOCATION : MBEZI MWISHO

300 x 14000 = 4,200,000
 
Hiyo unayouza hujasema kama ni kg6 au kg15
Lakini nashindwa kuelewa kwa sababu hiyo bei pia sioni kama inaingia kwenye kg6 au kg15

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Siku nyingi sana umepotea jukwaani.Karibu
Nimerudi tena tutaendelea kupeana Tips za hapa na pale.

Maisha na hizi tips ni halisi kwahyo kuna muda unakua field kuyaishi yale utakayokuja wasimulia watu.

Nina story nyingi sana za huko nitokapo
 
Back
Top Bottom