Urusi: Rais Putin asaini amri ya kukamatwa kwa Mali za Raia wa Marekani Nchini Urusi pamoja na Kampuni ili kufidia Vikwazo vya Marekani dhidi ya Mosco

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,538
9,351
Rais wa Russia Vladimir Putin amesaini amri inayoruhusu kukamata mali za Marekani, za raia wake na za kampuni zake ndani ya Russia, kama fidia kwa mali za Russia zilizoathiriwa na vikwazo vya mataifa ya Magharibi dhidi ya Moscow.

Nchi za Magharibi zilizuia dola bilioni 300 za mali za kifedha za Russia, hasa zile za akiba ya benki kuu, baada ya Moscow kupeleka wanajeshi kuivamia Ukraine mwezi Februari 2022

Russian president Vladimir Putin signed a decree on May 23 authorizing the confiscation of assets of U.S. citizens and companies to compensate for Russian assets confiscated by the U.S.

The U.S. Congress recently approved the REPO Act that would allow President Joe Biden's administration to seize Russian assets held at American banks and funnel them to Ukraine.

Western countries and Kyiv's other partners have immobilized around $300 billion of Russian assets in response to the full-scale invasion of Ukraine, with around $5 billion held in the U.S.

The decree would enable Russian citizens, companies, and the central bank to appeal to courts that the seizure of their assets is unjustified. In turn, the Russian government could offer U.S. assets in Russia as compensation.

Dmitry Medvedev, the deputy chairman of Russia's Security Council, previously threatened retaliatory measures if the U.S. seized Russian assets.

In March, the European Commission submitted a proposal on using 90% of the generated funds to purchase weapons for Ukraine and allocate the remaining 10% to the EU budget to support the country's defense industry.

After many weeks of debates, EU ambassadors reached a political agreement on the proposal on May 8.

The EU Council finalized the agreement on May 21, which would provide Ukraine with between 2.5 billion and 3 billion euros ($2.7-3.26 billion) annually, with most of it allocated to Kyiv's military needs.

The European Commission then announced later in the day that the "resources will be available to support Ukraine starting from July 2024, with bi-annual payments."
 
changamoto kubwa ya hili jambo ni kukosa kuaminiana kati ya mataifa mengine na west,

imagine kuanzia sasa nani atakua anawekeza pesa zake ktk benk za ulaya na marekani?

kuna wakati unaona kabisa ni kama nchi za ulaya zinajitia kitanzi zenyewe, uchumi wa ulaya ulibase kwenye services, kampuni za bima, masoko ya fedha na real estate, sasa hii biashara inaenda kufa
 
T

Tumia akili urusi anachukua ardhi ya ukrain unajua dhamani ya ardhi ya nchi ...urussi kapata faida kubwa sana hata wanguchukua dolla T 2 bado mrusi ni mshindi
ushachanganyikiwa wewe , watu wanauana ndani ya Urusi , ndani ya urus kuna vikundi vinadai kujitenga , hiyo ardhi ya ukraine ataitawala lini ? Ungekuwa na akili ungeangalia kabla ya 2022 na leo 2024 Urusi kaenda mbele au karudi nyuma , China sasa hv anakamata import za Urusi hivyo Urusi soon atakuwa mateka wa China
 
naunga mkono hii,Dunia nzima tulitakiwa tuwe warusi na raisi wetu Putin,makamu Kiduku,waziri mkuu Erdogan hataree hapoooo!!!!
 
ushachanganyikiwa wewe , watu wanauana ndani ya Urusi , ndani ya urus kuna vikundi vinadai kujitenga , hiyo ardhi ya ukraine ataitawala lini ? Ungekuwa na akili ungeangalia kabla ya 2022 na leo 2024 Urusi kaenda mbele au karudi nyuma , China sasa hv anakamata import za Urusi hivyo Urusi soon atakuwa mateka wa China
Hivyo vikundi vimeundwa na wahuni wa NATO kwa sasa kila mrussi kesha tambua kuwa nato ni kikundi cha wahuni tu kwa sasa havina nguvu yoyote.
 
ushachanganyikiwa wewe , watu wanauana ndani ya Urusi , ndani ya urus kuna vikundi vinadai kujitenga , hiyo ardhi ya ukraine ataitawala lini ? Ungekuwa na akili ungeangalia kabla ya 2022 na leo 2024 Urusi kaenda mbele au karudi nyuma , China sasa hv anakamata import za Urusi hivyo Urusi soon atakuwa mateka wa China
Unajifanya mjuaji sana na unatetea hoja zako kwa misuli na siyo mantiki na yaweza kuwa wewe ndo umechanganyikiwa na yawezakuwa haya mambo unayaelewa kinyume nyume habu fuatilia haya mambo upya tena kwa utulivu kabisa na ukielewa bila mihemko bila shaka utaandika kinyume cha huu ushuzi ulioumwaga hapa
 
Back
Top Bottom