kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Kampeni yetu ya tone tone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? Viongozi hawana cha kusema

    Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: G55 Tunajipanga na kampeni za uchaguzi

    "G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Bill Gates inavyo beba kampeni ya Likud kutoa watoto Ems. Kuwarudisha Kayumba

    Bill Gates anasema miaka michache inayo kuja, Akili Mnemba ita wa replace binadamu kwenye kazi nyingi Sana ikiwemo udaktari na ualimu.. Duh kumbe ndio maana LIKUD anasema tusipoteze hela EMS? LIKUD atakuwa mchawi au nabii
  4. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Tunaunga mkono CHADEMA katika kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION

    🗣️ NO REFORM, NO ELECTION! 🚨 Hatutaingia kwenye uchaguzi wa 2025 bila mabadiliko ya msingi katika Katiba na mfumo wa uchaguzi! Watanzania wanastahili Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha haki na usawa kwa vyama vyote. 🔥 Hakuna Mabadiliko? Hakuna Uchaguzi! 🔥 Tuwaunge mkono...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simiyu: Luhaga Mpina anusa kufanyiwa figisu, ataka kampeni za wazi Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, amesema kuwa licha ya muda wa kampeni za ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado kutokuwa rasmi, watia nia katika jimbo hilo wanapaswa kuruhusiwa kufanya kampeni mchana kweupe badala ya usiku. Mpina amesema kuwa kampeni zinazofanyika kwa kificho...
  6. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Ijue Ratiba Rasmi ya Kampeni ya CHADEMA: NO REFORM, NO ELECTION 2025

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezindua kampeni maalum ya siku 48 kwa ajili ya kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kampeni hii, inayojulikana kama "No Reform, No Election", inalenga kuhamasisha Watanzania juu ya umuhimu wa kupata Katiba...
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akijivua uanachama Chadema, nitampigia kampeni Tulia Ackson achukue ubunge wa Mbeya Mjini

    Nasikia kina Sugu na MBOWE wanataka kuanziaha chama chao ambacho kipo sponsored na CCM na wameahidiwa kwamba chama hicho kipya ndio kitabeba viti vingi vya upinzani. CHADEMA wameshasema No Reform no election, kina Sugu waroho wa madaraka wanadhani wataenda bungeni kirahisi, nawahakikishia...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwanini unahisi umetapeliwa pesa yako uliyoitafuta kwa tabu sana kwenye kampeni ya tone tone ya CHADEMA?

    Umegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone? ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo? au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya kificho ya fedha za chama kwa viongozi waandamizi wapya chadema taifa? Je, ni kwasababu umeona...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wanaopiga kampeni ya “Kataa Ndoa” waonywa!

    Mfalme amesema: “Anayeonywa mara nyingi akawa mkaidi, ataangamia ghafla asipone tena.” Naongea na wewe, unayepiga kampeni ili kuwafanya watu wakatae ndoa. Pole sana kwa changamoto ulizokutana nazo, zilizokusababishia “ugonjwa” wa kupiga kelele usiku na mchana: “kataa ndoa, kataa ndoa.” Unapiga...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ligi Kuu ya Wanawake yasimamishwa kupisha Samia Women Super Cup

    LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kusimama kwa takriban wiki moja kupisha michuano ya Samia Women Super Cup inayotarajiwa kuanza kesho, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. . Ligi hiyo iliyotarajiwa kurudi Machi nne baada ya mapumziko ya kupisha michuano ya kufuzu Fainali za...
  11. B

    JamiiForums Tanzania RC HOMERA KUONGOZA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA- MBEYA

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria. Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya...
  12. upupu255

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha apendekeza nyongeza ya Tsh. bilioni 945.7 kwenye bajeti ya serikali ya 2024/25. Pesa za Kampeni zinatafutwa?

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024. Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa wilaya ya Tanganyika waomba Kampeni ya msaada wa Kisheria ya Mama Samia iendelee

    Wananchi wa vijiji vya Lwega na Mwese vilivyopo halimashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamesema kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia inapaswa iwe endelevu kwani imewajengea uelewa wa kufahamu mambo mbalimbali ikiwemo kutatua migogoro. Katika vijiji hivyo migogoro mingi...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ipo Siku Nitakuwa wa Kwanza Kuanzisha Kampeni ya Kuwakomboa Dada Zetu Wanaojiuza: Nitafanya Hivi

    Biashara ya dada zetu kujiuza miili yao ni changamoto inayowakumba dada zetu kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi, ukosefu wa elimu, na ukosefu wa msaada wa kijamii. Katika juhudi za kuleta mabadiliko, ipo siku nitaanzisha kampeni yenye lengo la kuwaokoa na kuwapa maisha mapya. Kampeni hii...
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Ras Geita awakumbusha wataalam malengo ya kampeni ya msaada wa kisheria

    Na Mwandishi Wetu Gombati amesema hayo jana Januari 24, 2025 Mkoani hapo alipokuwa akifungua mafunzo ya wataalam hao kunolewa kuelekea kampeni hiyo itakayotekelezwa katika Halmashauri zote za Mkoa wa Geita Uzinduzi wa Kampeni hiyo unatarajiwa kufanyika Januari 26, 2025 katika Uwanja wa CCM...
  16. President of China

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (MSLAC)

    Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imezinduliwa rasmi tarehe 24 Januari 2025 katika mikoa sita ya Tanzania, ambayo ni Kigoma, Geita, Kilimanjaro, Tabora, Katavi, na Mtwara. Kampeni hii inalenga kuwasaidia wananchi kupata uelewa wa masuala mbalimbali ya kisheria, kuongeza haki...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tunajua Diaspora wamechanga mamia ya mamilioni kwa ajili ya kampeni, Tundu Lissu na genge lake wamezipeleka wapi?

    Hela hizo karibu milioni 900 Lissu na genge lake wamezifunikia wapi?
  18. R

    JamiiForums Tanzania CCM wamepiga marufuku wanachama wao kuanza kampeni kabla ya muda, lakini wao kuchaguana kabla ya muda sawa......AUTHORITARIAN OF HIGHEST DEGREE

    Ukisikia hekaya za aAbunuwasi ndiyo hizi. Jana Samia amekataza watu kuanza kampeni kabla ya muda. Strange enough wao wamechaguana tayari kabla ya Jogoo kuwika. Ukisikia chama cha kishenzi ndiyo hiki! Total dictatorship/authoritarian = favouring or enforcing strict obedience to authority at...
  19. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI CHADEMA: Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe

    === Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe. Kwaakili hii Mbowe na Wenje wameshashindwa huu Uchaguzi Kwa lugha nyepesi Heche na Lissu hawajapewa tuhuma yoyote hivyo ni watu safi wachaguliwe.
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama tutakuwa wakweli, Dk Slaa ana jema na nini kwa Chadema mbali na yule anayempigia kampeni na upatu?

    Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA aliyejirejesha CCM na kupewa ubalozi kabla ya kuenguliwa na Samia Suluhu Hassan, Dk Wilbrod Slaa alisikika akijifanya kukipenda CHADEMA hadi kutaka kushiriki kupiga kampeni kwenye uchaguzi wake. Je ana nini au alisahau nini CHADEMA? Inawezekana mwana CCM kama Slaa...
Back
Top Bottom