Team ya kampeni ya Prof Janabi ipewe ndege ya ATC kusafiria

Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Hilo litasaidia je Tanzania kama nchi yeye akipata na hiyo nafasi?
 
Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Wewe unapiga kijembe wewe. Ngoja Mafwele akusikie.
 
Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Kama taifa tutakuja kupataje izo pesa ??
 
Sasa bakwata na masuala ya WHO wapi na wapi acha udini mkuu.
Hao madaktari watakaopewa Mchongo wa WHO Afrika baada ya Prof kushinda majina yao lazima yapite BAQWATA (vetting).
 
Mkuu kwa sheria ipi? Mbona bakwata haina uhusiano na kazi za Who au serikali.
 
Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.

“

Marehemu Ndugulile kuchaguliwa kwake nguvu haikutumika kubwa kiasi hiki kwanini Janabi inakuwa hivi?
Au ndio “ Chema chajiuza kibaya chajitembeza?”!🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️
 
Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Ili iweje, nchi inapata faida gani?

Apambane kama former doc alivyopambana bila kutumiwa ndege.
Hamna ccm kule, vigezo vitakubeba
 
Wazo zuri sana ndege zote akabidhiwe + basi zile za chama vyote visambae kumtatia kura wakiambatana na wazee pendwa Ndugai, Waryoba, Butiku nk kuifanya timu kuwa kubwa zaidi kuweka timu msoga pekee haionyeshi umoja kitaifa. Pesa tunazo kwa nn tuwaze kutumia? Madini, mbuga,gesi nk tutavitoa kupata pesa upya hata mkopo tutakopa sema ndo Janabi hauziki tusitegemee chochote hapo
 
Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Ili hasara izidi kule kwenye hesabu za CAG
 
Back
Top Bottom