kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi: Ratiba ijayo ya Mikutano ya Kampeni za Tundu Lissu iangazie Wilaya za Rungwe na Kyela

    Nafahamu wazi kwamba muda hautoshi kwa Mh Tundu Lissu kuweza kupita kila mahali kuomba kura , lakini kuna maeneo ambayo umuhimu wa Tundu Lissu kupita ni mkubwa sana , hii ni kutokana na mvuto wake wa kisiasa na hamasa waliyonayo wananchi wa kule . Kyela ndio njia panda ya Malawi , nchi ambayo...
  2. JamiiForums Tanzania Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye

    Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye. Leo tarehe 08/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amefanya mkutano wa hadhara kwa kuwakutanisha...
  3. JamiiForums Tanzania Hawa wasanii wana enjoy kweli kuwepo kwenye kampeni?

    Saa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama .. Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa kushughulikiwa Wangeshiriki??.. Sioni how msanii mkubwa ulazimike Ku perform kwenye jua Kali saa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

    Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa, mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na kampeni leo katika mkoa wa Dar es Salaam katika uwanja wa Benjamin Mkapa. HOTUBA YA DKT. MAGUFULI ....Gonjwa hili la Corona na kilio cha Wanakenya wakiongozwa na Rais Uhuru...
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nani ana jukumu la kulinda bendera na picha za Wagombea zisiharibiwe kipindi cha kampeni?

    Kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi- ni nani mwenye dhamana ya kulinda picha za wagombea na bendera za vyama vya siasa zisiharibiwe? Je, ipo sheria inayotamka kua kuharibu picha au bendera ni kosa? Au kila mwananchi ana Uhuru wakuondoa picha ya Mgombea na bendera asiyoitaka?
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Nani anafahamu wasifu wa Amani Golugwa meneja kampeni wa Tundu A. Lissu?

    Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa. Kwenye uchaguzi wa Malawi alishiriki kama mwangalizi chini ya European Union. Yupo very trained kwenye issue hizo za kisasa. Ni...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Kesho tarehe 9 Oktoba 2020 Dkt. Magufuli kunguruma kampeni uwanja wa Taifa, shughuli kuanza saa moja asubuhi

    Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama. Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo. Toka kampeni zianze ni...
  8. JamiiForums Tanzania Kampeni zimepamba moto kila mtu na mtazamo wake akiona picha ya mgombea

  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Hata baada ya kudhalilishwa na OCD, Freeman Mbowe aendelea na Kampeni zake za Ubunge jimbo la Hai

    Mh Freeman Mbowe leo anaendelea na kampeni kwenye kata ya Rundugai , licha ya jana kudhalilishwa na OCD ambaye ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Hai aliyeshindwa kuzuia mapenzi yake kwa Chama chake cha CCM =======
  10. JamiiForums Tanzania Taratibu za kisheria zikoje kubadili gari langu kuwa na picha za Wagombea kama bango la kampeni?

    Nimekuwa ninakutana na magari mbali mbali yakiwa na picha za Wagombea mbali mbali nikajikuta najiuliza maswali iwapo nami nitatamani kubadili Gari langu, maana najua hili ni zoezi la muda mfupi tu na baada ya kampeni Gari litarudi rangi yake ya awali.
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa janja hii ya CCM kutumia ugeni wa kitaifa kuomba kura NEC semeni jambo

    CCM kupitia mgombea wake wa urais Sasa wanatumia janja janja ziara na ugeni wa kitaifa kufungua miradi na kuomba kura. Ratiba ya Magufuli inasema ana pumziko kwa muda wa siku 10 na kuendelea baadaye. Lakini leo hii na muda huu anatumia nafasi yake Kama rais kufungua miradi na hapo hapo kuomba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aache kampeni, ajikite kuelimisha kuzuia wizi wa kura na kuyapata matokeo ya vituo vyote nchini

    Leo nilienda safari ya kumtembelea rafiki yangu ambaye yeye na mke wake wote hawana smart phone. Nilipofika nikamkuta mke wake na wageni akanieleza aliyoona jana wakati anaenda Kibaha. Anasema alipofika Gogoni akaona kuna magari ya polisi. Kwenye daladala wakaanza kujadili hilo. Kwa sababu mimi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, kinachowaleta Marais wa nchi jirani ni kumpigia kampeni mwenyeji wao?

    Mfululizo wa marais wa nchi jirani wanaokuja kutembelea Tanzania, kipindi hiki cha kampeni una lengo la kumpigia kampeni Magufuli? Ukianzia kwa Rais wa Uganda, ukaja kwa Rais wa Burundi na sasa Rais wa Malawi, wote lazima waongelee 'Magufuli atashinda' kwani wana uhakika gani? Natarajia marais...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Kitanzania na siasa

    Kama kichwa ha habari kinavojieleza hapo juu, msaada tafadhali. Tunaeleka mwaka wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge pamoja na madiwani. Ipo haja sasa kwa Watanzania kukaa na kupima licha ya kwamba Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuweka wazi kabisa katika Ibara zake kuwa kigezo cha...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Mwenza Salum Mwalimu aendelea na kampeni Nachingwea

    Akiwa kwenye kampeni zinazoendelea ambapo ratiba ya Leo imempeleka Lindi na Ruvuma , amehutubia mkutano mkubwa sana wa kampeni Nachingwea , ambapo amewaomba wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga kura na wamchague Tundu Lissu kuwa Rais wa awamu ya 6
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Jumamosi ya tarehe 10 Oktoba itakuwa siku ya kutamaniwa na makundi mengi kumsikiliza Tundu Lissu baada ya kufungiwa kufanya kampeni

    Baada ya Mgombea Urais kupitia CHADEMA kukaa kimya kwa siku kadhaa, jumamosi hii ataendelea na kampeni Kama kawaida, siku hii itafuatiliwa na mamilioni ya watu duniani kote kwani Kila mtu anaitaji kupata ufafanuzi zidi ya masuala kadhaa yaliyojitokeza kipindi yeye akiwa kimya. Lakini katika...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni hata zikisimama mbona somo limekwisha eleweka?

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Nimesikiza kipindi hiki "Meza Huru" ITV leo. Katika kipindi hiki watu mbali mbali walikuwa wakihojiwa kulingana na mwenendo wa kampeni. Sikia mambo hapa kwa ufupi, mwelekeo mzima ndivyo hivyo ulivyo kuwa: Bila ya mapendeleo huyu bwana anauelewa kuliko hata...
  18. JamiiForums Tanzania Baada tu ya kampeni maana walipewa hela ili wawepo wakasema mkataba umeisha

  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wanapata wapi pesa za kugharamia wasanii wote wanaowatumia?

    Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi? Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
  20. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea CCM wakwama kufanya kampeni

    Wagombea Ubunge wengi wa CCM wamekwama kufanya kampeni kwa kuzingatia ratiba ya tume huku sababu zifuatazo zikitajwa 1. Kukosekana kwa fedha na chama, wabunge wengi wanakwama baada ya bajeti kubwa kuelekezwa kwa wasanii waandishi, watangazaji, viongozi wa umma wanaoratibu uchaguzi kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…