kamati

Kamati is a village in Bamyan Province in central Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Ndugai asimuite Samia kuja kujieleza kwenye Kamati ya kudumu ya Haki na Kinga za Bunge?

    Kufuatia matamshi makali na vijembe vizito vilivyotolewa na Samia dhidi ya Ndugai kiasi cha kuleta sintofahamu na kutafsiriwa kama jambo lenye kufedhehesha na kukidhalilisha kiti cha spika wa bunge, nadhani kuna haja ya Ndugai kutumia yale mamlaka yake ya siku zote aliyonayo kikatiba ili kumtaka...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Kamati ya Maadili ya Bunge haiwashughulikii hawa watu?

    Hapo nyuma tumeona jinsi Kamati ya Maadili ya Bunge ilivyokuwa na nguvu. Baadhi ya Wahanga wake ni Pascal Mayalla, Zitto, CAG aliyepita, Gwajima na wengine wengi. Hapo nyuma tuliona jinsi watu walivyoitwa kwa mkwara, kuadhibiwa na kuonywa. Ninachoshangaa ni jinsi Spika anavyoshambuliwa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndugai hawezi kuitwa kwenye kamati ya maadili ya Bunge?

    Nadhani ni wakati muafaka kwa Jobo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya Bunge ili aeleze kwa nini awamu ya tano hakuwahi kuhoji kuhusu serikali kukopa? Awamu ya tano ilikopa takribani trillion 29, leo anahoji serikali ya mama kukopa
  4. JamiiForums Tanzania Je, Kamati ya Haki, Kinga na madaraka ya Bunge itamhoji Spika Ndugai?

    Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge? Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Jitoe kwenye Kamati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, hana nia njema

    Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT Pole na majukumu ya kazi zako. Nakuandikia hii barua ili mimi na wewe tuweze kureason, na kuchukua hatua sahihi ya kisiasa inayoendelea nchini kwa manufaa ya usitawi wa demokrasia nchini. Mheshimiwa, Zitto Mimi binafsi ni miongoni mwa watu waliokupa...
  6. JamiiForums Tanzania Badala ya kuwatumia wateule wenu kuanzisha michakato na kamati feki, CCM simameni mjibu hoja za washindani wenu

    Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Jambo/mambo wanayodai washindani wenu yapo kisheria...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi mkoa wa simiyu imeomba serikali kuajiri walimu

    Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani. Ushauri huo umetolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Innocent Nazaba, wakati wa ziara ya kamati ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kamati za ulinzi na usalama mnawaonea walionunua silaha

    Kumiliki silaha ni jambo ambalo linahitaji mchakato makini hasa katika nchi yetu. Pamoja na umakini huo bado nashindwa kuelewa inakuwaje kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa iskae kujadili waomba umiliki wa silaha kwa zaidi ya miaka minne.Watu wanaopewa nyadhifa kubwa security vetting inafanyika...
  9. JamiiForums Tanzania Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

  10. JamiiForums Tanzania TCRA: Kipindi cha Shule ya Uongozi cha Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji

    Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji. Kamati imeongeza kuwa maudhui ya kipindi ni ya upotoshaji na yanayoweza kusababisha taharuki kwa wananchi. Sasa kiki ya...
  11. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika: John Rupia katika kamati ya mapendekezo ya katiba ya Tanganyika 1950

  12. JamiiForums Tanzania Serikali imefuta matokeo ya nadharia kwa masomo ya Utabibu Ngazi ya Tano baada ya kubainika kuwa ilivuja

    Serikali imefuta matokeo ya nadharia (theory) kwa masomo ya program ya Utabibu Ngazi ya Tano (NTA Level 5) baada ya kubainika kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili wa programu hiyo. ======
  13. JamiiForums Tanzania Bungeni, Dodoma: Spika Ndugai ataka NIDA kuitwa na Kamati. Asema haifanyi vizuri

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi nzuri Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa Tano wa Bunge la 12 amesema, "Ndiyo kazi yenu kupitia hizi Kamati, waiteni kieleweke. Tumeanza nao...
  14. JamiiForums Tanzania Brazil: Kamati ya Seneti yapendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe

    Kamati ya Seneti nchini imepiga kura kupendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe kwa namna alivyoshughulikia janga la Virusi vya Corona. Hakuna uhakika kwamba kura hiyo itapelekea afunguliwe mashtaka kwani mapendekezo ya Ripoti lazima yatathminiwe na Mwendesha Mashtaka Mkuu ambaye ni Mteule wa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Sukuma ndani! "Mkibaini mchwa yeyote popote wa fedha za miradi ya Umma"

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile ateuliwa Kamati ya Sheria Ndogo na Masuala ya UKIMWI

    MHE.NDUGULILE (MB) ATEULIWA KAMATI YA SHERIA NDOGO NA MASUALA YA UKIMWI Mbunge wa Kigamboni Mhe.Faustine Ndugulile Leo Oktoba 09,2021 amekuwa sehemu ya walioteuliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai ambapo ameteuliwa kuwa Mjumbe kwenye Kamati ya Sheria Ndogo na...
  17. JamiiForums Tanzania Kamati ya Sheria Ndogo ya Bunge

    Wajumbe wake wapya ni Dr. Chamuliho, Dr. Kalemani, na Cde. Polepole. Powers za kamati hii ni zipi?
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wengi wanapowekwa rumande/gerezani au kuitwa kwenye kamati ya masdili hupenda kubeba vitabu?

    Hivi huko gerezani au mahabusu kuna V.I.P? Ili mtu aweze kusoma kitabu ni lazima akae sehemu ambayo ni comfortable, Kwanini viongozi wetu wanapopata majanga hupenda kubeba vitabu mfano wanapoelekea mahakamani au kwenye kamati ya maadili , Mwenye majibu atusaidie
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naheshimu Kamati ya Usajili ya Simba SC, ila nauliza Shiboub tuliyemwacha ana tofauti gani na huyu Kanoute tunayemsifu leo?

    Mtanisamehe kama nitawakwaza ila kwangu Mimi Mightier siiaona tofauti ya Kiungo Shiboub tuliyemwacha kwa sababu za Kipuuzi na leo hii Kumsajili Kiungo Kanoute tunayempamba. Tena kwa ninavyomjua Shiboub na kumtizama tokea akiwa Kwao Sudan na katika Mashindano mbalimbali ya Kimataifa aliyocheza...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu ya CCM chakamilika Dodoma

    Mwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu @samia_suluhu_hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma. #ChamaImara #KaziIendelee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…