kali

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wachina wamegundua pikipiki inayotumia pombe kali badala ya mafuta

    Tukisema afrika bado tunaitaji No reform No election mnaleta matamasha ya raisi.Haya waziri wajafo,mchengerwa na mwiguru uchumi mtauweza. https://www.youtube.com/shorts/zorydKgciQY?app=desktop
  2. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Stress kali special thread

    Wasalaam wana jamvi. Nimeona nianzishe uzi huu kwa ajili ya wote tunaopitia STRESS KALI aidha kwenye mahusiano, familia, biashara, afya, na kadhalika Watu wengi wakiwa na stress huenda bar na kutafuta barmaid wanaanza kulewa na zikipanda wanaanza kuropoka stress zao ambazo pengine ilibidi ziwe...
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri movie gani kali niangalie

    Movie yoyote ambayo itanifundisha au itabadirisha mindset yangu hasa katika kupambana na umaskini. Asante Jina tu la movie linatosha
  4. Hharyson

    JamiiForums Tanzania 5BEDROOMS MANSION YA CHINI KALI SANA PLOT SIZE 40X40M CALL US FOR DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES +255624004650

  5. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania This ain’t your regular maths – hii ni f*cking gangsta mathematics: formula mpya kali za kichawi hazijawahi kutokea Tz

    Yo, watanzania wenzangu, especially walimu wa hesabu... Let’s be real, you’ve been feeding kids the same old sht for decades. Pythagoras this, Quadratic that, kama vile hiyo crap ndio mwisho wa dunia. But guess what? Hii ni Mathematics from the fcking streets, straight outta mental ghetto...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Jana Mbunge wa Kenya kauliwa na huku kwetu kiongozi wa kidini kavamiwa. It makes you wonder kwamba je wewe mpambanaji wa kawaida what worst can happen

    Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao. Nawatakia Amani ndugu zangu.
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Movie kali sana unatengeneza roboti kumbe

    Unatengeneza Roboti kwa ajili ya kusaidia kwenye kulinda nchi na ulimwengu, kisha anakusaliti na kutaka kuitawala Dunia je atafanikiwa movie yenye ukatili kinoma 🔥🔥🔥 https://youtu.be/DgxBGtYo1mI
  8. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji logo kali kwa biashara yako

  9. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Jua kali tamthilia wamezingua sana

    Habari za Jumatatu Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba nimekuwa nafuatilia tamthilia hii bila kufuata mtiririko. Ila siku za karibuni nimeifuatilia bila kupenda kwa kuwa nilikuwa nabembelezwa nitoe remote na kubadili chaneli. Hivyo wakati nasubiria tamthilia iishe, ilibidi kutazama ndipo...
  10. Daby

    JamiiForums Tanzania Me too ya Harmonize na Abby Chams: Moja ya nyimbo kali kuwahi kutengenezwa kwenye historia ya Muziki wa Tanzania.

    https://youtu.be/qCOsfkUKMfI?si=bMgpLjfzFdFBAqSx
  11. Maganjila tz

    JamiiForums Tanzania Najenga mashimo ya choo ya kisasa yasio jaa walakutoa halufu kali Pia tunatoa ushaui

  12. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Movie kali ya weekend

    Movie Kali ya weekend Wakati mwingine usipende kuishi pekee yako ni Hatari kilichomkuta huyu dada ni fundisho kwa wengine movie Kali sana https://youtu.be/bYF1bbjCdEg Unaweza kuidownload yote na kuweza ku enjoy weekend yako movie Kali sana
  13. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ist kali inauzwa waweza kuicheki

    IST Kali inauzwa namba E Price 14.4M Location DSM Call 0658124288 TOYOTA IST(EAT) Year 2004 Engine Code 2NZ ENGINE capacity 1290cc Milleage. 59080km From Japan Bei 14.4 Million Location DSM
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Hii ndo movie kali ya kutisha kaitizame

    MOVIE KALI YA KUTISHA 🔥🔥 Mtoto wa AJABU movie Kali ya kutisha Sio kila mtoto wa kuishi naye wengine ni majini wazazi walijuta kwanini walimuokota huyu mtoto 🔥🔥🔥 Hii movie usipokimbia basi wewe Bingwa 😂😂 https://youtu.be/98pBUiOomKc
  15. Hharyson

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA VYUMBA 4 KALI KUWAHI TOKEA CHECK IT

    4BEDROOMS PROPOSAL DESIGN FOR OUR CLIENT (1200SQM PLOT) WE DO BUILDING DESIGN CALL US TO GET YOURS +255624004650
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Common side effects. Series kali

    Huyu jamaa kagundua uyoga unaoweza kutibu magonjwa yote. Kuna watu wanautaka na kuna wengine wanataka kuzuia usiwaharibie biashara.
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Bongo noma sana pombe Kali zilizokuwa viroba zinauzwa Mpaka leo

    Si unakumbuka zilipigwa marufuku Toka 2017 na ikapelekea MPAka mfanyabiashara wa dodoma kujiua sasa wajanja hawakujiua walificha stock na siku hizi wanazitoa zinauzwa kinyemela wanauziwa bei rahisi hasa wakina mama wanaouza gongo wateja wanaambiwa tu hizi spirit ni konyagi au smart. Pamoja na...
  18. Stability

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu nimepigwa na UTI moja kali sana. Kuweni makini.

    Katoto tu kwa 2005, aiseeh
  19. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Huyu binti ali drop kali ya mji moja hivi alafu ghafla akapotea tena bila kuonekana

    Mitandao hii inaweza kukufanya ukawa star kwa mambo ambayo hukutarajia au ulifanya makusudi ila iikaenda ndivyo sivyo, nafikir ameamua kujificha kuiepuka aibu
  20. Codehood

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanaamini Wakristo hawaendi Mbinguni na Wakristo wanaamini waislamu hawaendi Mbinguni. Vita ni kali sana

    Hii vita ni kali sana ambayo haina mwisho wake, Hiyo ni mpaka pale mtu utakapo kufa ni either ujue ukweli au upotee as kabla haujazaliwa.
Back
Top Bottom