kali

  1. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Kamati ya masaa 72 yaifuta kadi nyekundu ya Derick Mukombozi

    Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua... Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Poleni sana Wakazi wa hii Mikoa tajwa Tanzania kwa Joto Kali mnalolipitia sasa

    Nimetoka kutizama Taarifa ya Habari muda si mrefu na kuona Watanzania wenzangu huko mliko mnavyotaabika sasa kwa Joto Kali ambalo huenda likawa limevunja Rekodi Polemi sana Wakati wa Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Tanga, Lindi, Mtwara na Zanzibar (Unguja na Pemba) Nilipo Mimi Kampala, Mubende...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
  4. Area 56

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Kombolela Season 2 ni kali sana

    Wakuu… Mimi sio mpenzi sana wa haya matamthilia ya nyumbani. Ila hii Kombolela ni moto mwingine. Nimejikuta naifatilia na kuipa muda. Mtunzi apewe maua yake. Wahusika wameua sana hasa Kobisi Kikala na dada zake akina Siwa na Mwadawa!! Inasadifu maisha halisi ya uswahilini…
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Elon Musk haondoi video za pono kwenye huko twitter, hii kitu ina addiction kali sana kwa vijana

    Nahisi sikuhizi wadau wa haya mambo hawaingii kwenye zile sites zao, wananyooka moja kwa moja twitter MADHARA YAKE Porn inamaliza pesa, ni sembe ya kidijitali, mtu yupo radhi ale maandazi usiku ili anunue kifurushi cha elfu mbili Porn inachochea kujichua ukiwa mraibu wa kujichua kwa muda...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Watu 28 wajeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililokuwa linaendeshwa na mkimbizi kutoka Afghanistan

    Yani hawa Wajerumani si ndio walikuwa upfront kuwapokea kwa wingi ngoja waendeleee kuona moto. Mara ya mwisho kuna mmoja alifanya hivi hivi sasa leo tuna mwingine kafanya yake, kuendesha gari na kuwasomba watu waliokuwa pembezoni. Hawa watu asili yao ni kuitafuta damu, damu ya asieamini kama wao
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa, sema kitu, Joto limekuwa kali mno

    Mamlaka ya hali ya hewa ingieni ofsi Mmekuwa mkifanya utabiri ukienda kinyume mara kadhaa Mlitabiri mvua kubwa mwezi February ila Sasa joto ni kali Huku Kanda ya ziwa jua ni kali mno, Joto kama tuko Dar es salaam au Sudan Twambieni utabiri kwenye mitambo yenu inaonyesha nini, tunapanda...
  8. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

    Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu. Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana. Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya...
  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Elon Musk na Julius Malema ndani ya vita kali ya maneno. (Huyu Elon toka apewe rungu anaenda kuchanganyikiwa)

    Vita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji toka Afrika Kusini Julius Malema kisa kauli zilizo tafsiri kuwa za kibaguzi toka kwa mwanasiasa huyu kwenda kwa jamii ya wazungu wa Afrika Kusini. Tajiri Elon hapa kachafukwa anataka...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hali ya jua kali ulipo ikoje? TMA utabiri ukoje?

    Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata tone hakuna 1. Mwambao wote wa Bahari ya Hindi
  11. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hongereni tamthilia ya Jua Kali. Mmewekeza zaidi katika uhalisia na uelewedi na sio makalio na show off.

  12. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Paradise inaweza kuwa moja ya show yenye pilot episode kali zaidi

    Achana na trailer, synopsis ama kitu chochote. Tafuta means ya kustream hii kitu ama kudownload kupitia torrents. Utakuja kukubali.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii ya Mgombea Urais wa CCM Kali ya Karne.

    Hii ishu ya mgombea urais wa CCM inachekesha kwelikweli kisha inahuzunisha. Yaani anakuwa mgombea rasmi wa Chama, halafu fomu ya kuomba kugombea anajaza baadae! Ni kama movie inayochezwa kinyumenyume 1. Ni sawa na kunywa dawa za ARV mapema kabla ya kuikwaa ngoma 2. Ni sawa na kuanza routine...
  14. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Vijana wanavyohatarisha maisha yao kwa bodaboda, pombe kali, mirungi, na korokoro la mchina usiku kwenye night club

    Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana. Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania "Vision X Tint Studio" walikua ndio Authorized Dealer wa 3M Tint kwa Tanzania. Jamaa walikua wanaweka tint kali na quality sana.

    Gari kua na tinted ni jambo la msingi sana. Inaongeza privacy na usalama, inapunguza joto (heat na UV rays) na kuongeza "muonekano" mzuri. Sasa hawa wawekaji wa Instagram wanatuwekea sawa tint ila quality mbovu sana na ndio maana nyingi baada ya miaka 2 zinabadirika rangi kama sio kubanduka...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hawa koluna na wahalifu wengine nchi ya congo kwa sheria walizowekewa kuna siku watakimbilia nchi jirani kuendeleza kazi zao.

    Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Songea -Njombe inamong'onyoka kwenye kona kali, ni hatari kwa wanaoitumia

    Barabara hii ipo njia ya Songea Njombe inamongonyoka upande, sehem ya kona kali hivyo ni hatari kwa watumiani wa magari mazito, kama Malori, mabasi na magari ya mizogo. Mamlaka ichukue Hatua za haraka kuepusha magari kuzama na kudondoka
  18. Sisa Og

    JamiiForums Tanzania Weka Movies na Nyimbo zako kali 2024

    Habari wana JF? Mwaka 2024 ndo tunaumaliza hivyo. Basi nikaona ni vyema kama tukijikumbushia movies na nyimbo ambazo tumezizingatia sana mwaka huu. Binafasi, movies nimecheki nyingi ila hizi tano ndo nimeziangalia sana. Sina budi kusema ndo movie zangu pendwa: Good One Civil War Sometimes I...
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Movies: Mwaka 2024 ni kama hamna Movie kali iliyotoka!

    Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax. Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters? Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu. Mwaka 2025 utatutibu maumivu: Mad Max: The Wasteland Mission Impossible Avatar...
  20. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kuna movie Ina dialogue Kali kuzidi TROY?

    Aliyeandaa Script uwezo wake wa kufikiria ni mkubwa jinsi character walivyokuwa wakifanya mazungumzo una feel na kuenjoy wanavyojibishana hizi ndio tunaita Masterpiece. 1. Jamaa baada ya kuibiwa mke wake anaenda kwa brother wake kuomba msaada cheki mazungumzo yao yalivyokuwa. MENELAUS: I want...
Back
Top Bottom