kali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Website Kali Kwa Tanzania zinazotambulika Kwa movie na series zilizotafasiliwa Kwa Kiswahili

    Leo katika pitapita yangu wadau nnimekutana na moja ya website makini sana ambayo inahusika na maswala ya movie na series zilizotafasiliwa Nahitaji mnisaidie kunipatia majina mengine ya website maana nimekutana na site moja hapa inaitwa SWAFLIX Hii website ipo na movie na series zote za madj...
  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Una ghetto Kali sawa, vipi mazingira ya wazazi wako?

    Ni ujinga wa hali ya juu kama unaishi na Kulala sehemu nzuri hali ya kuwa wazazi wako waliokupambania mpaka kufika hapo wanalala kwenye dhiki. Wanalala chini Kwenye Godoro kama ulimi wa mbwa Hakuna fan Wala asset nzuri za maana. Kuwaweka wazazi wako kwenye mazingira mazuri haiitaji uwe na...
  3. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Unahitaji nyumba nzuri na hii ni moja ya design kali yenye 4 bedrooms, fit on 900sqm plot. Call us kupata huduma 0624004650

    HII DESIGN INA; 1. ENTRACE LOBBY TO LOUNGE ,DINNING, OPEN KITCHEN WITH STORE AND LAUNDRY 2. 4BEDROOMS (WITH CLOSET),ALL SELF AND MASTER BEDROOM HAVE RELAXATION PATIO SISI TUNAHUSIKA NA UJENZI + DESIGN + USHAURI CALL/WHATSAP +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  4. G.T.L

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mwenye Camera Kali aje nimpe dili week end hii

    Kuna mtu anahitaji kupiga picha zaidi ya 60 Jumapili ya kesho kutwa asubuhi na mapema sanaa. Location ni Gongo la mboto. Hakikisha una Camera ya viwango. Njoo inbox niku connect
  5. Sajo

    JamiiForums Tanzania Foleni kali sana Ubungo - Kimara

    Aisee, hii kamba ya leo tarehe 13.08.2025 ni ndefu sio kitoto. Yaani kutoka Ubungo mpaka Kimara umbali wa kilometa 5 tunatumia masaa 2:30. Tatizo nini, ni ujenzi wa barabara au kuna ajali? @Tanroads
  6. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kali kariakoo

    Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kariakoo msaada tujuzane wapi ntapata suruali hizi kwa bei nafuu maana huku ni 38 tunaambiwa
  7. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali

    Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali —dada yangu jitunze, jali afya ya chombo chako, miiko ya wanaume imekuwa legelege kwa sababu ya masufuria yenu kuwa na ukoko wa shombo
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ngoma (wimbo) wa "wembe kupita ule.... ushindi" ni kali balaa, niko hapa nasikiliza, nambari one ni CCM

    Kula chuma hicho ndugu mtanzania. Miezi miwili ya burudani
  9. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania “Anzia Ulipo” inaweza kuwa ni moja ya ngoma kali ya Chino Kid

    https://youtu.be/Zy-ulZ9MyuU?si=Tz-O32qrJWjNpy_N
  10. J

    JamiiForums Tanzania Pole pole livestream ina 6.5k current watching viewers wakati aliko mkuu wa nchi kuna 12viewers. Hii vita ni kali sana 😂

    Press conference ya H Polepole Ina viewers zaidi ya 6K wakati hayo maonesho na nane nane Yana watazamaji 12. All the best enewei
  11. Hharyson

    JamiiForums Tanzania "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue ni ghali

    "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue, gharama yake ni juu kidogo kulinganisha na za kawaida!" check out this 4bedrooms with balconies call/whatsap us +255624004650 design and construction...
  12. Hharyson

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA NDOTO YAKO UNAIPATA HAPA ,ANGALIA DESIGN AND BUILD YA HII MANSION KALI YA 5BEDROOMS WITH CINEMA ROOM

    TUNAFANYA KAZI NZURI FROM DESIGN TO UJENZI TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kilwa mgombea mmojawapo wa CCM ametupiwa onyo kali la kimbunga

    Wakuu, Nimeona video huko Facebook upepo mkali unabeba viti na inadaiwa kuwa imetokeo huko Kilwa kwneye moja ya mkutano wa wagombea ubunge katika mchakato wa kuomba kura za maoni kwa wajumbe huko CCM
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kuna Vidume wanapiga perfume za harufu kali hadi Kero

    GT Labda mimi ni Mshamba kiukweli hakuna kitu sipendi kama marashi yenye harufu kali tena unakutana kidume kabisa kapiga da nomaa sana. Yaani unaanza kusikia harufu akiwa umbali wa mita 15 sasa huyo mtu akusogelee hatari tupu akikaa sehemu atacha harufu ya marashi yake hata siku nzima...
  15. Hharyson

    JamiiForums Tanzania 45M MPAKA ROOFING 4BEDROOMS DESIGN NZURI NA KALI SANA FIT 20X20M PLOT CALL US +255624004650 KUPATA DESIGN NZURI NA UJENZI WA KIWANGO

    DESIGN YA VYUMBA 4 , 1. LOUNGE 2.DINNING & KITCHEN 3.2BEDROOMS SELF 4.1BEDROOM SINGLE NEAR PUBLIC BATHROOM 5.MASTER BEDROOM WITH CLOSET AND SPECIOUS BATHROOM 6.BARAZA 2, COST MPAKA KUPAUA NA VERSATILE 45M TUNAPATIKANA SINZA PALESTINA CALL/WHATSAP +255624004650
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ulaya ina chaguzi 2; Ijifunze kutoka kwa Israeli jinsi ya kushinda terror ya itikadi kali au kupoteza muuda kuilaan Israeli huku wakiwa terrorized

    Hivi karibuni ulaya itasambaratika na kuwa eneo jipya la mapigano ya kivita, ulaya haifahamu kuwa Israel ambayo imekuwa ni uzio kwao wa kuwazuia itikadi kali na magaidi ambao ndio wapangaji wa machafuko ya dunia Leo hii ulaya inajifanya kuwa "politicall correct" kwa kuwapa fursa na nafasi...
  17. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Abdullah Al Faisal: Mhubiri wa siasa kali aliyekamatwa Nairobi 2010

    Abdullah al-Faisal (alizaliwa kama Trevor William Forrest) Asili: Alizaliwa mwaka 1963 huko St. James, Jamaica. Alisilimu akiwa na umri wa miaka 16, na kuchukua jina la Kiislamu: Sheikh Abdullah al-Faisal. Alisomea Uislamu nchini Saudi Arabia katika Chuo Kikuu cha Imamu Muhammad bin Saud...
  18. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Rafiki yetu Cheda: Alivyopotezwa na itikadi kali ya Dini

    Rafiki Yetu Cheda: Alivyopotezwa na Itikadi Kali ya Dini” Utangulizi wa Kijiweni: Basi ndugu yangu msomaji, leo ngoja nikupe story nzito ya maisha halisi ya jamaa yetu tuliyesoma naye Minaki—jina lake Francis, ila sisi tulimzoea kumuita Cheda. Hii sio hadithi ya kufikirika, ni ukweli wa...
  19. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Spana za unju by Nikki Mbishi album kali

    Sikilizia mkwaju namba 11
  20. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Lesotho usiku huu baridi Kali sub zero

    Lesotho usiku huu utadhani Urusi wakati wa winter. Temperature zimeshuka hadi -4°C Johannesburg 8° C, Cape town 13° C, Harare 14°C, Gaborone 9°C Dar es salam 24°C Arusha 17° C, Njombe 9°C, Majinga 13°C https://youtube.com/shorts/zOagRFdGUsA?si=iDT6m21Z3CuZ71aQ
Back
Top Bottom