Wanamgambo wanaosemekana kuwa ni waisalamu wenye itikadi kali wamewauwa wanajeshi 29 na kuwajeruhi 5 huko Mali, walipoivamia kambi ya jeshi iliyoko kaskazini mashariki, Machi 19, 2020
Jeshi la Mali limekuwa likipata mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa waislamu wenye itikadi kali ambao wana...