kali

  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania CCM sasa inaanda pigo Kali litakaloiua kabisa hoja ya katiba ili Chadema wabaki hawana ajenda, zote zitakuwa zimedhibitiwa.

    Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death). Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini. Watu wako...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Muhudumu wa 'lodge' ni pisi kali kumzidi mpenzi wangu niliyempeleka hapo mapumzikoni

    Kuna kipindi fulani nilienda Kahama kwa shughuli za kimiangaiko; kutokana na kuwa na marafiki wengi, nikaomba si vibaya kuomba 'appointment' na mwenyeji wangu mmoja anayeishi katika mji huo. Alipofika, tukabadilishana mawazo, kula kunywa na hatimaye tukaelekea mapumzikoni. kufika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni mtu Mwenye Amapiano kali za kupigwa Club azitupie humu

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naombeni hizo Amapiano kali.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

    Na wengi wao Wanaishi maeneo ya Tabata Segerea, Banana Gongo la Mboto, Kimara Bonyokwa, Mbezi Makabe, Tegeta, Salasala, Mbagala Kipati, Bunju B, Mabwepande, Ubungo Maji, Yombo, Kawe Ukwamani, Mbezi Beach ya kwa Maua hadi ile ya Makonde upande wa kuelekea Baraza la Mitihani, Buza, Msasani mkabala...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Wanachadema toeni michango, tuna njaa kali. Hii njaa ni kali tutashindwa kudai demokrasia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe Rose Mayemba,baada ya kuzinduliwa mpango mahususi wa kuchangia Chama (Join the chain) ametoa wito kwa wanachama kuendelea kutoa michango kwa kuwa haiwezekani kudai demokrasia ya kweli wakiwa na njaa. https://t.co/UWwleS0fUi
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hii series ni Kali ile mbaya lakini ipo underrated

    Habari Zenu, Katika utundu wa kutafuta series ya kuangalia kuna jamaa yangu mmoja akanirushia series moja ya Taiwan inaitwa DANGER ZONE CHAPTER 1: THE DARKNESS KNIGHT binafsi sio mpenzi wa movie au series zinazotoka Taiwan au za wafilipino lakini siku moja nikuwa Sina kitu Cha kufanya nikaona...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa kukatwa na vitu vyenye ncha kali bila kujeruhika

    Uchawi huu uko sana Kigoma, pia majambazi wengi huutumia
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Nyimbo zangu tano kali za Bongo Fleva

    Kiukweli TZ tulibarikiwa sana vipaji kwenye kiwanda chetu cha muziki ( Bongo Fleva). Miaka ya nyuma tulikuwa na vipaji vingi sana lakini kadri miaka inavyozidi kwenye vipaji vinazidi kupotea, kuna haja ya wadau wa muziki huu kuzinduka usingizini. Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kali za Bongo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hili lilinikosesha Pisi kali

    Wakuu habari za wikendi Nimekumbuka Kisaa hiki kilinitokea huko nyuma miaka 20 iliyopita. Nilikuwa nikipata Pisi kali baada ya kuanzisha mahusiano mazuri kuna ile mnaanza kupiga stori za ndani ndani zaidi. Akiniuliza hivi Pythagoras kwenu mko watoto wangapi? Kwakweli hili swali lilikuwa...
  10. Mbao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Hadi Mama Dangote amekuja Mbao Tanzania, sijui anajenga ghorofa!

    Habari zetu kupitia JF zinafika mbali sana. Ishukuriwe platform hii kwa kutusaidia kuonekana kupitia mijadala yenye tija hasa kwa sisi eneo letu la ujenzi na hamasa tunazopeana humu. Tunapenda kuwajuza tu kuwa Mama Dangote ni miongoni mwa wateja wetu waliofika #MbaoTanzania kuchukua mzigo wa...
  11. vijora

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ramani kali zinauzwa

    Simple design (Ramani) 3 bedrooms Kitchen Store Dining Living room toilet Tofali 3300 Kiwanja kuanzia mita 18 kwa 20 Get the plan +255678418272 Whatsapp
  12. Display Name

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa sana na Walimu hawa. Hawakutumia busara kwenye hili

    Habari wakuu, Siku chache zilizopita imesambaa video ya Wanafunzi ambao kwa muonekano wanaonekana ni wa Shule ya Msingi (Sifahamu jina la shule). Video hii inasikitisha mno kwa kuona ambacho wanafunzi wanakiri walichofanya. Ipo hivi, hawa wanafunzi wakiume wanakiri kuwa na na tabia ya...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nini husababisha baadhi ya viongozi kuongea kwa hisia kali na uchungu wanapokuwa majukwaani wakihutubia?

    Kuna baadhi ya viongozi wanapoongea huwa wanapenda kudhirisha kwamba wanamaanisha wanachokisema na sio mzaha mzaha, mfano muone huyu jamaa hapo kwenye video chini; Mfano awe anasema “ole wako nikukute unakula pesa za umma..., nakutapisha zote hadi utapike na damu kabisa!!!” Watumishi wa Umma...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Division 3 au 4 za Zanzibar zina dili kuliko division one kali za bara

    Zanzibar Walishapewa incentives nzuri kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapenda ma vyeti wa bara. Leo hii bara kuna watu kibao waliopata Division 1 ila hawana ajira. Kwa upande wa Zanzibar mambo ni bam bam!! Wao wapo wachache sana lakini ajira asilimia 21 za...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Polisi Manyara wagundua kiwanda bubu cha kuzalisha pombe kali feki, watumia jina la Konyagi

    Jeshi la polisi mkoa wa Manyara katika operesheni zao, wamegundua kiwanda bubu kilichopo Mtaa wa Ngarenaro mjini Babati, kinachozalisha pombe kali feki zinazofungashwa kwenye vifungashio vya kampuni ya Konyagi. Jeshi hilo limekamata shehena ya pombe hizo feki huku wakiwaweka wafanyakazi wa...
  16. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Tangu uzaliwe mpaka sasa 2022, ni wimbo gani bora kwako?

    Maoni na kura yako iwe kwa vigezo hivi: Ni bila kuangalia _AINA YA MUZIKI _UJUMBE _MSANII ALIYEIMBA _HADHIRA ILIYOKUSUDIWA _UKUBWA WA MWANAMUZIKI _MUDA, MWAKA, IDADI YA _MATAMASHA, UKUBWA WA LEBO, PROMOTA, MSANII, MEDIA *********** NI WIMBO GANI BORA KWAKO, TANGU UANZE KUSIKIiLiZA MUZIKI...
  17. Mhere Mwita

    JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  18. mike2k

    JamiiForums Tanzania James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

    Chombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE 🔭 kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile 1500000 kutokea duniani. James Web telescope ni mradi uliutumia zaidi ya trillion 22.3 na kuchukua...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Mwingine auwawa Arusha. Akutwa amepigwa kitu chenye ncha kali.

    Mwanamke Mmoja mkazi wa Njiro mkoani Arusha amekutwa amefariki baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali. Alikiwa akifahamika kwa jina Jenerose Dewasi. unfurl="true"]Mwanamke mwingine akutwa amekufa Arusha[/URL]
  20. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Pisi kali huwa mnajitambua kuwa nyinyi ni pisi kali?

    Nauliza hivyo kwa sabab zifuatazo: 1. Pisi Kali wengi hawaolewi 2. Pisi Kali wengi wanapata wanaume wahuni wahuni tu ambao hawana nia ya kuoa 3. Pisi Kali wengi wanaishia kupigwa mimba tu bila ndoa za kueleweka. Sasa kama wewe ni pisi kali na unajitambua kwanini usiolewe na mwanaume anaeleweka...
Back
Top Bottom