kali

  1. Tanzania tujipange kupokea wazungu watakaokimbia baridi kali kwao

    Hali sio nzuri nchi za Ulaya na Marekani, mfumko wa bei ya mafuta, gesi na chakula umevuruga mipango ya serikali na raia ya wazungu. Hivi karibuni majira ya baridi yataikuta Ulaya ikiwa na uhaba wa gesi na umeme kupashia nyumba joto. Hii itawafanya wazungu wengi kuja kujisalimisha nchi za joto...
  2. Ridhwani Kikwete akemea vikali wauza dawa za kulevya na ataka sheria kali itungwe

    Dj walete na song letu la Iyena iyena. Kwa Mara ya kwanza namuona Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akichangia hoja ya marekebisho ya muswada wa sheria ya Dawa za kulevya na ametaka sheria Kali zitungwe kukomesha wauza Dawa za kulevya. Ni kipi kimekushangaza? Mwanakondoo ameshinda tumfuate...
  3. Ukatili dhidi ya wanawake, Mwanamke auwawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali huko Mkoani mwanza

    Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa hiyo miwili huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana na upelelezi wa kubaini...
  4. Hii ni kali, polisi wenye daladala wanaiibia serikali

    Hii ni fedheha na ukosefu wa nidhamu wa hali ya juu. Polisi kuiibia serikali, tena kwa jinai mchana kweupe ni kielelezo cha uozo ndani ya polisi. Mama Samia kafanya kweli katika kulitumbua jipu hilo maana limeota mizizi. Hao maafisa wahusika ni lazima wapelekwe mahakamani kwa uhujumu uchumi.
  5. Ni mikoa gani pisi kali za kichotara zinapatikana

    Wakuu, wasalaaam, Ni mikoa gani pisi kali haswa za kichotara chotara ivi zinazojielewa zinapatikana? Naskia Tanga kuna za kiarabu kali kali. Mnaonaje wadau? Hivi ni kweli? Na kama kuna anayejua mikoa mingine, itakuwa poa sana kutiririka humu wakuu. Kwa hayo machache,nawaomba na hili...
  6. Mzungu ana nyota kali ya mvuto? Kwanini watanzania wengi huwanyenyekea na hujipendekeza kwao?

    Si mara moja wala mara mbili nimekuwa nikiiona hii hali kwenye sehemu tofauti. Unakuta mzungu akienda ofisi ya serikali anashughulikiwa ki V.I.P unakuta swala lake linahughulikiwa kwaumakini wa hali ya juu sana. Akipita mtaani watu anaopishana nao wanampa sana salamu na hata wale wa mbali...
  7. Wanaume msihadaike na hadaa za nje, wengi mnatekeleza malengo ya wengine bila kujua na kutelekeza familia

    Wanaume wenye ndoa kuanzia miaka 9. Hawa wengi unakuta wanaanza kugonga miaka 40 na zaidi. Baada ya kupambana sana na kazi au biashara au kupata cheo hapa ndipo kipimo kamili cha uanaume kinakuwepo. wanawake rika mbali mbali hasa mabinti wenye tamaa watakupenda unajua kupendwa wewe...
  8. Nyimbo kali za club

    Bila kupoteza wakati. Nachelea kuwaletea cluh bangers kali ambazo mtu yeyote mwenye akili timamu akizisikia lazima aruke. 1. Notch_Nuttin no go so 2.sean Paul _ everblazing 3.t.o.k_ gal u a lead 4. Nywear _ mikasi 5.chaka demus_mudder she wrote 6. Rupee_ tempted to touch 7.wyclife jean_ love ft...
  9. S

    Msaada wa haraka tafadhali; Tiba ya matiti kuvimba na kuuuma kunakopelekea homa kali.

    Natumaiani hamjambo wana JF Nina ndugu yangu Umri ni 50+ anasumbuliwa na tatizo la matiti kupata maumivu makali ya kujirudia rudia hasa upande kushoto yanayopelekea uvimbe, na hujihisi joto pindi yanapoanza kuuma. Maumivu hujirudia baada ya muda (Mf wiki 1 au 2). Ni tatizo la muda mrefu kidogo...
  10. Mjue nabii wa kiafrika aliyemwigiza Nabii Daniel wa kwenye Biblia kuingia katika banda la simba wenye njaa kali

    Huyo mwamba pichani upande wa kushoto alipata kuwa nabii mkubwa sana huko Nigeria kwenye miaka ya 80 na 90. Anaitwa nabii Daniel Abodunrin. Unambiwa mwamba alikuwa anafanya miujiza mikubwa mikubwa , alitabiri mambo kwa ufasaha na alikuwa na wafuasi wa kutosha ambao walimwamini sana. Yote hayo...
  11. Sitasahau Siku nimemnunua X wangu kama Pisi kali

    Aisee wanasema milima haikutani lakini Binadamu wanakutana, Hiki ni kisa Cha kweli mwaka huu, Nilisafiri kikazi kwenda mkoani Tanga na Kwa kawaida ni sehemu ambayo huwa naenda mara kadhaa kutokana na kazi yangu, Basi Siku Hiyo nilitoka nikiwa na "ukame" kama wote maana nilikuwa na mgogoro...
  12. S

    Urusi: Uvumi wa kuwa silaha za wamagharibi (US+NATO) ni 'superweapons' unayeyuka mithili ya theluji mchana wa jua kali

    Ule uvumi kuwa silaha za wamagharibi ni 'superweapons' (bora zaidi) unayeyuka kama theluji/barafu mchana wa jua kali. Waziri wa Ulinzi wa Urusi General Shoigu amezungumza ktk kongamano la usalama la kimataifa leo Jumanne. Waziri huyo amesema silaha zote zilizomiminwa Ukraine na mataifa yote ya...
  13. Viwanja vya starehe vyenye totozi kali

    Wakuuuu habari na poleni na majukum. Ndugu yenu baada ya msoto wa muda mrefu ijumaa ntakuwa Dar kwa ajili ya mapumzio . Naombeni tujuzane viwanja vyenye watoto classic na mziki mkubwa nafikili mmenielewa ili wikendi nitembelee hvo viwanja Natanguliza shukrani
  14. Dada wa Rais Kim Jong-Un akiri kaka yake kupata homa kali katika maambukizi ya Covid-19

    Imefahamika kuwa Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un alipata homa wakati wa maambukizi ya Uviko-19, hayo yamesemwa na dada wa kiongozi huyo, Kim Yo-jong. Kwa kauli hiyo ni wazi anathibitisha Kim Jong alipata maambukizi kama ilivyodaiwa, lakini Yo-jong amelaumu Korea Kusini kwa kudai walirusha...
  15. T

    Ubunge EALA ni Vita kali CCM. Mpaka sasa ni makada 64 tayari wamevuta fomu

    Makada 64 CCM wapigana vikumbo ubunge Afrika Mashariki Wiki moja baada ya kufunguliwa kwa pazia la ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), wanachama 64 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokea hadi leo Alhamisi, Agosti 4, 2022 kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo. Idadi hiyo inaashiria mchuano...
  16. Ipi jezi kali 2022/2023?

    Piga kura yako...
  17. A

    Msaada ::Rafiki yangu akiwa Home anapiga show mbovu ila akiwa Away anapiga show kali sana

    Habari ! Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!, Mimi kwa upande wangu nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka maana sijui , hivyo humu ndani kuna watu wanaelewa Sana hivyo ningeomba kupata...
  18. Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

    Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani. Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba SC anadhamini Products zake bure kwa Mgongo wa Simba SC na kaamua pia kumvuta Dada yake karibu na...
  19. N

    Picha: Natamani hii ndio ingekuwa jezi ya Simba. Kali sana

    Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
  20. M

    Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

    Hiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…