kahawa

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zamani bidhaa kuu ya uuzaji nje ya kenya Ilikuwa Kahawa. Sasa ni kazi ya watu

    Kwa miaka mingi, bidhaa muhimu zaidi ya Kenya iliyokuwa ikiuzwa nje ya nchi ilikuwa kahawa. Leo, ni wafanyakazi. Fedha zinazotumwa nyumbani na Wakenya wanaofanya kazi nje ya nchi sasa zinachangia sehemu kubwa zaidi ya uchumi wa Kenya kuliko kahawa au chai — jambo ambalo rais wa nchi hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Tazama vikombe vya kahawa

    Wee chungulia TU, jiulize kwa Nini havikunywewa. Kataaa muhuni
  3. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kahawa CMS Mbozi hakidhibiti vumbi la pumba za kahawa, NEMC fuatilieni

    Habari, Hiki kiwanda kipo mji wa Mlowo kina husika na kukoboa kahawa ila cha kushangaza hakidhibiti vumbi la pumba ya kahawa lisiende kwenye makazi ya watu. Hali hii imekuwa ni kero kwetu sisi wakazi na kutusababishia vifua vya mara kwa mara. Tunaomba NEMC mfuatilie na mchukue hatua stahiki
  4. JamiiForums Tanzania Karibu asilimia 80 ya agano jipya ni maneno ya wanywa kahawa wa zamani

    Katika Agano Jipya: 1. Maneno ya Yesu: - Yanakadiriwa kuwa asilimia 18-20 ya Agano Jipya yote (kutegemea tafsiri na muundo wa Biblia). Haya yanapatikana zaidi kwenye Injili Nne (Mathayo, Marko, Luka, Yohana), na mara nyingi huandikwa kwa herufi nyekundu kwenye baadhi ya Biblia. 2. Maneno ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Eti nauza dawa ya kuacha Pombe! Kha unataka niwe nakunywa kahawa?

    Nimekereka sana na huyu mmasai. Mbaya zaidi ananifuata ofisini kwangu! Niwe nashinda kwenye vijiwe vya kahawa ? Niache ugimbi kweli?
  6. JamiiForums Tanzania Kahwa safi na fresh iliyokaangwa chini ya saa 48

    Kama mdau niliebahatika kulelewa kwenye mazingira ya kutegemea kilimo cha kahawa kwetu Arusha, nilikua nasikitika sana watumiaji wengi wa kahawa kutojua ladha halisi na fresh ya Kilimanjaro. Kahawa nyingi sio fresh aidha zimekaa sana au quality ya Buni ni sio nzuri. Kwa miaka mitatu iliyopita...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali imekatisha tamaa wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera

    Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500 Ila ajabu bei imeshuka Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeenda mitaa kadhaa hapa kahama ukifika kijiweni wee sema tu CCM HAINA USHAWISHI TENA Kisha Endelea kunywa kahawa Yako.

    Ni dhahiri kabisa ccm watu hawapendi hata kidogo kabisa wiki iliyopita nilikuwa geita basi nilikuwa nikifika kijiweni natupia tu Ccm Haina mashiko/ushawishi kabisa Kwa Sasa halafu natulia kuskilizia....mada ilikuwa inadakwa juujuu na inakuwa ya moto kweli.... Japo kwenye kundi la mamba kenge...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Anaishi mbagara anashinda Tegeta anakunywa kahawa, hatujui kazi yake , Hana simu

    Wadau hamjamboni nyote?
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Bashungwa: Watu walichanga 2020 ili niwe mbunge wa kipindi kimoja kusudi ufisadi uendelee ushirika

    Serikali inaendelea kusimamia sera nzuri na mifumo madhubuti ya usimamizi na uuzaji wa kahawa, kwa lengo la kuhakikisha wakulima wa zao hilo wanaendelea kunufaika kwa kupata bei nzuri na yenye tija. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Karagwe, Innocent...
  11. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Serikali itaendelea kulinda maslahi ya Wakulima wa Kahawa, Polisi washughulikie wizi wa kahawa

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kusimamia sera nzuri na mifumo madhubuti ya usimamizi na uuzaji wa kahawa, kwa lengo la kuhakikisha wakulima wa zao hilo wanaendelea kunufaika kwa kupata bei nzuri na yenye tija. Kauli hiyo imetolewa na Waziri...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Abaa lete haluwa na kahawa - Tuwaone waTanganyika kama wanayaweza ya waZenji.

    Nakumbuka Maalim Seif na wenzake walishitakiwa na kesi ya Uhaini , Nakumbuka Wazenji nchi nzima ya Zanzibar waliandamana ,yote ni kupinga dhuluma za CCM. Nakumbuka polisi na majeshi hupelekwa Zanzibar kila unapokaribia uchaguzi kwa kutekeleza agizo la CCM kuwakandamiza wazenji na atakae nyanyua...
  13. JamiiForums Tanzania Je ni kweli kahawa inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba

    Habari wakuu Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba . Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa wanaume wengi ambao wana umri wa miaka zaidi ya 45 kua na tazizo hili. Kwenu wakuu
  14. JamiiForums Tanzania Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia

    Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Mdahalo wa Wadau wa kukuza mnyororo wa thamani wa kahawa inayozalishwa barani Afrika uliofanyika pembezoni...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wenye mitaji tunaingia msimu wa kahawa

    Nipo mbeya vijijini kwa sasa ni msimu wa kuvuna maharage. Kuanzia mwezi wa nne, tunaanza kuvuna zao la kahawa. Nimeona kuna watu wengi wanaojihusisha na ununuaji wa kahawa mbichi (cherry) na kavu. Nimekuja kwenu baada ya kufanya utafiti wa biashara hii. Hii biahsara ina faida kwa wenye...
  16. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa wakulima wa kahawa Tanganyika

    TANZANIA imetajwa kuwa mzalishaji bora wa kahawa ya Robusta baada ya aina ya Chama cha Ushirika cha Kilimo cha Wilaya ya Ngara (AMCOS) kushinda tuzo ya Ladha ya Mavuno ya 2025 iliyotolewa na Chama cha Wazalishaji Kahawa Bora Afrika (AFCA). Wakiwakilishwa na Ubumwe Company Ltd, wakulima...
  17. JamiiForums Tanzania Wanywa kahawa tu:-Hivi kuna kahawa nzuri yenye kuchangamsha kama Nescafe Gold?

    Wakuu sijui ni kuwa addicted tu au ndo uhalisia ulivyo mimi kahawa yangu pendwa ni Nescafe Gold huniambii kitu asee. Kwanza huwa haina uchungu wala ladha za ajabu ajabu ladha yake imetulia Bali na hayo yote inachangamsha sana. Vipi wewe kahawa yako pendant ni ipi?
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Afrika lazima inufaike na thamani ya Kahawa yake – Tunapata 0.5% tu ya Dola Bilioni 500!

    Rais Samia akifungua Mkutano wa 3 wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Afrika Februari 22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/g5djiMf20HY?si=9JV2vTK9WBrKcyKu Wageni kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika wakishiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Barani...
  19. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kahawa Barani Afrika Februari 21–22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam

    Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huu unaongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkutano una lengo...
  20. JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kunywa kahawa ilikuwaje na ulikunywa kahawa ya aina gani?

    Na vipi, uliishia kuwa mpenzi wa kahawa au hukuipenda?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…