kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mila za Kabila la Waluguru zina kasoro, chukua tahadhari kabla hujaoa huko

    1. Mwanamke ndio mwenye nguvu watoto ni wa mama na watoto wanawaheshimu wajomba sio wewe baba. 2. Mwanamke wa kiluguru ukimuoa kila mwaka lazima arudi kwao kucheza ngoma na huko lazima akutane na ma X wake agegedwe. 3. Waluguru wanapenda kuishi pamoja ukoo mzima yale maisha ya kijima ya zama...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Barabara ya Mwendokasi Mbagala, inaanza kuzibwa viraka hata kabla ya kazi kuisha

    Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu. Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2...
  3. JamiiForums Tanzania CCM imeamua kuuza nchi harakaharaka kabla hawajatolewa madarakani 2025

    Umofia kwenu ... Tukianza na Lolliondo ambapo UAE wameshapamiliki na panasomeka ni eneo lao..... Wamasai wamelazimishwa kuondoshwa kwa nguvu na kisiasa Songosongo ilitumika kuokoa maisha ya prince. Sasa tunapangiwa mpaka bei ya gesi Vitalu vya uwindaji vimegeuzwa arena za kutorosha wanyama na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hii mikataba ilisomwa na kueleweka kabla ya kusainiwa ?

    Kuna hii clip inaonyesha mikataba ikisainiwa kwa speed kubwa kweli . Hivi imepitiwa kwa kina kweli ? Mbona ni kama hakuna u seriousness . Kwa hii clip ,mkataba wa DP unaonekana ulisainiwa 2022 feb 27 na 28 tukawekwe mjengoni ?
  5. JamiiForums Tanzania Dereva wa basi namba T331 BMM achunguzwe haraka kabla hajaua watu!

    Dereva wa basi hili namba T331 BMM jana tarehe 04/08/2023 wakati tunaelekea Dodoma alinifanyia overtaking mbaya sana na kidogo anisababishie ajali. Kani-overtake bila tahadhari ya kutosha ambapo kulikuwa na Semi-trailer inakuja kwa kasi kwenye njia yake ya kurudi Dar, hamadi Uso kwa Uso anakuta...
  6. JamiiForums Tanzania Sikujua kabla, nilikuwa nabisha huku sijui ninachobishania

    Naogopa kusema Mh Adv Mwakabusi alikosea. Binafsi sikupata muda wa kuusoma huo mkataba ila nilizisoma Arguments za Adv Mwakabusi na niliona zinamashiko sana. But nimepata muda nimeusoma huu mkataba kati ya Serikali ya Falme za Kiarabu ya Dubai na ambao wanaitwa "State parties" ndani ya mkataba...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu umebakiza kutubu kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Binafsi nilikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu. Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM...
  8. JamiiForums Tanzania DR-Congo: Mwanajeshi apiga Risasi Ndugu na Waombolezaji kwa Kumzika Mwanae wa Kiume kabla hajafika

    Hiki Kiherehere kipo sana tu na Maeneo mengine labda alichofanya huyu Mwanajeshi kitakuwa Funzo Kwenu. Taarifa Kamili: Aljazeera.com === A soldier in the northeastern Democratic Republic of the Congo opened fire on family members and others who had buried his son before he could arrive home...
  9. JamiiForums Tanzania Alichaguliwa chuo mwaka jana aka-confirm ila hakuripoti mwaka huu status bado inasoma selected kabla hata ya kuomba tena

    Habari zenu wakuu. Mwanafunzi mwaka jana aliomba vyuo viwili akapata vyote CBE na TIA. Aka-confirm CBE. Shida ikatokea mkopo hakupata hivyo hata chuo hakuripoti kabisa sababu mpaka batch zote zinatoka hakufanikiwa kupata kabisa na anapoishi ni mkoani. Sasa mwaka huu wakati dirisha...
  10. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ukubwa wa uke au uume wa mpenzi wako kabla ya kuingia kwenye mahusiano

    Habari zenu wapendwa, Natumai ni wazima kabisa na mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa Taifa Kijana uwe wa kike au wa kiume ni lazima uijue japo kwa uchache elimu ya maumbile ya ndani kwa kusoma maumbile ya nje yaani kwa kumtazama usoni na miguuni tu au maumbile yaliyoruhusiwa kumtazama...
  11. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 3,600 wa Muhimbili kupewa elimu ya fedha kabla ya kukopa au kuwekeza

    Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekubali ombi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila) la kutoa elimu kwa wafanyakazi wake 3,600 juu ya masuala ya kifedha, fursa mbalimbali zilizopo na vihatarishi vyake ili waweze kuchukua hatua stahiki kabla ya kukopa au kuwekeza. Ahadi hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima. Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Waandishi wa habari someni mjue mikutano inahusu nini kabla hamjaenda kwenye mikutano

    Dr. Slaa awaambia Waandishi wa habari wafanye uchunguzi kujua mikutano wanayoenda kuhudhuria kutazungumzwa nini kabla ya siku ya tukio ili wasiende kuwa watu ambao hawana maana kwa kushindwa kupeleka ujumbe unaotakiwa kwa wananchi. Dr. Silaa alisema hayo baada ya mwandishi wa habari kumwambia...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ilikuwa na Watu 9,649,925 mwaka 1964 kabla ya Muungano

    Wakati Tanzania Bara na Zanzibar zikiungana mwaka 1964, Tanzania ilikadiriwa kuwa na idadi ya watu 9,649,925, kati ya watu hao, wanaume walikuwa 4,432,599 na wanawake walikuwa 5,217,326 sawa na asilimia 46 kwa 54 mtawalia. Aidha, idadi ya watu kwa Tanganyika ilikuwa 9,354,560 wanaume wakiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Msikilize Mbowe kabla na baada ya kifo cha Hayati Magufuli, inaonekana anajutia kwanini hakumuunga mkono

    Ukisikiliza Kauli hii ya mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe utagundua kuwa hata yeye anajutia kwanini hakumuunga mkono Magufuli. Kauli zake zinapingana sana kabla na baada ya Magufuli kufa.
  16. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumwaga chakula au mboga yote muda mfupi kabla ya kula, ulifanyaje kuokoa jahazi?

    Wapishi mko njema? Kwenye harakati za upishi ajali ni kawaida sana, ila zikidi wewe utakuwa hujui kupika ukatafute kitu kingine cha kufanya. Sasa bwana, kwa upande wangu, kuna kipindi tulikuwa tunahama nyumbani na kazi zilikuwa nyingi, moja ya jukumu langu ilikuwa ni kupika maharage (nikikupia...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na Wake Wengi Kabla Sijaokoka. Sasa Nimeokoka, Je! Niwaache?

    Nilikuwa na Wake Wengi Kabla Sijaokoka . Sasa Nimeokoka , Je! Niwaache? Je Mkristo Kuwa na Wake Wengi Ni Dhambi? 💫💫💫💫💫 ©️ Mwl. Makungu Ms 0743781910 Suala la binadamu kuishi mfumo wa maisha ya kuwa na wake wengi limekuwepo tangu nyakati za mwanzoni mwa ulimwengu. Miongoni mwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza

    Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza Ni muhimu kutambua kwamba kila mtu anao haki ya kujisikia salama, kuheshimiwa, na kuthaminiwa katika mahusiano ya kimapenzi. Hata hivyo, ni muhimu kufahamu tofauti kati ya kumchunguza mwanamke kwa njia nzuri na ya heshima na...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa tulipofikia ni bora serikali yote ijiuzulu na uitishwe uchaguzi kabla ya 2025 ili kupata serikali itayoipelekea nchi yetu mahali sahihi

    Ni wazi kuwa serikali ya sasa imeamua kuchukua maamuzi ambayo yamekosa ushauri na mwongozi sahihi. Kuna masuala kadhaa: 1. Mkataba wa bandari za Tanzania Bara na kampuni ya kimataifa ya DP world umewahishwa sana. NI wazi kuwa kulikuwa na mijadala kuhusu "terms" za mkataba hadi umauti...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Picha; kabla na baada ya kusafisha sink la choo

    Nimepata kazi hapa ya kusafisha sink la choo na mwana jf shukrani kwake pia kama unauhitaji wa kusafishiwa sink la kunawia ama la choo lililofubaa ni cheki pm ama piga namba 0783672221 .Karibuni ,Bei ni 10k kwa choo na7k kwa sink la kunawia nakuja popote kwa waliopo Dar es salaam
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…