Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,705
- 36,154
CRDB kupitia app yao au njia ya code *150*03# hawaonyeshi kiwango cha pesa utakachokatwa mara ukikubali kufanya huo muamala. Huu ni wizi na uhujumu uchumi kwa watumiaji wa CRDB.
Ili upate laki 1 kwenye simu unaweza kushituka wamekula elfu 5 na ukitoa kwa wakala let's say tigopesa wakikukata elfu 4500 unakuwa ushakatwa elfu 10 ili tu uipate laki moja.
Wekeni kiwango cha makato wazi ili mtu aamue kuendelea au kusitisha muamala.