kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ukiacha pesa, ni kitu gani kingine kikubwa ulichowahi kupoteza ukapunguza kubeti?

    Wawekezaji wenzangu mko poa? Ilikuwa usiku wa fainali ya UEFA mwaka 2026, nilipoweka dau la mshahara wangu wote wa mwezi nikiwa na uhakika wa kushinda mamilioni. Baada ya filimbi ya mwisho na timu yangu kufungwa, nilibaki nimepoza macho nikiiangalia simu, huku nikijua sina hata senti ya...
  2. nipo online

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kabla sijatepeliwa

    Vikoba kwa njia ya m koba ya voda jamaa wanatangaza kule fb je hivi inawezakena? Mimi nimeishia nae kwenye chati sasa sijamwelewa nisaidieni https://www.facebook.com/reel/857641280753316/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kufika 7/7 kutaibuka vikundi vya kila aina vikiitisha wana habari kujifanya wanakemea maandamano.

    Kinachoendelea sasa ni kufuja pesa kwa kila mtu na kukusanya watu wakila aina wakijifanya wanakemea maandamano. Usijeshangaa kutaibuka kila umoja sijui wa wapi,umoja wa nini,mpaka umoja waokota makopo. Mfano ni huu na nani anawatuma.
  4. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Nakusisitiza kabla haujasoma hiki ninachoenda kukiandika hapa, penda unachokifanya.

    Dunia ya leo haitaki tena degree ya kawaida. Inataka degree yenye technology ndani yake. Kwa mfano kama mwanao anapenda Civil Engineering, kwanini asisome Civil Engineering Integrated with Artificial Intelligence and Machine Learning? Kama anapenda biashara, kwanini asisome BBA Fintech and...
  5. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Israel anataka kuiangusha Dola ya marekani (world superiority) marekani ameshtuka kabla mambo hayajaharibika

    Ni waziri kuwa Hali si shwari Tena kati ya Israel na marekani. Rais Trump ameamua kuukosoa kwa wazi na kuubeza utawala wa Israel bila aibu. Leo makamu wa rais JD Vance nae ameongea na kueleza kuwa Israel hawana adabu na wanapaswa kumshukuru Donald Trump's na akaendelea kusema kuwa Israel...
  6. Dr Arshavin

    JamiiForums Tanzania Kanuni 30 za Afya kwa Wanaume Kabla ya miaka 35

    CODE 30 ZA AFYA AMBAZO KILA MWANAUME ALIPASWA KUJUA KABLA YA MIAKA 35. HAYA NDIO MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HUYAGUNDUA WAKIWA WAMECHELEWA. 1. Kiwango chako cha homoni ya kiume Testosterone kitaanza kushuka ukifikisha miaka 30. Nyanyua vyuma, pata usingizi wa kutosha na kula lishe bora ili...
  7. prida

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa rangi za nyumba naomba msaada wenu kabla hapajakucha🙏

    Eti wakuu hiyo rangi hapo kwenye picha ni ya kupaka ndani au nje ya nyumba.? Eti ni kweli kwamba rangi ikiwa na neno EMULSION haifai kupaka nje ya nyumba? Kama rangi hii ni ya nje,je ni miongoni mwa rangi bora? Kama sio,naomba mapendekezo ya rangi bora za kupaka nje. Nyumba ilishapakwa...
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kabla Movie Haijatafrisiriwa,/Hajapata Uraia Pacha...!!

  9. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kabla ya waislamu kuichukua kinguvu uajemi, je waajemi walikuwa ni watu wa dini ipi?

  10. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Kabla hujashabikia chama: Mambo 7 ya kujua kuhusu itikadi za kisiasa

    Watu wengi hujiunga na vyama vya siasa kwa sababu ya ushawishi wa marafiki, familia, viongozi maarufu au hisia za wakati huo. Hata hivyo, hatua muhimu ambayo mara nyingi hupuuzwa ni kuelewa itikadi ya kisiasa inayosimamia chama husika. Itikadi ndiyo msingi wa mawazo, sera na maamuzi ya chama...
  11. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Kabla ya 2030 tutanunua ndege nyingine 40

    Akizungumza jijini Mwanza jana Jumanne, Juni 2, 2026, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanamawasiliano wa Serikali, Gerson Msigwa amefichua kuwa kuanzia Julai 1, 2026, Tanzania itaanza rasmi kutekeleza Dira Mpya ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 inayolenga kukuza uchumi wa nchi kutoka...
  12. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Jaji John Ruhangisa: Wabunge wanapoongea bungeni, wanayoyaongea ni kweli wametumwa na wananchi?

    Yaani kwa alichokisema huyu baba kwenye hii video na kinachoendelea ni kwamba TANZANIA HATUNA BUNGE ----------------------------------- Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Prof. John Ruhangisa, amesisitiza kuwa ni wajibu wa kisheria na kikatiba kwa wabunge kurudi kwa wananchi...
  13. Insidious

    JamiiForums Tanzania Unahitaji siku ngapi kuomba kibali kabla ya kusafiri nje ya nchi kama Mtumishi?

    Habari wanaforum! Je inahitaji siku ngapi kabla ya safari yako kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi kama mtumishi kwenye mfumo wa e-vibali? Na documents gani zinahitajika?
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mpimbwe, Katavi: Inakuwaje DMO anayechunguzwa kwa ufisadi na matumizi mabaya ya nafasi, anahamishwa kimyakimya?

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI imemhamisha aliyekua Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mpimbwe kwenda halmashauri ya Mji Nanyamba huku akiwa na tuhuma za wizi wa fedha za serikali. TAKUKURU wilaya walikuwa tayari wameanza uchunguzi kuhusu tuhuma hizo, lakini cha kushangaza mtuhumiwa amehamishwa kabla...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wivu ni darasa la mwisho kabla hujawa mchawi

    Wivu mbaya na chuki ya kupitiliza ni sumu kali ya kiroho inayomfanya mtu aanze kufikiria au kutenda mambo ya kishirikina na kijicho. Huu usemi usemao "Wivu ni darasa la mwisho kabla ya kufuzu kuwa mchawi" una ukweli mkubwa kiroho. Kimaandiko na kiimani, wivu si tu hisia mbaya ya kibinadamu...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kisa Ebola, Kikosi cha DR Congo cha Kombe la Dunia kukaa Karantini kwa Siku 21 ili kuruhusiwa kuingia Marekani

    Kikosi cha Kombe la Dunia cha DR Congo kitalazimika kujitenga kwa uangalizi maalum wa afya nchini Ubelgiji kwa siku 21 mfululizo ili kuruhusiwa kuingia Marekani. Hatua hiyo ya kiusalama imewekwa na maafisa wa Marekani kutokana na mlipuko unaoendelea wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya...
  17. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kama kidume unapojenga nyumba kabla haujavuka miaka 35 unajiona mwamba, ni feeling ya kibabe sana kushinda ile ya kuhimili round moja kwa dakika 10

    Mapambano mema hustlers!
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ukim-beep mwenza wako, atachukua muda gani kabla ya kukupigia?

    Credit ya Video: Jimbo Media
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Lipeni fidia kwanza kabla ya kuchukua ardhi ya Mwananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela imetakiwa kuhakikisha inawalipa kwanza fidia wananchi kabla ya kuchukua maeneo yao kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo. Mtanda amesema hayo katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kata za Sangabuye, Bugogwa na...
  20. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Ningejifunza haya kabla ya kufika 30

    MAMBO 6 NINGEJIFUNZA KABLA YA KUFIKA MIAKA 30 NAMBA 1 Mwanamke anayekupenda kwa dhati, huwa tayari kubadilika kwa ajili yako. Atarekebisha tabia yake, sauti yake, mienendo yake na kila kitu kinachoweza kuhatarisha kukupoteza. Mapenzi ya kweli huambatana na jitihada za kulinda uhusiano. NAMBA...
Back
Top Bottom