kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Jux: Walipo Sasa

    Juma Msambilia , Jux tangu abalehe amekuwa na wanawake wengi kingono kabla ya kuja kuoa Priscilla. Wanawake hao , wengi wameolewa ila Jux anajua miili yao maana alikuwa analala nao, anaoga nao, anakula nao , na kuwafanyia masaji. Mbali na hayo yote, jux kwa sasa anatamba na mke wake aitwaye...
  2. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Viroba katika sura mpya ya vichupa: Tishio kwa afya za vijana nchini, mamlaka zichukue hatua kabla haijawa ya janga

    Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi. Hatua hiyo ilichukuliwa miongoni mwa juhudi za Serikali za kudhibiti matumizi ya pombe na wakati huo...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Naiona clear on target kabla ya 2030

    Baada ya kosakosa nyingi, hatimaye Doumbia atalenga shabaha na kufunga goli litakalo wanyanyua wananchi. Hii itatikea kabla ya 2030.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu kabla na baada ya uchaguzi

    Tanzania ni moja ya nchi chache sana za ajabu. Nikisema ajabu namaanisha ajabu kweli. KABLA YA KUPIGA KURA Viongozi wetu kabla ya uchaguzi huwa wanatutambua,kutupenda,kutushirikisha na kutuheshimu sana sisi Raia wa Tanzania, kama watu na raia wenye Mamlaka na nchi hii. Wakati wa kampeni hao...
  5. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Eti akitangulia kufa kabla yangu, nitaoa tena?

    Mie nimemjibu kwamba..... Siwezi kurudia kosa tena....😒 Eti nimekosea kumjibu hivyo wakuu....🙄
  6. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Wimbi la vijana kutaka malipo kabla ya kazi na wengi wao wakiwa hawana maarifa/ujuzi wowote limekuwa kubwa..

    Yaani nashindwa kuelewa unakuta kijana hana fani wala ujuzi wowote. Lakn ukimwambia kuna kazi uku njoo ujichanganye yeye ataanza kukuuliza ntalipwa sh ngapi.??😎 kiasi kwamba km wewe ndo boss wake inabidi umfundishe kazi na ujuzi tofauti uku ukimlipa hali hii sio siri inafanya waajiri weng hasa...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Lissu ataka kukutana na Mashahidi wake watatu kabla ya kuendelea na kesi

    Katika hatua ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu, Mahakama Kuu imeendelea na hatua ya re-examination ya shahidi wa upande wa utetezi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. Baada ya Jaji Ndunguru kumweleza Mhe. Lissu kuwa bado ana mashahidi watatu na kwamba...
  8. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari

    Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari, Amewahi kufanya kazi tofauti tofauti kama ilivyo kwa vijana wengine, Na moja ya kazi niliowahi kuifanya ni kazi ya bodaboda, Ambayo mwisho wa siku...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanadai Manabii wote kabla ya Mohammad walikuwa Waislamu; Je Nuhu naye pia?!

    Kama Nuhu alikuwa Muislamu ilikuwaje akawachukua pia Nguruwe na tena akakaa nao ndani ya safina kipindi chote cha gharika?! Ona picture
  10. The Ghost Scripter

    JamiiForums Tanzania Kabla muda haujakufanya kuwa kumbukumbu, ifanye leo kuwa kweli...

    Kuna siku dunia itaendelea kusonga mbele bila uwepo wako. Watu wataamka, jua litachomoza, barabara zitaendelea kuwa na pilikapilika, biashara zitaendelea, mazungumzo yataendelea—na maisha yataendelea kama kawaida. Na hupaswi kuogopa hilo. Kwa sababu ukweli kwamba dunia inaweza kuendelea bila...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Je kwa hili imani inasemaje kabla haya ya Eda kuisha? Ni sahihi au kwa wakubwa hizi imani hazifanyi kazi?

    Kumbato kama hili tena na eda haijaisha hapa si ni kuharibu imani au kuingiza uzungu? Je ni halal?
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Walioishi kabla ya Yesu na Muhammad wamepotea ?

    Kama hawajapotea na wataenda mbinguni kulikuwa na haja gani ya Yesu Kristo kuja kufa kwa ajili ya dhambi za binadamu na Muhammad kuja na Quran yake ? Maisha si yangeweza kuendelea tu kama kawaida bila wao?!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu wa "Kulidhibiti" Jeshi la Polisi kabla ya kuchelewa

    Kuna mapungufu makubwa sana ya kimfumo na kiutendaji hadi kwa individuals, sasa hivi hawa jamaa wanajiona wao ndio kila kitu...wanaweza kukufanya chochote. Nashauri kabla ya Wananchi hawajaamua kujilinda dhidi ya majambazi haya ni muhimu sana hatua zikachukuliwa. Kuna siku watoto wa Polisi...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shahidi Muhimu wa Kesi ya Albert Ojwang Afariki Kabla ya Kusema Alichokuwa Anajua

    Kesi ya mauaji ya blogger na mwalimu Albert Ojwang imepata mgeuko mwingine baada ya afisa wa polisi aliyekuwa protected witness kufariki kabla hajatoa ushahidi wake mahakamani. Stephen Maina Nderitu, aliyekuwa akifanya kazi katika ofisi ya OCS katika Central Police Station, alifariki Jumatatu...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Warsame: Tunaongeza nguvu ya ujenzi wa Bomba la Gesi Asilia (Kilomita 22) kabla ya El Niño

    UJENZI wa bomba la gesi asilia lenye urefu wa kilomita 22 kutoka Kisemvule hadi Mbagala umeingia hatua muhimu, huku Kampuni ya Rashal Energies Limited ikiongeza kasi ya kazi katika maeneo ya njia yanayoweza kuathiriwa zaidi na mvua kubwa. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Rashal Energies...
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kuzika kabla yaswala ya adhuhuri ni mila au tumeiga Wakoloni?

    Tanzania, moja kati ya mataifa ambayo yameletewa dini na wakoloni. Waarabu walileta Uislamu ukanda wa pwani. WAjerumani wakaleta Ulutheri-dini ya Martin Luther. Wamarekani wakaleta ULokole-TAG Waitaliano wakaleta dini ya Kirumi ikaitwa roman Catholic. Wasabato wameanishwa na William Miller ...
  17. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Nchimbi kushiriki maziko ya mume wa rais zanzabar kabla ya swala ya Magharibi?

    Leo Zanibar kabla y jua kuelekea Magharibi kutakuwepo na ibada ya mazishi ya Mume wa Rais. Viongozi wakuu wastaafu na waandamizi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano na mapinduzi ya Zanzibar watafika zanzibar. Uvumi wa kutoonekana kwa Makamu wa Rais aliyejiuzulu Utafutwa?
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ruto aagiza waamiaji haramu waondoke Kenya kabla ya 7 Sep 2026

    Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza kuanza kwa operesheni ya nchi nzima dhidi ya raia wa kigeni wasio na vibali na wanaoendesha biashara ndogo ndogo, maduka ya rejareja, vibanda na biashara za kuzunguka mitaani. Wafanyabiashara hao wameelekezwa kufunga biashara zao. Hatua hiyo inalenga kuzuia...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Wazungu walijiendeleza kwa mbinu zote kabla ya kuanza drama za demokrasia

    Historia haijifichi na inaeleza wazi namna wazungu walivyojenga uchumi wao kwa vita na unyonyaji wa hali ya juu. Baadae sana walivyoshiba mema ya nchi zao na nchi nyingine ndipo walipoanza kutangaza demokrasia. hata hivyo hulka ya unyonyaji haijaisha japo kwa sasa inafanywa kwa ustadi mkubwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

    Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini. La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa...
Back
Top Bottom