jumamosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Yaani nimenunua Mwenyewe Nguo ya Mamelodi Sundowns halafu Waziri wa Tanzania anipangie namna ya Kuivaa Jumamosi?

    Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni. Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC. Uzalendo...
  2. Heci

    Athari za Mvua March 2024: Hali ikoje eneo ulipo?

    Tangu asubuhi kumekuwa na mvua kubwa ikinyesha jijini Dar es Salaam. Huu uzi ni kujulishana athari na matokeo ya mvua hizo. Je, ni barabara gani hazipitiki, tupite wapi? Wapi kuna mafuriko, na hatua gani tuchukue ili tuwe salama? Tuhabarishane sisi kwa sisi.
  3. GENTAMYCINE

    Hivi Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu au ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu?

    Yaani mtu kajiuzuru mwenyewe kutokana na Ufisadi wake ambao Umeigharimu nchi pakubwa (hasa kwa kuitia hasara) halafu leo kafariki tunasema/tunamuita ni Waziri Mkuu Mstaafu! Lowassa alistaafu Uwaziri Mkuu wake kama wengine au alijiuzuru kutokana na Kashfa zake za Ufisadi alizojaribu kuzizima kwa...
  4. Analogia Malenga

    TMA watabiri mvua kubwa Jumamosi na Jumapili

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, imetabiri mvua kubwa inyotarajiwa kunyesha tar 27 na 28 Januari 2024. Mvua hizi zimetabiriwa kuwa tarehe 27 Januari 2024 zitanyesha mikoa mitano, Morogoro Kusini, Lindi, Mtwara, Ruvuma na Njombe. Aidha kwa siku ya Jumapili Januari 28, 2024 zitanyesha Morogoro...
  5. L

    Rais Samia atatimiza na kusherehekea Umri wa miaka 64 Jumamosi ya wiki hii, huku Taifa likiwa na imani kubwa kwake

    Ndugu zangu Watanzania, Jumamosi ya wiki hii ya Tarehe 27 januari 2024 Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan, mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini atakuwa...
  6. sky soldier

    Wayahudi na wasabato wanaendelea kuabudu sabato ya Jumamosi ambayo hata Yesu aliiabudu, ni nani aliibadili iwe Jumapili

    AMRI YA NNE: Ikumbuke siku ya Sabato uitakase, Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako Tusiingie sana kwenye hizi dini na sheria zao bali tuzungumzie siku ya kuabudu. Siku ya Jumamosi ndio iliyotengwa kuwa ya kisabato tangu zamani kwa...
  7. Hismastersvoice

    Anayejua kwanini Polisi jijini Mbeya jana Jumamosi 04/11 waliandamana atujuze

    Jana Jumamosi 04/11 wakati ninaangalia taarifa ya habari usiku, niliona picha ikionesha kikosi cha jeshi la polisi jijini Mbeya kikiwa kimebeba silaha nzito wakiandamana. Jambo lililonivutia ni mama mmoja namkadiria umri wa miaka 80 na zaidi alipowauliza waandamanaji kunani? Mbona mtaani kwetu...
  8. GENTAMYCINE

    Haya tumeshamalizana na Chato Dhahabu Nyota FC, hivyo Jumamosi 'anakufa' kati ya Goli 4 hadi 6 pale Sukuma City

    Baada ya Kuwaudhi Mashabiki katika Mashamba ya Mpunga na kuachwa rasmi Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Mabingwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ili Kurejesha Imani yao Kwetu Kigamboni Wavuvi FC tumeamua Kumalizana (Kuwahonga ) tutakakutana nao Keshokutwa Jumamosi ili siyo tu...
  9. Plaintiff

    Ibada ya Wakristo kuabudu Jumapili imeanza Karne ya nne. Ni kwanini Karne 3 za kwanza watu waliabudu Jumamosi?

    Kwanza kabisa naomba msingi wa uzi huu uwe kwenye ukristo, maana tukiongea kwa misingi ya madhehebu yetu hatutafika lengo letu. Karne ya kwanza ya 1, 2, 3 watu walipumzika na kuabudu siku ya Jumamosi mwanzoni mwa Karne ya nne watu fulani waliamua kubadili siku hii na kuhamia Jumapili. Je...
  10. W

    Kuna mwalimu mkuu mmoja yupo njiani muda huu, anaenda kwa bosi kujieleza kwanini hawakufundisha Jumamosi hii

    Ndo hivyo jamani! Hilo ndilo linalotokea sasa hivi tunavyoongea huku mkoani kunakolimwa ufuta na korosho kwa wingi. Ipo hivi, Ijumaa ya tarehe 01.09.2023 shule zilifungwa kwa mapumziko mafupi ya wiki mbili. Sasa katika shule hiyo walimu walikubaliana kuwa wawapumzishe watoto wote (yaani pamoja...
  11. Mtu Asiyejulikana

    Msichana anakuambia kabisa mama anataka akufahamu Jumamosi uje home. Unaenda.Unamkuta mama yake...

    Ndo huyu. Halafu anakuuliza. "Eeenheeeh... Una mpango gani na mwanangu? Maana tujue mapema ninyi vijana siku hizi.... "
  12. Guru Guja

    Nilimpunja mama mkwe mahari. Jumamosi nimemuongezea nyingine

    Niliamua kuoa. Mwanamke ni mzuri sana. Anajua sana kukata kiuno na kunijali mimi vizuri, nimefurahia sana sasa, naenjoi sana ndoa. Nikawona kweli nililipa mahali kidogo sana ni dhambi kufanya hivyo. Ni kama miezi miwili nikagundua ile mahari milioni 5.7 ilikuwa dogo sana, nafaidi sana kwa...
  13. Richard

    Baada ya tukio la Jumamosi, Putin, Lukashenko na Prigozhin wameuthibitishia ulimwengu kwamba wao ni "gangsters" halisi na Russia si nchi ya kuichezea

    Kwa hayo yaliyotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu. Pia Putin, Lukashenko na Prigozhin ni watu hatari sana na ni wale twasema "real gangsters". Prigozhin amewahi kufungwa jela kama miaka 10 hivi na akatolewa kwa msamaha wa...
  14. FRANCIS DA DON

    Jiji la Dar ikifika Jumamosi, Lodge, Guest na hotel za nyota ndogo zote hujaa. Shida nini hasa?

    Siku hizi kama unatoka safari kuja Dar, basi jitahidi usifike huku Jumamosi usiku, wallahi utalala stand.
  15. GENTAMYCINE

    Hadi Jumamosi Saa 8 Mchana sijasikia TANZIA yoyote au Tukio la Kimajonzi USM Alger FC watakuwa Mabingwa CAFCC 2022 / 2023

    Nilizozipata hadi muda huu ni kwamba Mambo ni Magumu na sikuwahi kujua kuwa kumbe hata Waarabu ( hasa wa Algeria ) na Wao mambo ya Unyangindo ( Ulozi ) wanayajua. Kuna Mtu Mmoja wa Insider 259 Hopeless and Useless Passenger Team kanitonya kuwa Usiku wa Kuamkia Mechi yao ya Temeke Mvua Stadium...
  16. Bill

    Sendoff ya Yanga imefanyika kwa Mkapa, Harusi na kuvaa Madela/Medali itakuwa Algeria Jumamosi

    Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers. Harusi ni Jumamosi, Yanga wanaenda tayari wamejiandaa kuvalishwa madela au medali. Hili ni tukio la...
  17. PakiJinja

    G7 na C5 imefanyika Jumamosi pasipo Russia kualikwa

    Kuanzia May 19 - 21, 2023, vilifanyika vikao viwili vikubwa na muhimu. Mikutano hiyo ni ya G7 na C5. Mkutano wa kwanza ulijadili usalama wa Ulaya na US, na wa pili ulijadili usalama wa Asia. Urusi haikuwaalikwa katika mkutano wowote kati ya hiyo. Nawatakieni katikati ya Wiki njema.
  18. Notorious thug

    Mwili wa Nimrod Mkono kuwasili nchini May 27

    Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Butiama Vijijini, Nimrod Mkono aliyefariki April 18 unatarajiwa kuwasili nchini May 27. Mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao Kigori Buswege Wilaya ya Butiama mkoani Mara.
  19. technically

    Yule forward hatari wa Waydad sikumuona Jumamosi, Ijumaa kuna kiama

    Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi. Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa waydad. Tuandae matanga kama taifa kuishusha bendera nusu mlingoti ni balaa tupu kule morocco.
  20. Rwetembula Hassan Jumah

    Kesho tusifunge ila kuswali iwe Jumamosi. Ni haramu kufunga siku ya Iddi

    Waislamu wengi kesho watafungua ila kuswali mpaka Jumamosi. Kesho ni Eid ya kwanza halali kabisa. Kenya, Rwanda na Uganda, eid kesho halafu eti Tanzania ni Jumamosi.
Back
Top Bottom