jumamosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. captain dunga

    TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

    Mwanamuziki Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamis ya April 14) baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es Salaam. Maunda Zorro ni mtoto wa muimbaji nguli wa muziki Zahir Ally Zorro pia ni mdogo wa...
  2. mitale na midimu

    Ijumaa ya leo ikukumbushe tu Sabato ni Jumamosi

    Yesu alifufuka Siku ya kwanza ya Juma. Leo Ijumaa ndicho kile kinachoitwa Siku Maandalio ya Juma au Siku ya sita. Jumapili ni Siku ya kwanza ya Juma. Na Sabato kesho ni Jumamosi. Mambo ya kutafakari. 1: Ni dharau na ukosefu wa adabu kwa Mungu mfalme kuiita Jumapili au ijumaa Sabato. Ni...
  3. B

    Shaka Hamdu Shaka kufanya mkutano na waandishi wa habari Machi 12, 2022

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumamosi Machi 12, 2022 ataongea na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 4 asubuhi kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImara #KaziIendelee
  4. Analogia Malenga

    Neema Akeyo alivyolipwa mshahara wake na NMB Plc baada ya kufukuzwa kazi kwa kutohudhuria kazini siku ya Jumamosi

    Kesi ya Neema Akeyo vs- National Microfinance Bank- NMB HOJA:- HAKI YA KUABUDU SIKU YA SABATO Kuachishwa kazi kutokana na utoro (siku ya Jumamosi kwa muumini mwadventista) na utovu wa nidhamu Ubaguzi wa kutokana na dini/imani ya mtu Tarehe 01/11/2010 Neema Akeyo aliajiriwa katika Benki ya...
Back
Top Bottom