jumamosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Nimrod Mkono kuwasili nchini May 27

    Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Butiama Vijijini, Nimrod Mkono aliyefariki April 18 unatarajiwa kuwasili nchini May 27. Mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao Kigori Buswege Wilaya ya Butiama mkoani Mara.
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Yule forward hatari wa Waydad sikumuona Jumamosi, Ijumaa kuna kiama

    Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi. Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa waydad. Tuandae matanga kama taifa kuishusha bendera nusu mlingoti ni balaa tupu kule morocco.
  3. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Kesho tusifunge ila kuswali iwe Jumamosi. Ni haramu kufunga siku ya Iddi

    Waislamu wengi kesho watafungua ila kuswali mpaka Jumamosi. Kesho ni Eid ya kwanza halali kabisa. Kenya, Rwanda na Uganda, eid kesho halafu eti Tanzania ni Jumamosi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC kwa Umafia mliowafanyia Wydad Casablanca FC Jumamosi watatafutana kwa Mkapa

    Wasiojua Mpira walifanyiwa 50% tu ya Umafia huo na tarehe 16 April, 2023 Wakafa Goli 2 huku Wakikoswakoswa Goli 3 au 5 na sasa wameanza Kugombana Wenyewe kwa Wenyewe. Umafia waliofanyiwa Wanaoujua Mpira ( ambao baadhi yake MINOCYCLINE nimeushuhudia hii Leo ) Klabu ya Wydad Casablanca FC ambao...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mliotaka Kulazimisha Eid iwe Leo Alhamisi au Kesho Ijumaa mnajisikiaje Eid kuwa Jumamosi?

    Uvivu na Kupenda kula Bata unawaponza. Mliitaka iwe Alhamisi ya leo ili Siku za Kula Bata ziwe Nne ( Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ) Mlivyoona Kimahesabu kula Eid Alhamisi ( yaani Leo ) haiwezekani mkataka sasa Kulazimisha kuwa Eid iwe Kesho Ijumaa ili kama Kawaida ya kuwa Kwetu Wavivu...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Sababu za Simba kushinda Jumamosi ni hizi hapa. Yanga acheni Polimi Lai!!

    Simba Jumamosi saa 10 jioni itacheza mchezo wake wa Nusu Fainali dhidi ya Wydad. Simba itashinda mechi hiyo kwa sababu zifuatazo. 1. Simba haina cha kupoteza kwenye mechi hiyo kwa ivo itacheza kwa kila njia bila ya kuwa na hofu ya kufungwa. 2. Simba haina tena shinikizo kwenye Ligi ya ndani...
  7. J

    JamiiForums Tanzania DAWASA yatangaza kuzimwa kwa mtambo wa uzalishaji maji Ruvu Juu Jumamosi April 15

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa wastani wa saa 16 siku ya Jumamosi , Aprili 15, 2023. Muda: Kuanzia Saa 12 jioni hadi Saa 4...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vipers vs Simba ni game ngumu sana, Jumamosi Feb 25, 2023

    Simba tuingalie mechi ya Vipers vs Horoya kazi ipo sana. Katikati ya kiwanja Horoya waliweka watu 5 na wamepata sare kwa hiyo St Mary, sio kitu rahisi kwa Simba tujiandaeee. Saidio na Chama kucheza pamoja ni kansa kwetu, lifanyiwe kazi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nchi iko kwenye mikono salama, Jeshi la Wananchi limeleta utulivu mkubwa baada ya mtikisiko uliotokea Jumamosi

    Pongezi nyingi ziende kwa wapambanaji wote kuanzia mashabiki, viongozi, benchi la ufundi na wanachama wote wa Dar es Salaam Young Africans kwa ushirikiano mkubwa wa kuisapoti timu yao. Walistahili ushindi kwakuwa wameupiga mwingi mpaka ukamwagika, Master Nabi ni bingwa wa kumsoma mpinzani na...
  10. Mbunge Afrika Mashariki

    JamiiForums Tanzania Chama cha CUF wananchi wilaya ya Kinondoni kufanya mkutano mkubwa wa hadhara Magomeni Februari 2, 2023

    CuF- chama cha wananchi wilaya ya kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia prof.Lipumba. Usipange kukosa njoo tuisimamishe kinondoni, njoo tuijaze magomeni. #ChamaMakini #ViongoziMakini
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

    1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu. 2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha. 3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano. 4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua ) 5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jumamosi iliyopita kuna Timu Moja ilikuwa inaendeleza kile ilichokizoea na nyingine imeonjeshwa Asali kabla ya Kulambishwa Chungu

    Huenda mwisho wa Kufurahi kwa hiyo Timu na Mashabiki wao ukawa ni Weekend ijayo ( hii ya sasa ) na baada ya hapo Kununa (kwa Kufurumushwa kabisa Michuanoni ) Kukaanza ama kutokea Sudan au Ethiopia.
  13. Shark

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kigamboni mnaonaje mkaanzisha mnada wa Mbuzi/ Nyama Choma hata Kila Jumamosi

    Wakati serikali ikiwa haina akili tena ya kupata vyanzo vya mapato na kuishia kwenye kuweka Tozo mpk za Ndoa, ni wakati mwafaka sasa Manispaa kupitia think tank wao wakabuni vyanzo ambavyo havimuumizi mwananchi. Serikali ilipochukua vyanzo vyote vya Manispaa walibuni uwepo wa Stendi za magari...
  14. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa saa za kazi CRDB siku ya Jumamosi

    Msaada wa kufahamishwa masaa ya kazi ya bank ya CRDB siku ya Jumamosi, wanafungua saa ngapi?
  15. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kivyovyote vile Yanga SC hamfungi Simba SC Jumamosi

    Simba anashinda Jumamosi iwe ndani ya 90 minutes au penalty.
  16. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Niger vs Taifa Stars | Tufanyeje kuweza kuwafunga Jumamosi?

    Wanabodi. Mbona naona kama wabongo hatuna kabisa mzuka na hamasa kwa timu yetu ya Taifa? Shida ni nini? hakuna uzi nyingi humu why? Wangapi tuna mpango wa kuiombea na kuishangilia timu yetu ya Taifa ikiipasua Niger jumamosi hii? Samatta mechi za kirafiki ameonesha ni mzuri sana kwa assist...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Aragija kuamua Simba vs Yanga jumamosi.

    Huku joto la watani wa jadi likizidi kupamba moto kuelekea nusu fainali Asfc jumamosi hii, mapema leo mwamuzi atakayechezesha mtanange huo amewekwa wazi.
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuendeleza ubabe dhidi ya Yanga siku ya Jumamosi?

    Mnyama mkali kuwahi kutokea dunian, Simba sc atakuwa dimbani kuchezea dhidi ya timu ndogo Yanga sc nusu fainali ya Azam federation cup jumamosi hii. Ikumbukwe kuwa Simba sc wamekuwa wakiifumua vilivyo watani zao 🐸 katika mashindano haya. Wamekutana mara mbili, huku mnyama huyo mkali akiibuka...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Navuna matikiti hivi karibuni, dalali anayeweza kunipa connection anitafute

    Habari za wakati huu, Nategemea kuvuna matikiti yangu Jumamosi hii tarehe 7, naomba kama kuna muhitaji / Dalali au anayeweza kunipa connection ya kuuza naomba saana msaada wenu. Nimelima mkulanga, nategemea kuvuna 3.5tons na zaidi Mawasiliano 0658 644485
  20. H

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

    Kumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo). Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so...
Back
Top Bottom