jukwaa

Jukwaa, also known as Dwokwaa, is a town in the Central Region of Ghana. It is the traditional capital of the people of Denkyira and is located in the Twifo-Ati Mokwa District in the Central Region. The Jukwa Senior High School is found in this town.

View More On Wikipedia.org
  1. Habari wana jukwaa nitangulize shukurani zangu za dhati

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi kijana wa kitanzania kupitia ukurasa huu nilipata mchumba aitwae _ _ jina naliweka kapuni maana ni maalum kwangu tu, hakika mwanzo sikuamini kama kupitia jukwaa hili unaweza kupta mchumba au marafiki Rakini leo naomba nithibitishe kuwa jukwaa hili...
  2. L

    Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing yawa jukwaa la kuonyesha uvumbuzi wa teknolojia ya China

    Tovuti ya gazeti la Marekani “Los Angeles Times” tarehe 19 mwezi huu iliripoti kuwa vifaa vya kisasa vya kiteknolojia kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing vinawavutia watu wengi duniani, ikiwa ni pamoja na mgahawa unaotoa huduma wenyewe, roboti ya usimamizi kwenye hoteli na...
  3. Hili jukwaa ni lenu wanandugu, msitufiche vitu

    Kwa ufupi sana Humu jukwaani kuna mchanganyiko wa matukio. Kuna matukio ya aibu, ya kutendwa na stori nzuri za kuhamasisha. Shida inakuja kwenye matukio mabaya ima ya aibu au ya kutendwa. Wadau wengi wakiandika matukio haya hujifanya kama ni tukio lisilomuhusu, yaani limemtokea jamaa yake au...
  4. Hili jukwaa ni lenu wanandugu, msitufiche vitu

    Kwa ufupi sana Humu jukwaani kuna mchanganyiko wa matukio. Kuna matukio ya aibu,ya kutendwa na stori nzuri za kuhamasisha. Shida inakuja kwenye matukio mabaya ima ya aibu au ya kutendwa. Wadau wengi wakiandika matukio haya hujifanya kama ni tukio lisilomuhusu,yaani limemtokea jamaa yake au mtu...
  5. Tuchangamshe jukwaa kidogo,kwa hadithi za kichawi

    Endapo upo ndani ya chumba au nyumba yako,nyakati za usiku ukawa unahisi maluwe luwe as if kuna mtu kaingia ndani but you don't see anything lakini timbwili zinazidi Fanya hivi kesho yake,japo ni hatari sana endapo muhusika atakuwa ni ndg yako - Fagia chumba vizuri sana kila pembe kusanya taka...
  6. Tuma salamu za Mwaka Mpya 2022 kwa members watatu wa jukwaa hili la michezo

    Mimi nawatakia heri ya mwaka mpya members wafuatao 1.Gentamycine 2.Scars 3.Renzo barbera
  7. Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

    Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
  8. Nafasi za ajira za mkataba Halmashauri ya wilaya ya Kwimba

    Wataalamu wanahitajika ..ni vita mwenye uwezo pambaneni ...
  9. Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa mwaka 2021?

    Leo ni Desemba Mosi, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
  10. G

    Jukwaa la walimu wanaofanya kwazi mkoa wa kilimanjaro

    habari, nimewaza nikaona uhitaji mkubwa wa walimu wa nje ya mkoa wa kilimanjaro wanaotaka wa kubadilishana nao ndani ya mkoa wa kilimanjaro, na waliopo ndani ya mkoa wa kilimanjaro wanataka kutoka nje ya mkoa wa kilimanjaro. . Kama wewe ni mwalimu au unaukaribu na mwalimu aliepo mkoani...
  11. P

    Nafurahi Sana kuwa miongoni mwa wanafamilia wa hili jukwaa!

    Wasalaam wanajukwaa! Nimekuwa msomaji mkubwa katika hili jukwaa, Ila nimeona ni vema nikawa Mwanafamilia mwenzenu Rasmi. Naombeni ushirikiano. Natanguliza shukurani!!
  12. Rais Samia awa mgeni rasmi katika Mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO) Dodoma

    Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu. Rais Samia...
  13. Uyanga na Usimba umepoteza ladha ya hili jukwaa

    Habarini Wadau! Hili jukwaa limevamiwa, uyanga na usimba umetawala na kupoteza ladha ya jukwaa la sport. Kila siku yanga na simba, mara oh Manara, gsm, mo n.k. Ukiingia tu jukwaa la (Sport) lazima ukutane na matapishi ya UYA na USI, mwanzo mwisho, ni nadra muno kukutana na International sports...
  14. Jukwaa la Wakubwa liko wapi?

    Nimekaa muda bila kuingia huku JF, Nauliza lile jukwaa LA Wakubwa liko wapi??
  15. Jukwaa la Katiba lalaani kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA huko Mwanza

    Huu hapa ndio ujumbe wao
  16. Tangu Ujiunge JamiiForums ni Jukwaa Gani Mpaka Leo Hujawai Kuingia?

    Habari wanaJf.. Poleni na harakati za kutafuta maisha na hongereni sana kwa utafutaji. MUNGU azidi kubariki juhudi zenu mnazoonesha. Kama mada inavyojieleza pale juu, naomba nisizunguke saana. nisije nikawachosha. Unataja jukwaa na sababu zipi zinakufanya usiingie. karibuni sana[emoji116]
  17. J

    Jukwaa la Wahariri ni sawa na Bunge au Mahakama?

    Kitendo cha Balile kulifananisha Jukwaa la Wahariri na Bunge au Mahakama linafikirisha sana. Yaani kweli Bunge tukufu ndio la kufananishwa na Jukwaa la Wahariri? Yaani kwa sababu bunge linapewa fedha na serikali za kujiendesha? Kwamba kwa sababu bunge halina vyanzo vyake vya mapato basi nao...
  18. Jukwaa la Wahariri Tanzania linajadili Budget 2021/2022

    Wadau ni takribani miaka sita sikusikia hili jukwaa likitia neno u kujadili ISSUES ndani ya TZ, ila leo naona ITV wamewapa nafasi jukwaa hili katika kujadili bajeti ya Serikali ya Awamu ya 6. Embu tupieni jicho muwaone akina Majura, Meena, n.k
  19. B

    Rais Samia aliposema atateua vijana naona amewaibua vijana wa CCM kila kona wanashambulia jukwaa waonekane

    Tumejenga Taifa la watu wa ajabu sana. Ni siku tatu toka vijana waahidiwe ajira za DC, DAS na DED zilizotangazwa na Mhe. Rais. Baada tu ya tangazo lile vijana wa chama Cha mapinduzi wameibuka kila Kona ya nchi kutoa matamko na kukemea baadhi ya vitu Jambo ambalo awali kabla ya kauli ya Rais...
  20. Hodi wana jukwaa

    Hodi Wana JamiiForums
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…