joto

Jōtō Station (城東駅, Jōtō-eki) is a passenger railway station in the city of Maebashi, Gunma Prefecture, Japan, operated by the private railway operator Jōmō Electric Railway Company.

View More On Wikipedia.org
  1. Mamlaka ya hali ya hewa, sema kitu, Joto limekuwa kali mno

    Mamlaka ya hali ya hewa ingieni ofsi Mmekuwa mkifanya utabiri ukienda kinyume mara kadhaa Mlitabiri mvua kubwa mwezi February ila Sasa joto ni kali Huku Kanda ya ziwa jua ni kali mno, Joto kama tuko Dar es salaam au Sudan Twambieni utabiri kwenye mitambo yenu inaonyesha nini, tunapanda...
  2. Je, ni manukato (perfume) gani yanafaa zaidi kwa hali ya hewa ya joto sana?

    Ninaishi katika jiji lenye joto kali na halijoto hufikia 35°c kwa urahisi kwa hivyo karibu harufu yoyote ile huhisi kuudhi. Je, ni perfume gani inayoweza kuburudisha hisia hiyo? Kwasababu kwa ninavyofahamu kila perfume hutengenezwa kulingana na hali ya hewa la eneo,sasa juzi nilijichanganya...
  3. Niliwahi kuambiwa na mmakonde kuwa pombe aina ya Gongo inayotegenezwa kwa korosho ikipata joto inalipuka. je hili nikweli?

    Wakuu dunia ina mengi sana.Huku kwetu Gongo hutegenezwa kwa malighafi ya muhongo au jina maalfu ni udaga. Nadhani kila sehemu wanatumia malighafi tofauti tofauti kulingana na upatikanaji wake. Basi katika kutembea huko na pale na kule nikakutana na mtu wa songea mmakonde alichoniambia...
  4. Mchungaji: Hali ya joto inayoendelea nchini kwetu ni kutokana no moto aliowasa Mungu Los Angles US

    Hilo ndilo amesema kiongozi wetu leo kwenye Jumuiya akituonya kuacha dhambi kwasababu nyakati hizi zinafanana na zile za Sodoma na Gomora
  5. Kwa joto la Dar es Salaam lakini kuna watu utakuta wamekumbatiana

    Unakuta joto kama hili hapa jijini Dar es Salaam Ila kuna watu wamekumbatiana mda huu wa usiku Are serious...
  6. Hivi hili joto ni Ruangwa tu ndio limetuzidia au Tanzania nzima?

    Asikuambie mtu Ruangwa kuna joto. Nimefuatilia hali ya hewa maeneo mengi yenye joto Tanzania hii yani Tanga, Dar, Lindi mjini, Mtwara, Dodoma, Singida, Zanzibar, Tabora kwa wiki hii sijaona sehemu yenye joto kushinda Ruangwa (Ruangwa mjini, Lindi Tanzania) Jana mchana temperature ilifika 37°C...
  7. Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

    Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati... Nini hutokea? Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma? Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
  8. Je, simu yako inapata sana joto?

    Simu yako inapata Sana Joto !!! Ulikua unatumia simu fresh tu ghafla simu imebadilika na kuanza tabia za ajabu inapata joto sio mchezo 😏, ukitumia kidogo ilo joto lake unaweza sema umechemsha chai kwenye heater 😀. Kuna sababu nyingi ambazo upelekea simu Zetu kupata sana joto wakati...
  9. Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani

    Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na ulimwengu. Katika kuadhimisha miaka 75 ya...
  10. TMA: Joto limeongezeka duniani, Mvua kuwa za wastani

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli na msimu wa mvua za masika zitakazoishia Aprili 2025. Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 31, 2024, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Ladislaus Chang’a alisema mvua za chini ya wastani zinatarajiwa katika...
  11. Dunstan Kitandula: Barafu inapungua mlima Kilimanjaro kutokana na kuongezeka kwa joto la Dunia

    Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa misitu imezindua kampeni ya kupanda miti zaidi ya Bilioni moja katika mikoa ya kaskazini ili kunusuru barafu ya Mlima Kilimanjaro. Kampeni hii ya upandaji miti inakwenda sambamba na utekelezaji wa mikakati ya kupanda zaidi ya miti milioni 8 kwa...
  12. W

    Joto Hasira- Lady Jaydee ft Prof Jay

    Chorus: Hili joto hasira, ambaa Upepo hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa. Foleni njia nzima, ambaa Na pesa hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa VERSE 1: siku nimenuna Kwanini tunagombana Tena tunakosoana, kama tumechanganyikiwa Na sioni hata maana Ya si...
  13. Hoja nzito kidogo: Vipodozi vikali vinapunguza joto la mwili

    Eheeee. Habari nmeamua tu kukudokeza Uumbaji wa Mungu ni waajabu sana Mungu ametupa joto ambalo huwa linapungua na kuongezeka kulingana na mahali na vitu tunavyofanya. Shetani katika kutimiza malengo yake ameleta vitendea kazi ikiwepo Vipodozi vikali vya kujichubua n.k Hivi Vipodozi vinapunguza...
  14. Tupumzike sasa sio kwa joto hili la Dar es Salaam

    WATAALAM WANASEMA ........TAHADHARI..... ....... Kuanzia leo saa 5:00 asubuhi: Kwa masaa 27 tutashuhudia PHENOMENON ya APHELION. Dunia itakuwa mbali sana na Jua ☀️. Hatuwezi kuona hali hiyo, lakini TUNAWEZA kuhisi athari yake. Hii itadumu hadi mwezi wa Agosti. Tutakuwa na hali ya baridi...
  15. G

    Nawapongeza wakenya kwenye kujitetea juu ya ongezeko la kodi

    Nimeona hawa vijana wa Kenya wapo tofauti sana na hapa kwetu, Kwenye suala la kulimbikiziwa tozo na kodi hawanong'oni kimya kimya mitandaoni, ni wamechachamaa !! Wana spirit ya kuhoji vitu, "Inakuwaje Kenya inapokea matrilioni ya misaada kila mwaka na kuomba mikopo yamatrilioni kwajili ya...
  16. SI KWELI Watoto wachanga hawahisi joto

    Imezoeleka kuona watoto wachanga wakiwa wamefunikwa manguo mengi sana, hii sio shida iwapo hali ya hewa inaruhusu yaani ya ubaridi au ya kawaida. IIa kunaweza kuwa na hali ya joto kali watu wazima mnatamani kukaa kwenye feni ila mtoto mchanga bado kafunikwa mablanketi na kavishwa sweta, ukihoji...
  17. Sudan Kusini: Shule zafungwa baada ya Joto kali kuongezeka

    Serikali imeamuru kufungwa kwa muda usiojulikana kwa Shule zote kutokana na joto kali ambalo linalotarajiwa kufikia hadi nyuzi joto 45 (113F) na kudumu kwa Wiki 2, huku ikionya Shule ambayo itakaidi maagizo hayo itafutiwa Usajili wake. Sudan Kusini inapitia Vipindi virefu vya Joto wakati wa...
  18. K

    Joto la sasa, nani anakumbuka kama liliwahi kutokea hapa Tanzania?

    Nilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona. Nikawaza tatizo liko wapi?
  19. Tunauza taa za joto za kulelea vifaranga. (heat infrared light bulb)

    TUNAUZA TAA ZA JOTO ZA KULELEA VIFARANGA. (HEAT INFRARED LIGHT BULB) ●Hutoa mwanga mwekundu ambao husaidia kupunguza stress kwa vifaranga na kufanya ale vizuri. ●Taa moja hulea vifaranga 100 hadi 150. ●Huzalisha joto la kutosha hivyo humfanya kifaranga wako kufurahia maisha. ●Hudumu muda mrefu...
  20. Points 10 za ujenzi: Joto ndani ya jengo

    MAKALA YA 2 Karibuni tena katika Makala yenye kutoa elimu juu ya mambo muhimu kwenye ujenzi wa Majengo (madogo) I.e. Nyumba, Maduka, Darasa, Zahanati n.k Leo tunatazamia katika Halijoto ndani ya jengo.Hili suala linawasumbua wakazi wa mikoa ya ukanda wa Pwani, Longido, Loliondo, Simanjiro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…