joto

Jōtō Station (城東駅, Jōtō-eki) is a passenger railway station in the city of Maebashi, Gunma Prefecture, Japan, operated by the private railway operator Jōmō Electric Railway Company.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hili joto kupikia jiko la gas kwenye chumba na sebule ni mateso

    Siku hizi zile foleni za kungojea mafiga kwenye nyumba za kupanga zimepungua sana. Siku hizi wengi wana majiko ya gas chumbani. Kwa kweli yanasaidia sana kuokoa misitu, kurahisisha maisha. Hata hivyo joto unalopambana nalo kwenye chumba wakati unapika ni kadhia nyingine. Unaishi kwenye chumba...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 umeshika nafasi ya sita kwa joto zaidi

    Utafiti wa hali ya joto duniani na mashirika mawili ya Marekani umeonyesha kuwa mwaka 2021 umeshika nafasi ya sita wenye joto zaidi duniani. Takwimu za hivi karibuni zilizokusanywa na Shirika la taifa la Marekani linaloshughulikia utafiti wa anga za mbali, NASA na Idara ya Bahari na Anga ya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Madhara ya joto kisaikolojia! Ni moja ya cha chanzo cha migogoro na ukatili usiotarajiwa

    Joto ni moja ya kichocheo kikubwa sana kinachoweza kuharibu mfumo wa kufikiri. Wataalam wa saikolojia wanathibitisha kupokea migogoro mingi sana ya ndoa kipindi cha joto Kali la hali ya hewa! Ukiachilia mbali wanasaikolojia! Taarifa za kipolisi zinaeleza matukio mengi ya kikatili huongezeka...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mnalo! Jua na joto kali, mgao wa maji na sasa mgao wa umeme

    Poleni sana, halafu kwa namna huwa mnabanana kwenye madaladala, mbona mnalo. Tanzanians should brace for more pains as power rationing looms after Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco) revealed that water levels in many of their dams have reduced. According to a statement issued...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la joto nchini, picha ya Mlima Kilimanjaro leo

    Barafu inayeyuka kabisa kileleni. Mungu atunusuru
  6. F

    JamiiForums Tanzania Joto la dunia, Serikali iamuru mabasi yasafiri usiku

    Kwa hali ya joto inavyozidi kuwa mbaya kila uchapo huku mgao wa maji ukizidi makali yake na huenda Tanesco nayo iko mbioni wakati wowote kuanzia sasa kutangaza mgawo wa nishati ya umeme, hali ambayo itafanya watu wasiomudu majenereta kuyakimbia majumba yao usiku na mchana, nina maoni kwamba...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tegeta hakuna umeme wala maji, angalau mngetuachia kimojawapo na hili joto la Dar!

    Chonde chonde Dawasa na Tanesco tufanyieni wepesi wateja wenu kwani hali ni tete si umeme wala maji.
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Belarus yatumia maharamia kuidhoofisha EU, yatishia kukata gesi inayotumika kupunguza baridi kwenye nchi nyingi za EU, vita yanuka

    Nchi ya Belarus inatmua maharamia kuidhofisha EU ikiwa na lengo la kujaza maharamia wengi sana kwa kuwasaidia kuzamia katika nchi za EU. katika miezi ya hivi karibuni, maelfu ya watu wamesafiri kwenda Belarus kutoka Mashariki ya Kati, Afrika na Asia ili kuzamia Ulaya ya magharibi. maharamia...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

    Joto la eneo hili hufikia hadi nyuzi joto 40 C, kumbuka hapa Dar halijawahi kuvuka 34 na watu ndio wanapiga kelele hivi Je, kuna zaidi ya Ifakara kwa joto Tanzania?
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa la kiwango cha joto nchini, sababu zatajwa

    🌡☀️🚦ONGEZEKO LA JOTO NCHINI Dar es Salaam, 08 Novemba 2021: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa juu ya uwepo wa ongezeko la joto katika maeneo mengi hapa nchini. Ongezeko hili la joto linatokana na kusogea kwa jua la utosi sambamba na upungufu wa mvua katika maeneo mengi ya...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Waafrika milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali ifikapo 2030

    Umoja wa Mataifa(UN) umetahadharisha kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi ambayo yanahatarisha maisha waafrika milioni 118 ambao ni masikini wanaoishi chini ya dola 1.9. Imekadiriwa kufikia 2030 watu milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali kama hatua za makusudi hazitachukuliwa...
  12. Dodoma Demand

    JamiiForums Tanzania Vituo 5 vya joto na baridi kujengwa jijini Dodoma

    Kutokana na hali ya hewa ya Dodoma kuwa ya Kitropical Serikali imeamua kusaini dola za Marekani Milion 10 kwa ajili ya kuazisha vituo 5 maalumu vya Joto na Baridi. Vituo hovyo vitatumika wakati hali ya hewa ya kupita kiasi itakapotokea Jiji Dodoma ambapo vitafunguliwa vituo vyake vya Joto na...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Joto kali linalosababishwa na ukuaji wa miji, linatishia maisha ya mijini

    Ongezeko la idadi ya watu pamoja na joto ulimwenguni ni sababu zinazotajwa kuongeza joto mijini, matatizo ya kiafya na kufanya iwe vigumu kuhamia maeneo ya mijini hasa katika mataifa maskini, kulingana na utafiti mpya. Ripoti hiyo iliyochapishwa na jarida la Chuo cha Taifa cha Kisayansi...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanga wa mwezi hauna joto?

    Wanasema kuwa mwanga mwezi umeakisiwa kutoka kwenye jua. Lakini ukiakisi mwanga kwa kioo unakuwa na joto, mbona wa mwezi hauna joto?
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TMA yatabiri joto kali na ukame

    MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa ukame kutokana upungufu mvua unaotarajiwa kutokea katika kipindi cha mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza kunyesha hivi karibuni. Imebainishwa kuwa katika kipindi cha mvua za Oktoba hadi Desemba mikoa mingi...
  16. Acehood

    JamiiForums Tanzania Baada ya joto kuua zaidi ya watu 500 Canada, Dubai yatengeneza mvua feki kukabiliana na joto

    Dubai inapitia kipindi kigumu cha hali mbaya joto kali. Eneo hilo ndani ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) lina joto kali linalovuka mpaka nyuzijoto 50 na kuhatarisha maisha ya watu zaidi ya milioni 3 wanaoishi katika mji huo. Hivi karibuni nchini Canada zaidi ya watu 500 waliripotiwa...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 130 wapoteza maisha kutokana na joto kali Canada

    Watu zaidi ya 130 wamefariki nchini Canada kutokana na joto lisilo la kawaida kupiga ambalo limevunja rekodi ya kiwango cha joto. Polisi wa British Columbia wamepokea taarifa za vifo tangu Jumatatu, vifo vingi vikijumuisha wazee. Wanasema kiwango hicho cha joto kupiga katika eneo hilo...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Joto lavunja rekodi Canada, vifo kadhaa vilivyotokea ghafla vyaripotiwa

    Wakati hali ya joto ambayo imetajwa kuvunja rekodi ikiendelea Nchini Canada, Polisi huko British Columbia imepokea ripoti za takriban vifo 70 vilivyotokea ghafla tangu Jumatatu. Imeelezwa, wengi kati ya waliofariki dunia ni Wazee na joto lililopo katika eneo hilo limetajwa kuchangia kwenye vifo...
  19. Bam1

    JamiiForums Tanzania MSaada: Mtoto wangu anapata joto kali

    Habari Doctors naomba msaada wenu, Mtoto wangu anaumwa siku ya sita mpaka sasa lakini anachoumwa ni joto kali la mwili hospital 🏥 wakipima anakuwa na 38.8 za joto na vipimo vyote wamepima Hana tatizo lolote. Lakini mama yake ana mimba ya miezi nane sasa watu wananiambia wenda ikawa joto la...
  20. mtimawachi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wana temperature jamani!

    Hii mada haipo hapa kwa ajili ya kumdhalilisha mtu au jinsia fulani.Ila samahani kwa watakaokwazika. Nakumbuka mwaka fulani(kabla sijaoa) nilitoka mkoani kuja dar kikazi.Nilipomaliza nikaona niende buza kwa lulenge kumtembelea kaka(mtoto wa baba yangu mdogo).Nilipofika kwa kaka tukawa katika...
Back
Top Bottom