john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche: Sema Meritocracy society. Sema Nepotism

    Meritocracy society ni mfumo ambao watu hupata nafasi, madaraka, ajira, au mafanikio kutokana na uwezo, juhudi na vipaji, badala ya kutokana na familia wanayotoka, utajiri, ukabila, dini, au uhusiano wa kisiasa. Nepotism ni tabia ya kumpa ndugu, jamaa, au marafiki wa karibu upendeleo katika...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Heche: ICC imeingizwa kurasa 82 zinazoeleza kwamba watu hawa waliua watu zaidi ya 3000

    Makamu Mwenyekiti wa Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, John Heche, wakati akizungumza na umati wa wanannchi katika mkutano wa hadhara Mkoa wa Mbeya Juni 23, 2026, alieleza kuhusu kesi iliyofikishwa Mahakama ya uhalifu ya Kimataifa (ICC) kuhusu mauaji ya raifa yaliyofanyika wakati na...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: Msafara wetu unafuatiliwa na vyombo vya dola, Sisi sio wahalifu, acheni

    Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akiwa Mbarali, Mbeya Juni 22, 2026 amesema "Tuko kwenye ziara. Leo ni siku ya tano. Na tangu nimeanza mikutano ya hadhara kule Machingwea, baadaye nikaenda Masasi, siku nyingine siku iliyofuata tukaenda Songea, na jana...
  4. K

    JamiiForums Tanzania John Heche awakumbusha Nachingwea mababu zao walivyowatenda madhalimu wa Uingereza

    Amewaambia Mwingereza alikimbia Nachingwea, nyinyi mnakwama wapi ??? Walilazimishwa kupanda karanga eti Ulaya wanahitaji mafuta ya karanga , wakaporwa ardhi zao, wakatandikwa kodi za mabanda wanayoishi including mabanda ya mbuzi, ya kila mke, kila kijana wako, na kulimishwa kama watumwa...
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Heche: Mbunge analipwa per diem na allowance Tsh. 800,000 kwa siku, mshahara wa Tsh. 18 milioni kwa mwezi

    Duh, kama ni ukweli basi tumekwisha, kuna vitu hapa Tanzania ni bora usivijue tu, maana ukivijua utapata pressure ya bure, imagine nchi maskini, Raia wanashindwa kuafford vitu vya msingi, lakini kuna mtu mmoja pale bungeni anakunja zaidi ya mamilion, bunge la budget ni siku 90, laki nane kwa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 John Heche: Mwambie Samia, Heche yuko tayari kwa mdahalo na wewe, ndio level zangu, siyo Kihongosi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema anamtaka Mwenyekiti wa CCM ajitokeze kwenye mdahalo wa ana kwa ana kujadili mustakabali wa taifa. Akizungumza katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa mnamo Juni 17, 2026, Heche amekataa katakata kufanya mdahalo na Msemaji au...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Polisi hawana weledi hata chembe, wanatuhumiwa kuteka na kuua, na ndio waliohusika kuua Oktoba 29 na 30

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amelitupia lawama kali Jeshi la Polisi nchini akidai kuwa limepoteza weledi na kugeuka kuwa chombo kinachotumika kisiasa dhidi ya wapinzani. Akizungumza Juni 17, 2026 katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa, Heche alifunguka kuwa jeshi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Lissu ana influence kubwa kwenye nchi hii, iwe CCM au CHADEMA hakuna mtu analingana naye

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Super breakfast cha EATV radio leo Juni 17, 2026. "Lissu ni mtu ambaye influence yake kwenye nchi hii ni kubwa kuliko mwanasiasa mwingine yeyote across the board. Ikiwemo...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA siyo Chama cha Fujo, wanaotishia kuua Watu ni CCM, Polisi hawachukui hatua

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesisitiza kuwa chama chake hakiamini katika vurugu bali kinafuata njia za kidemokrasia kupata uongozi. Akizungumza Juni 17, 2026 kwenye mahojiano na East Africa Radio, Heche ameeleza kuwa CHADEMA imevumilia uonevu mkubwa, ikiwemo viongozi wao...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania John Heche: Jeshi la Polisi mrejesheni Ibrahim Myovela kwa familia yake

    https://www.youtube.com/live/Ex4phmqWLxY?si=-kvbHkryi4LV2ROJ Video: MATUKIO DAIMA MEDIA Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasi na maendeleo (Chadema) John Heche ametaka jeshi mkoa wa Iringa kusema wapi alipo aliyekuwa mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Iringa, Ibrahim Myovela anayedaiwa kutoweka...
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania John Heche nakuomba sana jilinde popote ulipo

    Sipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana! Naomba usipuuze hii! Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay Britanicca
  12. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Kihongosi ametumwa kutafuta sababu CHADEMA ifungiwe mikutano

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amedai kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, ametumwa kutengeneza propaganda za uongo ili kupata sababu za kisheria za kukifungia chama hicho kufanya mikutano ya hadhara. Pia soma...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Unakuta kijana wa Chuo Kikuu anajivunia kuwa CCM, eti kisa anahofu ya kukosa ajira

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akizungumza na Vijana wa CHASO Mkoani Iringa Juni 13, 2026 amesema; "Chuo Kikuu, university, unakuta kijana anajihusisha na CCM and he is proud. Sasa ukimuuliza, it's not bad, sio tatizo kujisoshiaiti na CCM. Lakini anajihusisha na CCM kwa lipi? Kwa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tuna matatizo mengi nchini, na asilimia 100 yanasababishwa na uongozi usio na uwezo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akizungumza na Vijana wa CHASO Mkoani Iringa Juni 13, 2026 amesema; "Tuna matatizo nchi hii, mambo mengi sana kama nchi na wote tunajua. Nasema uongo? Na asilimia 100 ya matatizo tuliyonayo inasababishwa na matatizo ya kiuongozi. Tuna watu ambao...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche: Peter Msigwa atajitetea mwenyewe kwa wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema mwanasiasa Peter Msigwa, ambaye amerejea hivi karibuni ndani ya chama hicho atajitetea mwenyewe kwa wananchi kuhusu sababu na mazingira ya maamuzi yake ya kisiasa ya kuhama na kurejea CHADEMA. Akizungumza leo Juni 13, 2026, katika kipindi...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: Said Issa si Mtu maalum, ametumika kudhoofisha kampeni ya Free Lissu, hoja ya Fair election na katiba mpya

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche, amesema; Saidi Issa Mohamed ni mwanachama tu. Sisi tuna wanachama milioni nane. He is not special. Ni mwanachama wa kawaida tu. He is not special! Hata mimi nikitoka kwenye umakamu nitakuwa mwanachama wa kawaida...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Nchi imekuwa 'Police state', Polisi wako Mtaani na Vimulimuli. Amani hailindwin a Mtutu wa Bunduki

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche akizungumza katika Mahojiano na Bongo FM leo Juni 10, 2026. "Hii nchi haina amani bwana. Nchi ambayo ina amani polisi wako hapo mtaani na vimulimuli? Amani inalindwa na mtutu wa bunduki? Amani inajilinda yenyewe kwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Kenani Kihongosi anaweza kufanya mdahalo na watoto wa shule ya Msingi na CHASO. Hawezi kujibu hoja

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche, akizungumza katika Mahojiano na Bongo FM leo Juni 10, 2026, amejibu kauli ya Mwenezi wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi kusema Heche amekuwa akikimbia anapoomba mdahalo naye Soma pia Kihongosi: Heche, Lema, Sugu na Boniyai...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche amjibu Saada: Wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao wanyimwe matibabu?

    Mambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon. Anaandika John Heche Makamu Mkiti Chadema. ============== Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na John Heche hayati JPM alikuwa serious kudhibiti uzembe na ufisadi. Na ninaongezea asingethubutu kutembea na mtoto kama tunavyoshuhudia

    Naona wanaChadema wameanza kukubaliana na mimi juu namna hayati Magufuli alivyokuwa shujaa na mpambanaji kuzuia uzembe na ufisadi. Kwanza asingeweza kwenda Urusi na na mtoto wake au delegation kubwa namna ile na kuharibu pesa za Watanganyika.
Back
Top Bottom