john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema; “CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani, CHADEMA ndio Chama cha siasa kwakuwa huko field hatukutani na CCM bali vyombo vya Usalama” Video: Clouds Media Digital
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Mbowe aulizwe mwenyewe kwanini haendi mahakamani

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema tayari amekutana na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, tangu uchaguzi ulipomalizika na kufanya naye mazungumzo marefu nyumbani kwake. Hata hivyo, Heche amesema hawezi kujibu kwa niaba ya Mbowe kuhusu sababu za kutofika...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo ndani ya CHADEMA, huenda John Heche akajiuzulu kabla ya kubanduliwa madarakani na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa mwezi ujao..

    Kwasababu, mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%. Pendekezo la azimio la kumbanudua John Heche madarakani linaungwa mkono na asilimia kubwa ya wajumbe wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna dau la milioni 1 kwa Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA kumpinga na kupiga kura ya kutokuwa na imani na Heche

    Taarifa za uhakika na za moto moto zilizotufikia Jana ni kwamba ni kweli kuna vigogo CHADEMA wamekula Pesa za CCM ili kuivuruga CHADEMA. CCM Walichofanya ni kuwanunua baadhi ya Viongozi wakubwa wa CHADEMA na kuwapa Pesa za kutosha ili kumvuruga Heche anayekwamisha Maridhiano na Samia. Rafiki...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania UVCCM Dar: TFF wanapaswa kumfuatilia kwa umakini sana John Heche kwa kauli zake kuhusu mpira wetu na wamhoji

    Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, kupitia Mwenyekiti wao Nasra Mohamed Ramadhani umeitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumfuatilia kwa umakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kutokana na kauli zake kuhusu masuala ya mpira wa miguu nchini. Kazi kubwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tunaongozwa na watu waliokosa maarifa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Serikali ya CCM inaongozwa na watu waliokosa maarifa badala yake wamebaki kutishia wapinzani na kufungua mitandao ya kijamii. Ameyasema hayo Agosti 12 katika maadhimisho ya vijana kimataifa yaliyofanywa na chama hicho jijini Dodoma.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania John Heche: Magufuli ameondoa bandari ya Kwala imerudi mjini na kufanya Mji wote kuwa sehemu ya kuweka Makontena

    "Kuku mmoja anayetaga mayai ya dhahabu ni bandari ya Dar Es Salaam. Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha hakuna usumbufu kwenye mizigo, kwanza unawatengenezea watu barabara za uhakika kutoka Bandarini. Magufuli alianza kujenga bandari ya Nchi kavu Kwala kwamba mizigo yote itoke bandarini iende...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania John Heche: Vijana acheni uoga, tumieni nguvu zenu kudai mabadiliko

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema vijana ni nguvu kubwa katika jamii na wana uwezo wa kusababisha mabadiliko nchini. Heche ameyasema hayo akizungumza na vijana, akiwahimiza kutambua nguvu waliyonayo na kuitumia katika kushiriki katika masuala yanayohusu mustakabali wa nchi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Kilindi: Heche kuniita Mbwa ni sifa, hakutumia busara

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kilindi, Mathias Cosmas (maarufu kama Mpendakula), amejibu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa kwa kile alichodai kuwa ni kutolewa kwa lugha ya dhihaka ya kuitwa "mbwa." Akizungumza mbele ya wanahabari, Mathias...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 John Heche: Kama nanufaika na Lissu kuwa gerezani, wamwachie ili nikose hayo manufaa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche amesema kuwa iwapo ananufaika kisiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa gerezani, basi mamlaka zinazomshikilia zimwachie ili manufaa hayo yaondoke kwake. Heche amesema kuwa yeye si anayeshikilia funguo za gereza, si aliyefungua kesi dhidi...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Si mnajimwambafy kuwa hii nchi ni ya kwenu. Fanyeni madhara yoyote kwa John Heche au Tundu Lissu halafu muone kitavyonuka

    Kama mnataka kuona nguvu ya umma ikoje basi fanyeni uthubutu wa kumdhuru John Heche au Tundu Antipass Lissu. Wananchi wana machungu moyoni juu ya taifa lao la Tanganyika halafu mnawatisha kupitia utekaji na mauaji. Kama nyie na bunduki zenu, vifaru vyenu na mabomu yenu fanyeni madhara kwa...
  12. Troll JF

    JamiiForums Tanzania WANTED! WANTED! For conducting unauthorised Surveillance to John Heche

    Tanzania Police received information on Unknown Criminals conducting surveillance on CHADEMA Vice Chairman and the investigation is underway kindly if you know Who is this person and why is he following Hon. John Heche? Do you recognize him? If you see him or if you know who he is, please...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya John Heche Tarime

    Mapokezi ya John Heche Tarime. Hata hili eti CCM linawauma. Ukiwa CCM roho mbaya ndo Silaha
  14. U

    JamiiForums Tanzania Heche na Lissu wameweka historia kubwa sana. Mbeleni tutakuwa na majengo na mabara bara yao, vizazi vijavyo vitahadithia

    Iko siku nchi hii itakuwa na Bara bara, madaraja, majengo na taasisi zitakuwa kuwa na majina ya hawa mashujaa wawili. Haya hatutaweza kuyasema mchana wala hatutaweza kusema mbele ya Camera. Nina uhakika mbele ya Safari siku ccm ikianguka hawa watakumbukwa sana tu. Ujasiri wa Kupigwa Risasi na...
  15. political monger senior

    JamiiForums Tanzania John Heche: AFCON na FIFA waliitenga S.Africa sasa ni zamu ya Tanzania

    Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi. Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi? Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa, Utalii na wageni wanaokuja Nchini...
  16. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa John Heche kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza (Mutafungwa)

    Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako? Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje? Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini? Kama jambo liko kwenye public unahitaji mimi kuja au wewe kufuatilia na taarifa zako za...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania John Heche: Sheria ndizo zinaruhusu mikutano ya kisiasa na si polisi

    Ikiwa imepita siku moja tangu Jeshi la Polisi lifungue milango ya kupokea taarifa za nia ya kufanya mikutano ya hadhara kutoka kwa vyama vya siasa na wadau wengine kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizopo kutokanana hali ya usalama kuelezwa kuendelea kuwa shwari,Makamu Mwenyekiti wa...
  18. Troll JF

    JamiiForums Tanzania UFISADI CHADEMA, wanachama wamemkalia Kooni John Heche wamuomba Msajili kuingilia Kati wamtaka Katibu Mkuu Mnyika kuunda tume ya kumchunguza

    Shalom Makamanda, Lile sakata la Ufisadi ndani ya CHADEMA likimhusisha Makamu Mwenyekiti wa Chama bado halijapoa baada ya wanachama kucharuka wakimuomba msajili wa vyama vya siasa kuingilia kati na Katibu mkuu wa CHADEMA kuunda tume ya kumchunguza wakati huo akiwa pembeni kwani hawawezi...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Utata wa Kesi za Ugaidi na Mtihani wa Taswira ya Tanzania Kuelekea AFCON

    Tanzania inapokipiga kambi katika ukurasa wa historia ili kuwa mwenyeji wa matukio makubwa ya kimataifa, ikiwemo mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), taifa hili linajikuta katika njiapanda ya kipekee. Upande mmoja ni hitaji la msingi la kuhakikisha ulinzi na salama wa raia, wageni...
  20. Troll JF

    JamiiForums Tanzania John Heche Kama Kuna Watu wanakufuatilia toa Taarifa Polisi

    Nimefuatilia Clip ya John Heche kuhusiana na Kufuatiliwa na gari aina ya Toyota LandCruiser Hardtop Nyeupe, Pale unapoona Viashiria kama hivyo toa taarifa polisi ili waweze kuchunguza nchi ina watu wengi hii nadhani mnakumbuka kifo cha Chacha Wangwe baada ya kuwa na Mgogoro mkubwa na CHADEMA...
Back
Top Bottom