john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kuweni Makini Polisi wanapokuja Nyumbani kwenu

  2. CCM Music

    JamiiForums Tanzania John Heche anafaa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika ni dhaifu sana

    Kikwetu tuna msemo tunasema: What goes around comes around. Kijijini kwetu tunatumia sana huo msemo mara kwa mara. JJ Mnyika aliwahi kumwambia JK kuwa ni Rais dhaifu. Hahahahaha. Lakini sasa kajamaa ni SG wa CHADEMA naona ndio dhaifu kuliko maelezo. Ni dhahiri CHADEMA haina vetting nzuri...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA wasimulia walivyokamatwa na Polisi

    Mwanza. Baadhi ya viongozi wa Chadema waliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa, wamesimulia jinsi walivyokamatwa usiku wa kuamkia Julai 21. Pamoja na simulizi hizo, viongozi hao wakiongozwa na mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche walisisitiza...
  4. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania John Heche: Chokochoko siyo neno la kistaarabu

    Wasalaam, Tuendako hakuna nuru na dalili ya mvua ni mawingu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

    Tumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi kuwaita Baba Jakaya, Baba Mkapa nk. Kisaikolojia kutanguliza neno "mama" ni kutweza cheo Cha Amiri...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania John Heche: Mawakili waliogopa kututetea isipokuwa wachache wakiongozwa na Kibatala

    "Watu wengi hawajui kwamba kwenye hii kesi tulipewa masharti mengi magumu bila sababu ikiwemo kuripoti central police Dar kila ijumaa. Yaani popote utakapokua hakikisha ijumaa uko Dar pia mawakili waliogopa kututetea isipokuwa wachache wakiongozwa na Kibatala." John Heche Suguta
  7. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania John Heche: Wabunge 19 Viti Maalum wajitokeze kuomba msamaha badala ya kuwatumia Watu

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amewataka wabunge 19 wa viti maalum waliokuwa wanachama wa chama hicho waliopo bungeni, kujitokeza hadharani kuomba radhi badala ya kuwatumia watu kuwaombea msamaha. Heche ametoa kauli hiyo leo Mei 31, 2021...
  8. K

    JamiiForums Tanzania John Heche kujiunga CCM?

    Moja ya vijana mahiri wa Chadema wanaowindwa na chama Cha mapinduz ni John HECHE. Kuwindwa kwake ni katika harakati za kupunguza nguvu ya upinzani kanda ya ziwa na kulainisha miyoyo ya Wananchi. Je, ataweza kuvumilia safari ya siasa za upinzani akiwa ndani ya walezi wake Chadema? Kwanini CCM...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi John Heche alivyoshambuliwa Twitter, ni wazi wafuasi wa upinzani sasa wanataka action na si kusikia viongozi wao wanalalamika

    Leo hii John Heche ameandika Twitter kulalamika mawakala wake kuvamiwa majumbani mwao na kupelekwa Polisi. Kilichonishangaza ni jinsi Heche alivyoshambuliwa huku wahusika wakionenekana kuchukizwa na hali ya kuendelea kulalamika bila kuchukua hatua na zaidi kwa kutozingatia onyo alilotoa kigogo...
  10. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

    Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita Kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo

    Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter: Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo...
  12. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu shughulika na kuhubiri Sera zinazoenda kuondoa kero za watu, malumbano yatakutoa kwenye reli

    Ukiwa kiongozi jitahidi Sana kutoongozwa na hisia au chuki. Watu wa Mpira wanajua jinsi ya kumfanya mpinzani awe na hasira ili akose utulivu mchezoni. Unamkumbuka beki kisiki Juma Nyoso au Forward Mkolofi Diego Costa. Sio lazma ujibu au ulumbane kila kitu muda NI machache Sana. Ukipita sehemu...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Heche aimalizia CCM kata ya Nyamongo

    Hii ndio kampeni iliyopigwa jioni ya leo .
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: John Heche akishangiliwa na wananchi wa kata ya Nyanshicha kijiji cha Nyantira kwenye kampeni, CCM kwaherini

    Mbinu pekee ya CCM kushinda Uchaguzi huu ni miujiza tu, hali yao si tu ni mbaya bali ni dhooofuli hali. Jionee mwenyewe.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Heche aifuta CCM Tarime, hakuna namna Waitara anaweza kuwa Mbunge wa Tarime Vijijini, atavuna alichopanda

    Hii hapa ndio hali halisi kwenye mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Tarafa, Sirari
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Somanga: Rais Magufuli asikitishwa na uzembe wa Wizara ya Ujenzi kutokarabati barabara Somanga. Azawadiwa jogoo

    Ilibidi niende Dar es Salaam kwa kutumia Ndege kutokea Mtwara lakini nimepita hii Barabara (Mtwara- DSM) makusudi nione hali yake, hii Barabara imeharibika, 90 KM zote zimeharibika. magari yenye uzito mkubwa yameharibu hii Barabara Barabara hii ya Mtwara - Lindi-Dar es Salaam imeharibika sana...
  17. Tindo

    JamiiForums Tanzania John Heche anastahili kuwa Mwenyekiti ajaye baada ya Kamanda Mbowe

    Tena hata sasa amechelewa. Yeye ndio alipaswa kuwa mwenyekiti hata sasa, ila Mbowe alilazimisha kuendelea kuwa mwenyekiti.
  18. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza kwa umakini Ester Bulaya kisha John Heche, wanasikitisha sana na wanahitaji huruma

    Aliyekuwa Mbunge wa Bunda Mjini kupitia CHADEMA ndugu ESTER BULAYA nilimsikiliza kwa umakini sana wakati akiwahutubia wananchi wake. Alijinasibu kuwa yeye simba jike alijinasibu kuleta maendeleo Bunda mjini ikiwemo maji, madawati, Barabara huku akiiponda serikali ya CCM. Nilijiuliza sana...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania John Heche asimamia semina elekezi Karatu, ukumbi wazidiwa na umati

    Huu ni mwaka wa uchaguzi na mnakumbuka kwamba tuliwahi kuonya kwamba kuiteketeza ccm inahitaji siku 7 tu , na hali ndio kama mnayoiona. Bila Polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania John Heche amwambia Ndugai kesho anaingia bungeni na hakuna wa kumzuia

    Baadhi ya Wabunge wa Chama Kikuu cha Upinzani (CHADEMA) wamepinga vikali maamuzi ya Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai ya kuwataka Wabunge hao kutorejea bungeni hadi pale watakapopimwa na kuthibitika kuwa hawana Corona. Aidha, inaelezwa kuwa Wabunge hao wa Chadema wamejiweka Karantini ya hiyari kwa...
Back
Top Bottom