john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mbona ghafla matamko dhidi ya Heche yamekuwa mengi?

    Naona ghafla matamko dhidi ya John Heche makamu mwenyekiti wa chama kikubwa nchini, yamekuwa mengi. Unajua ni kwa nini? Mtambo wa propaganda wa CCM umeishiwa mbinu za kuishambulia CHADEMA. Alipokuwa Dr. Slaa ana nguvu walisema ni chama cha wakatoliki. Mbowe naye alipowashika pabaya wakasema ni...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mnaomtuhumu M/M/kiti CHADEMA - Tanganyika Mh John Heche; Rudini studio tena, mkarekodi upya filamu yenu. This one is very ridiculous...!

    Na mkirudia tena, basi ingalau jaribuni kufuata mwongozo ufuatao mnapoandaa filamu yenu; 1. Kama kuna pesa za tonetone amepokea kupitia Bank Account yake binafsi, na kwa kuwa mna access na Bank Account binafsi ya mtu, basi filamu yenu ieleze na kuonesha waziwazi haya👇 ✓Ni Bank Account Number...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani John Heche akatetewa na wafuasi wake bila matusi mitandaoni?

    Maana kutetewa huku kwa uporomoshaji matusi wa wafuasi wake si ndio kunathibitisha kabisa kua muungwana ni fisadi? Inaonekana wazi kabisa kwamba katibu mkuu wa chadema taifa na wafuasi wa fisadi wa kiongozi huyo fisadi, hawana hoja za msingi kutetea ufisadi huo, ndio maana katibu mkuu anatumia...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Vijana BAVICHA Pwani wamtaka John Heche apishe uchunguzi

    Aliyejitambulisha kama Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani, Ramadhan Mwaja, amesema Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, apisha uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili ambazo zimekuwa zikijadiliwa katika mitandao ya kijamii, akisema hatua hiyo itasaidia kutoa nafasi kwa mamlaka husika kufanya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Brenda: Mwenye malalamiko dhidi ya Heche awasilishe kwenye chama, tupo tayari kuchukua hatua

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA Taifa, Brenda Rupia Jonas, amezungumzia mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, akisema wanaotoa tuhuma hadi sasa hawajawasilisha ushahidi wa kuthibitisha madai yao. Soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa awawashia moto wanaomchafua Heche. Ataja walio nyuma ya propaganda hii. Awachana watangazaji na waandishi uchwara wasiofanyia utafiti

    https://youtu.be/mg8bksltG8s?si=c88mbYJRZvPOgYrN Akihojiwa na Redio SAUT Digital Online leo, Balozi Mstaafu Dr Wilbroad Peter Slaa amemtetea John Heche (Makamu Mwenyekiti Tanganyika - CHADEMA) kwa nguvu sana kwa kusema haya kuhusu propaganda za kumchafua, fedha ikitumika kama silaha; 1...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Farhan wa Clouds FM: Wanaomtuhumu Heche, zikija hoja za 'No Reforms, No Election', Free Lissu huwaoni

    Mtangazaji wa Clouds FM, Farhan, ameeleza mtazamo wake kuhusu wimbi la tuhuma zinazomkabili Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akisema kuwa kuna aina ya watu na hata baadhi ya wanachama wa chama hicho ambao wamekuwa mstari wa mbele ku-comment kwa kudaiwa kula fedha za chama. Hata hivyo...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchange: Mnyika amepotosha, Kamati Kuu haikumhoji Heche kuhusu suala la 'ToneTone' bali tuhuma za ubadhirifu wa fedha za wadau

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Habibu Mchange amesema Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amepotosha, Kamati Kuu haikumhoji Heche kuhusu suala la 'ToneTone' bali tuhuma za ubadhirifu wa fedha za wadau. Soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mchome akanusha kauli ya Mnyika kuwa wanalipwa milioni 2 ili kumchafua John Heche

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa, Lembrus Mchome, amesema wanachama wa chama hicho hawataki kuona ufisadi ukitokea ndani ya chama chao. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mchome amedai kuwa kuna fedha za wafanyabiashara zinazopelekwa kwa...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma za ufisadi na rushwa zinazomkabili John Heche, ni wazi amekosa credibility ya kukosoa wengine kwenye masuala ya uadilifu.

    Huenda hii michezo ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama chake kwa manufaa yake binafsi na familia yake alianza kufanya muda mrefu huko nyuma. Na huenda hiyo ndio tabia yake halisi ya kutamani kujilimbikizia mali za chama...
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa uzushi dhidi VC wa CHADEMA Mh John Heche hapa JF unaongozwa na chawa wa CCM wa4 wana: Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Troll J na Dr wa Manesi

    Hawakosi kuposti thread hata kumi kwa siku zote zikimshambulia.. Hawa chawa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi, Retired, Troll J kwa mrengo wao na kujinasibu kwao hujitanabaisha kwa ujasiri na bila kificho kuwa ni wana CCM na watetezi wa Samia Suluhu Hassan wakiapa kuwa hata ikitokea...
  12. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi amvaa John Heche asema haogopi kufukuzwa

    Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama. ========== Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Swali: Wadau walikipa fedha chama au Heche? Kama walimpa Heche hakuna ufisadi

    Nimeona chawa wawili hapa Lucas Mwashambwa na jamaa yake wamefungua nyuzi za kumtuhumu makamu mwenyekitinwa Chadema John Heche kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha Soma pia John Heche hasafishiki hata kwa Sabuni. Tuhuma zinazomkabili ni juu ya kuwekewa Fedha kwenye akaunti yake binafsi. Hizo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania John Heche hasafishiki hata kwa Sabuni. Tuhuma zinazomkabili ni juu ya kuwekewa Fedha kwenye akaunti yake binafsi. Hizo zinapaswa kujibiwa na yeye

    Ndugu zangu Watanzania, Malalamiko Mengi yaliyopo huku mitaani na Kelele zinazopigwa na wana CHADEMA ni juu ya John Heche kutumia Akaunti yake Binafsi ya Benki kupokelea Pesa zinazopaswa kutumiwa kwenye shughuli za Chama. Hoja ni kuwa hizo pesa kupitia akaunti yake binafsi haziwasilishwi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama Vya Siasa Aingilie Kati na Kumsimamisha Uongozi John Heche Ili kuepusha Vurugu zinazoweza kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hali iliyopo na inayoendelea ndani ya CHADEMA ni vyema sana na muhimu sana kuchukuliwa kwa hatua za haraka na Dharura kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Kumsimamisha uongozi John Heche Ili kuepusha Vurugu zinazoweza kutokea kwa wanachama kuamua kujichukulia...
  16. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Waliokua wamepanga kumuua John Heche ndo wamekuja na Plan B kwamba anatumia vibaya pesa za chama trust no One

    Waliokua wamepanga kumuondoa Joh Heche kwa kutoa uhai wake ndo wamekuja na hii plani kwamba Heche ametumia vibaya pesa za michango ya chama? Heche si ndo huyu huyu dereva wake amefariki Kifo cha kutatanisha? Leo huyo Heche bado yuko kwenye majonzi ya kufiwa na dereva stil wanaimbuka watu...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Heche, Mpina na wengine wanatumika kuichafua Serikali ionekane haifanyi kazi?

    - Mfanyabiashara aliyetoroka nchi, anayesifika kutapeli mabenki atajwa kuwa nyuma ya Heche, Mpina na wengine - Ni mmiliki wa kampuni ya Mafuta Steti Oil inayotuhumiwa kujihusisha na mambo mengi machafu - Yaelezwa amejiegemesha CHADEMA kuichafua serikali baada ya kukosa zabuni ya kuingiza...
  18. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mtimueni John Heche labda mseme hakuna accountability ndani ya chama

    Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani. Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya...
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli Heche amesema watatumia uhuru wa chama chao kuteka na kuumiza watu?

  20. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa uingiza CHADEMA kwenye maridhiano feki kwa kumtengenezea kashfa feki ya kifedha John Heche umebuma kabla haujaanza!

    HAWASEMI NI FEDHA GANI HIZO ALIZOKULA M/M/KITI CHADEMA JOHN HECHE? KIVIPI NA WAPI? NI MANENO MATUPU YA HEWANI TU! VERY POOR PLANNED STRATEGY!! Nimewaza na kuwazua... Nikajiuliza hivi hizi fedha zinazodaiwa zimeliwa na Mh John Heche na kwamba amezitumia vibaya ni zipi hizo...? Je, ni hizi za...
Back
Top Bottom