john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Ukitunyima amani tunakunyima amani

    Nina taarifa za ndani kabisa kwamba wanataka kunikamata. Mimi siogopi kukamatwa, mimi sio mtu wa kutishiwa. I was born once, I live once and I will die once. Kama unataka kumtisha Heche unagonga pabaya na jipange upya. Hatuwezi kuishi kwa kunyimana amani. 'Ukitunyima amani tutakunyima amani'...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Wazungu wanafundisha watoto namna ya kuchimba dhahabu, wako anafundishwa panzi ana miguu mingapi?

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia, John Heche, akizungumz na Wananchi wa Mkoa wa Mwanza, Julai 28, 2026, amesema Matatizo mengi ya jamii kama shida ya maji na Elimu bora yanaanza pindi Wananchi wanapoacha kujihusisha na Siasa.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini Heche atajiuzulu kupisha uchunguzi?

    Makamanda Shalom! Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa. Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Pascal Anthony: Heche ameleta Mpasuko ndani ya chama, tunajiandaa kufanya maandamano bila kikomo mpaka ajiuzulu

    Katibu Mwenezi wa Jimbo la Nsimbo mkoani Katavi, Pascal Anthony, amemshutumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kwa kukiingiza chama hicho kwenye mpasuko mkubwa, kukataa maridhiano, na kufukuza wanachama wanaokosoa ubadhirifu wa fedha, huku akitangaza kuwa vijana wa mkoa huo wanaandaa...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kiongozi wetu alikamatwa akiwa mzima, hakuna taarifa hata moja tutaipuuza

    Kiongozi wetu na Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima, Taarifa Kama hizi za kuhusu kujaribu kucheza na maisha yake hazitakubalika. Serikali hii dhalimu inapaswa kumuachia Lissu haraka. Sisi Tunafuatilia kila kitu na hakuna taarifa hata moja tunaipuuza.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: Ofisi ya DPP ifumuliwe, inatumika kubambika Kesi za Ugaidi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema serikali inapaswa kuzifumua upya ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) akiitaja taasisi hiyo kuwa inatumika vibaya kubambikizia wananchi na viongozi wa upinzani kesi za uongo za ugaidi. "Ofisi ya Mwaikitaru na ofisi ya DPP ni ofisi zinazopaswa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali. Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amedai kuwa jumla ya viongozi 51 wa chama hicho wamekamatwa na Jeshi la Polisi ndani ya siku mbili katika kanda tatu nchini na kubambikiziwa kesi za ugaidi. Soma: Viongozi watatu wa CHADEMA kutoka mikoa ya...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Odero: Heche hutaki maridhiano, acha kusingizia Lissu kuwa huru

    Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila Mwenyekiti kuwa Nje

    Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, atakapoachiwa huru na vikao halali vya Chama kuketi na kutoa uamuzi kuhusu hatua zinazofuata. Heche ametoa msimamo huo Julai...
  11. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Pwani yafichua mchezo wanaotumika kumchafua Heche

    Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Benjamin Ntele, akizungumza Julai 17, 2026, amesema kuwa mtu aliyejitambulisha hadharani kwa jina la Shaban Ally Mchezo na kudai kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Kibaha Vijijini si kiongozi halali wa chama. Ntele amesema katika kuthibitisha hilo, amemleta...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kwanini VITOL anatuuzia mafuta kwa usd 260 wakati Uganda anawauzia kwa USD 83 na Msumbiji usd 90?

    Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali. Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000. Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000 Msumbiji usd 90 sawa na 238,500. Hawa watu wanaoitwa NAMARO...
  13. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Tone kwa Tone yafanyika ili kuficha upigaji wa John Heche!

    Nchi ikiwa ya moto ya masuala ya Upigaji wa John Heche Baadhi ya wanachama wa Chama hicho wanaonufaika na Upigaji huo wameingia mtandaoni kuhamashisha Uchamgiaji wa kiasi cha Sh. 334,000,000 kwa kile walichosema ni kwa sababu ya mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika September. CHADEMA...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea ndani ya CHADEMA kufikia hatua ya kila kiongozi wa taifa anaepuka kuambatana na John Heche?

    Why CHADEMA members, especially national leaders, are boycotting to associate themselves with their national vice chairman chairman John Heche in his mission to clear his name towards corruption allegations? Nani anaehusika na mpango huu wa kumuhujumu kiongozi huyo wa chadema taifa, na kwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Heche: Mwenye mpira ndio anayekabwa

    Wadau, jana Chuma Heche ametoa neno linalohitaji fikra tunduizi kwa kusema 'mwenye mpira ndio anayekabwa na akaenda mbali kwa kusema mpira uko chini ya udhibiti wake ndio maana wakabaji wa mpira lazima wamfate yeye' je, kauli hii nyinyi mmeielewaje? Naomba majibu (my insistence is that response...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii nyumba ya John Heche ndio ushahidi wa tuhuma wanazotengeza? Looh!.. hawa watoa tuhuma ni vilaza kwelikweli, hawamjui Heche wa nje ya siasa!

    Eti hiki kijumba ambacho actually is very contemporary sawa na ramani ya choo cha Shule ya Msingi Temeke Wailes ndio ushahidi wa mabilioni ya shilingi ambayo wanadai John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameyatia mfukoni mwake na kuyatumia binafsi kujengea kama... Haya ndio madai ya chawa wa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Watanzania wapenda haki lazima kumlinda HECHE

    Historià inajirudia Heche ni mpenda haki, mpigania haki tangu akiwa tumboni kwa mama yake. Tumlinde kwa wivu mkubwa.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ahsante mwenyekiti John Heche kuongea na watanzania kupitia diaspora

    Mheshimiwa ahsante kuongea na watanzania kupitia diaspora. Tunaomba uwe unafanya hivyo mara kwa mara. Lazima tuikomboe nchi yetu. Thumb up mheshimiwa
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche: Mashambulizi dhidi yangu ni kututoa kwenye mjadala wa Kifo cha Utata cha Dereva Wangu Suez

    Heche amesema kwamba hao wanaosemasema, ni kutaka kufifisha mjadala wa kifo cha dereva wake Suez Daniel Maradufu. Amesema ni mikakati imepangwa si bahati mbaya. Polisi ndo Waliopiga picha Maiti ya Suez, Sisi tulikatazwa wakidai wanaenda kufanya uchunguzi. Lakini picha maiti ya Suez tukazikuta...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Siwezi kutishika kwa maneno ya kwenye Khanga, sina muda wa kujibizana

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amesema kuwa msimamo wake hauwezi kubadilika wala kutetereka na uwepo maneno au propaganda dhidi yake. Heche ameyasema hayo Julai 15, 2026 nyumbani kwake Tarime, mkoani Mara akizungumza na wanaBAWACHA waliomtembelea...
Back
Top Bottom