Heche na Golugwa wamtembelea mjane wa Suez Tarime

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,114
Reaction score
3,480
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, pamoja na Naibu Katibu Mkuu Bara, Mheshimiwa Amani Golugwa, leo Jumatano, Julai 8, 2026, walifika nyumbani kwa marehemu Suez Dani Maradufu kumjulia hali mke wa marehemu, muda mfupi kabla ya Mheshimiwa Golugwa kuanza safari ya kuondoka Tarime, mkoani Mara, alikokwenda kuhudhuria mazishi ya marehemu Suez yaliyofanyika Jumapili iliyopita.

Pia waliambatana na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Mheshimiwa Deogratias Mahinyila, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, Mheshimiwa Dickson Matata pamoja na viongozi wengine.

Soma pia TANZIA - Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

1783510279573.png

1783510296448.png

1783510528195.png
 
cbca7999-407a-466a-b6db-d25515ece354.gif
 
unafiki wa binadamu hua ni kitu mbaya sana aise,

yaani sijui muhusika alie mmaliza mwendazake kwa sumu kwasababu tu ya pesa anawaza nini hapo dah,

Ama kwa hakika pesa ni mwanaharamu 🐒
 
Tanzania ilipofika inasiitisha Sana.

Unua kisa Madaraka?

Watoto wanakosa Baba.
Mama anakuwa Mjane
Nguzo ya Familia Inatoweka.
Vipi Jamii ya watanzania wanaionaje selikali???
Jumuia za kimataifa zinatuonaje????

OMBA YASIKUPATE.
HAKUNA ALIYE SALAMA.
 
Naona baadhi ya uvccm wamechafukwa kwa kuona tu hizo picha. Wanatamani wamuue na mke wa marehemu.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, pamoja na Naibu Katibu Mkuu Bara, Mheshimiwa Amani Golugwa, leo Jumatano, Julai 8, 2026, walifika nyumbani kwa marehemu Suez Dani Maradufu kumjulia hali mke wa marehemu, muda mfupi kabla ya Mheshimiwa Golugwa kuanza safari ya kuondoka Tarime, mkoani Mara, alikokwenda kuhudhuria mazishi ya marehemu Suez yaliyofanyika Jumapili iliyopita.

Pia waliambatana na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Mheshimiwa Deogratias Mahinyila, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, Mheshimiwa Dickson Matata pamoja na viongozi wengine.

Soma pia TANZIA - Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

Hii ndiyo tafsiri kamili na sahihi ya "KAZI na UTU".
Bwana Mungu wa Majeshi awabariki sana.
 
Back
Top Bottom