Hiyo pole unataka akupe wewe? Mwanaume mzima unaacha kuyafikiria maisha yako na ya wanao uko busy kumuwaza HecheNimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake
Nimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake
Wewe pole yako umeiandika mahali popote? Mbona hatuisomi?Nimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake
Una umaku mwingi sana wewe Malaria SuguNimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake
Hili ni bwabwaHiyo pole unataka akupe wewe? Mwanaume mzima unaacha kuyafikiria maisha yako na ya wanao uko busy kumuwaza Heche
Yeye ndio anatakiwa kupewa poleNimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake
Wanasiasa wote ni wafanya biashara tuHiyo pole unataka akupe wewe? Mwanaume mzima unaacha kuyafikiria maisha yako na ya wanao uko busy kumuwaza Heche
Je pole yako iko wapi kabla ya kuuziliza za wenzio?Nimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake
KweliWanasiasa wote ni wafanya biashara tu
MpuuzieAkitoa pole ndiyo atafufuka ?
Ujinga tu
Hizi pole Za kwenye mitandao huwa Zina Maana kubwa Kwa watu baki kuliko mfiwa, nilikuwa Naona group la WhatsApp taasisi Moja, MTU akiugua wote wanaenda kutoa pole kwenye group wakati Wana namba ya muhusika, nikawa najiuliza hivi Kwa Nini wasimpigie muhusika!? Humu wanapost kuteka mioyo ya wanagroup Na kuepuka kuonekana vibaya Kwa wengine au wanamaanisha kumfariji muhusika Moja Kwa Moja, kikubwa nilichokiona Ni Kwamba pole ya kwenye mitandao target waga si muhusika Ila Ni nyie mnaosoma,Nimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake