john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. AbdurRahman

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Habari! Natafuta Ajira nimesomea uhandisi wa Umeme 'MUST', nimemaliza mwaka 2019. kazi yoyote ya Umeme nipo tyr kufanya hata Kama ni wiring n.k,,, Kwasasa napatikana Morogoro 'Msamvu', Nahitaji msaada wenu nipate japo connection niapate kazi ya kusogeza maisha. Simu 0654409392
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sekretariet ya Kamati Kuu CHADEMA kufumuliwa

    Ni taharuki katika viunga vya mitaa ya ufipa, taarifa zisizo rasmi ni kuwa Katibu Mkuu bora zaidi wa Chama Afrika Mh. John John Mnyika anatarajia kufanya mabadiliko makubwa ya think tanks wa chama katika kipindi kisicho zidi wiki moja ijayo. Hii inatokana na msukumo mkubwa uliopo katika kutimiza...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sirari: MwanaCCM aliyehamia CHADEMA kwenye mkutano wa John Heche akamatwa na Polisi

    Maagizo ya Bashiru Ally yanaendelea kutekelezwa kwa kishindo na dola. Pamoja na huyu wako viongozi wengine 8 waliokamatwa na kunyimwa dhamana kwa sababu zisizoeleweka. Uonevu wa kishamba kama huu utakuja kuleta machafuko yasiyo ya lazima.
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania John Heche atikisa Sirali

    CCM na vyombo vya dola CHADEMA na Nguvu ya Umma
  5. Tindo

    JamiiForums Tanzania John Heche mubashara ndani ya star TV

    Karibuni tumsikilize John Heche mubashara ndani ya star Tv.
  6. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Viroja vya CHADEMA havina ukomo

    Awali ya yote niwape pole wale wote watakaofuata agizo la kutoshiriki uchaguzi kwa kutopiga kura. Watakuwa kwa hiyari yao wenyewe wamejinyima haki yao. Hakuna mwingine atakayeumia isipokuwa wao wenyewe na chama chao. Nadhani CHADEMA wanadhani kwa kususa mpango wao wa kuonyesha kuwa TANZANIA...
  7. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Si Cecil Mwambe wala John Heche wanaotosha uenyekiti CHADEMA Taifa, Uenyekiti una mambo mengi

    Mwanzo mwanzoni niseme wazi kuwa mimi si na sijawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA au chama kingine chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko duniani. Hilo linatosha kutoa maoni yangu huru kuhusu siasa za nchi yangu kwakuwa nazifuatilia. CHADEMA wanapaswa kufanya uchaguzi mkuu wa kichama...
Back
Top Bottom