TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,840
- 4,481
Mwanasheria mmoja alimuuzia kisima cha maji mwalimu. Lakini baada ya kupita siku mbili, mwanasheria yule alirudi kwa Mwalimu aliyemuuzia kisima na kumwambia:
"Ndugu, nimekuuzia kisima; ila siyo maji yaliyomo katika kisima. Hivyo, kama unataka kutumia hayo maji itakupasa kulipia ziada ya pesa"
Mwalimu alimwangalia Mwanasheria huku akitabasamu, kisha kwa utulivu akamjibu: "Sawa, nilikuwa ndo nataka kuja kwako kukueleza kwamba, uje kuyatoa maji yako kwenye kisima changu, au vinginevyo itakupasa uanze kulipia kwa kukutunzia maji yako.
Kusikia hivyo, Mwanasheria akapata mshangao na kujibu: "Oh, nilikuwa nakutania tu bwana"
Mwalimu akacheka, kisha akamueleza: "Hivi ndivyo watu kama nyinyi wanavyokuja kuwa wanasheria baada ya kusoma na sisi"
Anonymous
C & P