jioni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. maroon7

    JamiiForums Tanzania Kuna Doria ya helicopter jioni hii?

    Sio kawaida kwa helicopter kuzunguka mara nne ndani ya lisaa kama doria usiku huu . Nimejaribu kujiuliza kama inahusiana na hali ya usalama hasa baada ya lile tamko la kiusalama toka ubalozi wa US maana toka lile tamko nimekua on high alert
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China latoa “Chakula cha jioni cha Kitamaduni cha Mwaka Mpya” kwa watu wa China kote duniani

    Saa 2 usiku wa tarehe 21 Januari, likiambatanishwa na wimbo unaoimbwa na watoto, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo limeandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG limerushwa hewani, na kutoa "Chakula cha jioni cha Kitamaduni cha Mwaka Mpya" kwa watu wa China kote...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwenezi wa CCM Ndg. Shaka na Mkutano mkubwa na Waandishi wa Habari Januari 12, 2023

    Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImetimia #KaziIendelee
  4. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Ukitaka habari za michezo zilizojaa uvumi na uchambuzi uliyoshiba basi sikiliza U-Live ya UFM saa 10 jioni

    Leo nimesikiliza EFM, Wasafi na Clouds, hakuna cha maana nimesikiliza na kukielewa na kutosheka zaidi ya KAMARI ZAO TU na zile tutarejea tutarejea zao. Hivi vipindi vya hizo redio vimefika mwisho.
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Jioni Moja na Bibi Titi miaka ya 1980

    JIONI MOJA NA BI. TITI NYUMBANI KWAKE UPANGA MIAKA YA 1980 Nimewakuta watoto hawa leo asubuhi hapa Ikwiriri, Rufijib wanaitazama picha ya Bi. Titi nikawaomba tupige picha mimi na wao na Bi. Titi. Watoto hawa wamenikumbusha siku moja jioni moja kiasancha miaka 30 iliyopita nilipokwenda nyumbani...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa jiji la Dodoma kuondoa foleni round about darajani njia ya kwenda Mwanza mida ya jioni

    Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
  7. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi ambazo watu hulala asubuhi, kuamka na kufanya mambo binafsi mchana hadi jioni, na kurudi kazini usiku

    1. Dj - Hasa kuanzia alhamisi hadi jumapili 2. Nesi - wengi ni kila siku 3. Mlinzi - siku 6 usiku, siku 6 mchana, ndio utaratibu
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kipa wa KMC FC tukutane wapi unigawie kidogo hela uliyopewa kwa kuwapa goli jepesi la jioni?

    Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC. Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo huu msemo na wimbo utatawala sana kichwani mwangu mpaka saa 12 jioni

    Msemo..... "Mtoto akililia wembe mpe umkate vizuri ili akome na siku zingine awe na adabu" Wimbo..... "Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee.... Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee...." Na hasa hasa kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12 kamili jioni ndiyo GENTAMYCINE nitakuwa makini kuusema huo...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Profesa Kapuya na Mbowe jioni moja pale Bungeni

    Ila Mbowe amepitia mengi sana! Jioni moja pale Bungeni kwenye Ukumbi almaarufu sasa wa Msekwa uliibuka ugomvi wa maneno ya kejeli baina ya Waziri wa Elimu na Utamaduni kipindi hicho bwana Kapuya na bwana Mbowe uliopelekea wakubwa wale nusra wazichape. Kisanga kilianza pale Mbowe mchango wake...
  11. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa atoa ufafanuzi kuhusu ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi leo Julai 29, 2022

    Sina mengi ni kuanzia saa kumi jioni. Japo wadau wengi hawana imani tena baada ya kupitia uzoefu fulanifulani zilizo tolewa ufafanuzi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu. === Aliyoyazungumza waziri Mkuu. Rais Samia Suluhu Hassan tangu ameingia madarakani amehakikisha watumishi wanapata amani mahali...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale OFFA OFFA; Simu zinauzwa

    OFFA OFFA iPhone 7 plus, 450,000 Tsh. iphone X 600,000 Tsh Iphone X Max 750,000 Tsh Simu hizi ni mpya new, zinakuja toka china. Weka order yako haraka. Pesa utalipa baada ya kupewa simu. Sharti: Uwe Dar es Salaam.
  13. Cheology

    JamiiForums Tanzania Ukabaji wa Rejareja jioni jioni umekithiri jijini DSM

    Hapa ieleweke si Ile hali ya kuvamiwa, ni umekaa amepora amesepa, na akikulia timing anakuumiza. Si ishu tu ya uhitaji wa sungusungu akili zichanganywe katika level ya kufikir nje ya box. Wengi hawajui level of crimes, baadhi ya nchi ulimwenguni hakukaliki kutokana kiwango kilichopitiliza...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bajeti Kuu ya Serikali ya Tanzania 2022/2023

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko la 16% ukilinganisha na bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22. Kati ya matarajio ya bajeti...
  15. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kinachosababisha Foleni jiji la Dar es Salaam nyakati za asubuhi na jioni tofauti na ufinyu wa barabara

    Moja ya sababu kubwa inayochangia foleni majira ya asubuhi na jioni kwenye barabara nyingi za Dar es salaam ni ufinyu wa VITUO VYA DALADALA. Kusema kweli VITUO VYA DALADALA jijini Dar es salaam ni vifinyu sana kiasi kwamba havitoshelezi DALADALA angalau 5 kuegesha kwa pamoja ili kushusha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu magari mengine kutumika kama daladala mida ya jioni na usiku mkoani Dar-es-salaam

    Kutokana na adha ya usafiri katika jiji la Dar es salaam hasa kuanzia saa 12 jioni mpaka around saa 3 na saa 4 usiku, nashauri serikali iruhusu magari ambayo yanaweza kubeba abiria(mifano NOAH) yaruhusiwe ili kuondoa mateso na adha kwa abiria. Ushauri huu ni Kutokana na unwell kuwa katika mida...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

    Afisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara katika picha mara baada ya kufunga ndoa kwa mke wake wa pili jioni ya Alhamisi Aprili 14, 2022
  18. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

    Salamu kwenu Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula. Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao. Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku. Nadhani...
  19. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Saa 12 alfajri hadi saa 12 jioni, mtoto wa shule ya msingi anasoma nini kikubwa hivyo huko shuleni?

    Salamu kwenu ndugu. Ningeomba uzi huu MODS wanisaidie kuusambaza kwa wenye mamlaka. Sasa hivi kuna kamtindo kameshamiri kwa shule za msingi za serikali kuwachukua wanafunzi na kukaa nao kuanzia saa 12 Alfajr hadi saa 12 jioni... Kwa kisingizio cha kusoma na masomo kuzidi kasi. Hivi hasa ni...
  20. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

    Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC. Hautakuwa mchezo mwepesi, bali utakuwa mgumu na wa kusisimua hasa ukizingatia...
Back
Top Bottom