jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Mwenyekujua jinsi ya kutatua hii changamoto ya Mfumo wa ESS anisaidie

    Nina changamoto ya kutumia mfumo huu wa ess nimeomba mkopo crdb bank week mbili zilixopita ili kupata mkopo ila kila nikifikia stage ya ku submit code namba kwenda utumishi inagoma na kuandika something went wrong .naomba msaada wenu mwenye uelewa zaidi
  2. JINSI YA KUJUA UJAZO WA FREEZER

    Ndugu zanngu mambo vip? Kumekuwa na upigaji mwingi sana kwenye biashara za mafriji hasa mafriza. Wengi tunauziwa mafriza tunaambiwa freezer hilo ni ujazo fulani kumbe sio. Mfano unaweza kuambiwa freezer lina ujazo wa lita 100 kumbe ni lita 50. Naomba mwenye utaalamu wa kujua ujazo wa mafreezer...
  3. Jinsi ya Kutumia ChatGPT Bure

    Jinsi ya Kutumia ChatGPT Bure ChatGPT inatumiwa sana duniani kwa ajili ya maswali, uandishi wa makala, kutafsiri lugha, kuandika, kufanya utafiti (Research) na content za mitandaoni. Watu wengi hujiuliza: “Nawezaje kutumia ChatGPT bure bila kulipa ada ya kila mwezi?” Hapa nitakueleza njia...
  4. JINSI YA KUWA SUPER AGENT au AGGREGATOR ( MPESA, TIGOPESA, Airtel Money n.k)

    Wakuu habarini hapa Jamvini? Weekend ya leo naomba mwenye uelewa mtoe ujuzi wa namna ya kuwa au kuifhinishwa kuwa Super Agent au AGGREGATOR wa mitandao mbali mbali ya simu haya TZ kwa huduma za e-money like TIGOPESA, M-Pesa, Airtel Money, Halo Pesa na zingine ... NB: Kwenye maduka yao hawatoi...
  5. Turnitin software jinsi ya kuipata

    Wakuu habari! Naomba maelekezo, nahitaji kupata turnitin software ya plagiarism checking tafadhali. Naona nyingi zipo vyuoni. Ivi hakuna namna ya mtu binafsi kuwa nayo? Natanguliza shukrani.
  6. Jinsi ya kutumia passlight

    Habarini madereva. Naomba kufahamishwa mana ya ishara ya passlight. Je ukiwashiwa moja kwa moja inamaanisha nini? Ukiwashiwa kwa kublink pia inamaanisha nini? Ukiwashiwa mara moja ina maanisha nini? Asanteni.
  7. Walionipa ushauri jinsi ya kuacha punyeto hapa JF Asanteni sana.

    Asanteni sana ndio neno la kwaza naanza nalo. Nilileta mada hapa mnishauri jinsi ya kuacha kuangalia video za uchi na kujichua. Kuna walio nishauri, walio ni benza na kunidharau na kunidhihaki kama sitokuja niache. Kuna walio nipa moyo kwamba Ata ikitokea nimejaribu kuacha ila nkafanya...
  8. Jinsi ya kuzuia usiote ndoto za kishetani

    Watu wengi wanapolala huota ndoto. Baadhi ya ndoto ni za kawaida, nyingine zinatoka kwa Mungu, na nyingine hutokana na akili zetu wenyewe. Lakini pia zipo ndoto zinazotokana na shetani. Ndoto za kishetani huleta hofu, mateso na kumfanya mtu akate tamaa. Ndoto za kishetani hazifurahishi bali...
  9. L

    Jinsi ya Kubadili Jina la Biashara

    Kuna wakati unafika unataka kubadili Jina la Biashara, kwa sababu zozote zile. Hizi ni hatua za kufuata kama unataka kubadili Jina la Biashara 1. Log in kwenye account yako ya Brela ORS Ile uliyosajilia jina la biashara unalotaka kubadili. 2. Chagua new services 3. Chagua change of...
  10. Jinsi ya Kukuza Biashara Kupitia Strategy ya Coca-Cola

    Kuna kampuni chache duniani ambazo zimeacha alama ya kudumu kwenye historia ya biashara kama Coca-Cola. Ilichotengeneza siyo tu kinywaji, bali ni urithi wa kibiashara unaoendelea kufundisha wajasiriamali karne moja baadaye. Lakini siri yao haipo kwenye ladha pekee. Siri ipo kwenye strategy. 1...
  11. JInsi ya Kuagiza Bidhaa China Kupitia Alibaba

    Unataka kuanza kuagiza bidhaa kutoka China lakini hujui wapi pa kuanzia? Alibaba.com ni moja ya mitandao mikubwa duniani ya wauzaji wa jumla ambapo unaweza kuagiza bidhaa kwa bei nafuu, kutengeneza brand yako mwenyewe (OEM), au hata kuanzisha biashara ya kuuza kwa mtandao (Dropshipping...
  12. N

    Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata?

    Wakuu habari, Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata ? Betting platform inahitaji uwekezaji mzuri na wa kiwango cha kati au cha juu. naomba kama kuna mtu alikuwa anafikiria kuwa nayo hivi karibuni tuwasiliane.
  13. Wazo la Kijana: Jinsi ya Kutajirika Kabla ya Miaka 40, Usikubali Kuitwa "Masikini"

    HAKUNA KIJANA WA MIAKA 20+ ANAYEITWA "MASIKINI"... LAKINI UKIFIKISHA MIAKA 40 BILA PESA, UTAITWA "MTU HUYU NI MASIKINI KWELI KWELI!" Hili linaweza kusikika kama kauli nzito, lakini ni ukweli. Kama kijana, fursa ya kujenga maisha yako ya kifedha ipo mikononi mwako. Ukikua huna pesa wala...
  14. MACHIMBO YA FAIDA YAPO KARIKOO: Jinsi ya Kuagiza Bidhaa kwa Bei ya Jumla Bila Kufika Dukani

    Kariakoo ni moyo wa biashara Tanzania. Watu wengi hufika hapa kila siku kutafuta bidhaa kwa bei nafuu, lakini wachache sana wanajua kuwa ndani ya msongamano huo — kuna machimbo halisi ya faida. nitakuonesha faida kuu za kuagiza bidhaa kutoka Kariakoo, hata bila kwenda mwenyewe dukani, na...
  15. Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Bila Agent - Hatua kwa Hatua (2025 Blueprint)

    Unataka kuanzisha biashara lakini huna mtaji mkubwa? Au umekuwa ukitafuta wauzaji wa jumla wenye bei nafuu bila mafanikio? Basi fahamu hili: China ndio mahali pa bidhaa bora kwa bei ya chini kabisa. Na unaweza kuagiza mwenyewe, bila kupitia agent wala kulizwa. 👇 Hizi ndizo hatua za msingi...
  16. Jinsi ya kupata Leseni ya Duka la Vipodozi

    Kufungua duka la vipodozi ni fursa nzuri ya biashara, hasa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za urembo. Hata hivyo, kabla ya kuanza kuuza, unatakiwa kuwa na leseni ya biashara. Leseni hii ndiyo itakayo kuthibitishia kisheria kuwa unaruhusiwa kufanya biashara na pia inaleta uaminifu...
  17. Jinsi ya Kuanza Biashara ya Dhahabu Tanzania — Mwongozo Kamili!

    Biashara ya dhahabu ni fursa kubwa, lakini ili kufanikiwa ni l azima ujue taratibu za kisheria, wapi pa kupata dhahabu, na mbinu za kuhakikisha unanunua dhahabu halisi. Katika sehemu hii, utajifunza hatua zote muhimu za kuanzisha na kuendesha biashara ya dhahabu kwa ufanisi. 3. MAHITAJI YA...
  18. Jinsi ya kuishi bila kukopa kopa pesa

    Panga bajeti ya mapato na matumizi. – Bajeti inakusaidia kujua unachopata na kutumia bila kupitiliza. Tumia pesa kwa vipaumbele, si kwa mazoea au tamaa. – Tofautisha kati ya mahitaji ya lazima na anasa au starehe. Epuka maisha ya kushindana na watu wengine. – Kuiga maisha ya wengine hupelekea...
  19. Pesa ya Online: Jinsi ya Kutengeneza Kipato Bila Kuwa na Duka, Mtaji Mkubwa au ‘Connection’”

    Zamani, kupata pesa ilihitaji uanze na mtaji mkubwa, duka la mtaa au hata leseni ya biashara. Sasa sivyo tena. Dunia imebadilika. Leo, unaweza kutengeneza pesa mtandaoni ukiwa nyumbani — hata kwa kutumia simu yako tu. Watu wengi Tanzania wanapata maelfu hadi mamilioni kila mwezi kupitia simu...
  20. Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako

    Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako Tatizo kubwa linalowakumba wengi ni hili: wana bidhaa au huduma nzuri, lakini hakuna anayejua inapatikana. Siku hizi kelele ni nyingi sana unahitaji visibility. Hakikisha jina lako linaonekana popote mitandaoni, mitaani, na kwenye vinywa vya wateja wako. Hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…