Nitaelezea zaidi Kanda ya ziwa, hasa mkoa wa Kagera
Biashara ya mazao hasa nafaka ni biashara ambaya haimtupi mtu, yaani hapa faida inayoweza kuji double ni uhakika
Usichukue mtaji ukawekeza kulima kama kijana unayejitafuta maana kilimo kina risky zake Kwa sisi Africa tunaotegemea mvua ya...
Habari za mda huu Kuna watu tunajuana nao kwenye maisha ambao ni Bora tusingewafahamu Kuna watu ambao wanapenda kuwapangia wenzao jinsi ya kuishi mara Fanya ivi mara Fanya ivi na hapo wewe hauwapangii maisha yao
They call you when they need you only mbinu ipi ya kuwa epuka Hawa watu?
Hello
Ni wakati sasa tunajifunza jinsi ya kutafuta loopholes kwenye ISP yeyote unayehitaji, katika makala hii tuenda kujifunza jinsi Gani tunaweza tumia udhaifu wa ISP na kupata free internet access unlimited na capped (yenye ukomo)
N:B; huu Uzi ni Kwaajili ya elimu pekee na sio vinginevyo...
Kama unavyoweza kudhani, kuharibu maisha yako ni rahisi sana. Hii inaweza kufanyika kwa kufuata hatua 15 rahisi ambazo mtu yeyote anaweza kufanya.
Hatua ya 1: Fanya Kilicho Rahisi Kila wakati
Chagua kufanya vitu rahisi. Acha mambo magumu kwa baadaye. Kwa kuwa kila wakati ni "sasa," utaepuka...
Siku hizi kuna foleni ya kutisha maeneo mengi ya Dar. Yaani Hali ni tete
Jinsi ya kupunguza makali
Kwanza: Beba vitu vya Kula, bites zisikosekane kwenye gari au kama ni wa public transport kwenye pochi au kibegi Beba misosi na maji. Juzi kidogo nizimie nnavyopenda kula, masaa mawili tumesimama...
Natumaini mkopoa na mna afya njema na wagonjwa Mungu awape shufaa
Leo nashare na nyinyi jinsi ya kutengeneza juis tamu ya tikiti maji nzuri na yenye faida nyingi kiafya
Mahitaji
Tikitimaji kias inategemea na kias unachotaka
Vipande vya barafu(ice cubes)
Hatua
Kata tikiti maji vipande...
Kupiga kampeni ya kugombea ubunge Tanzania ni mchakato unaohitaji maandalizi mazuri, mkakati wa kina, na kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi. Fuata hatua zifuatazo:
1. Elewa Sheria na Taratibu za Uchaguzi
Soma na kuelewa Sheria ya Uchaguzi wa Tanzania, kanuni za NEC (Tume ya Taifa ya...
Hakuna haja ya kuunda tume kwa tatizo ambalo serikali inalifumbia macho na jibu la tatizo hilo wote wanalifahami.
Iko hivi;
Mfanya biashara + Eneo la biashara kubwa + Mipango Miji + Fundi Maiko = Maafa
Assumptions;
Mfanyabiashara- Mkinga, Mrombo
Eneo la Biashara- Kariakoo, Sinza, Ilala...
1.Fungua akaunti ya uwekezaji (BOT CDS ): Ili kufungua akaunti hii mwekezaji anatakiwa aambatanishe vitu vifuatavyo.
a. Picha 3 za passport
b. Copy ya TIN certificate
c. Copy ya kitambulisho cha taifa
2.Baada ya kuhakikisha viambatanisho vinavyohitajika, mwekezaji anatakiwa Kujaza fomu ya...
Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo wangu kwenye biashara fulani.Nimeilenga mitandao 3.Insta,FB na Whatsup.Pia kama kuna yeyote mwenye...
Habari wana Tech wa JF?
Naomba mnisaidie namna ya kufanya sms recovery kwenye smartphone yangu
Natumia samsung galaxy A05, Kuna wakati nakuta sms muhimu sana zimefutwa hata kwenye recycle bin hazipo
Nawezaje kuzirudisha?
Au ni download APP gani ambayo itakaa humo na kunitunzia hizo sms...
Mfugaji wa nguruwe tazama nguruwe walivyobadilika na kuwa na afya bora ndani ya muda mfupi tu na hii ni baada ya kuwapatia Virutubisho vya MAX PIG kutoka Mifugo Plus.
Nitoe wito kwa wafugaji wote Tanzania ambao hawajawahi kutumia Max pig kuanza kutumia mara moja.
Max Pig husaidia nguruwe...
Siku nyingine jengo likianguka na watu kunaswa kwenye underground, njia rahisi ya kuwatoa kwa haraka ni kuchimba shimo pembeni ya jengo (barabarani), kisha lilishafika kina cha usawa wa underground, inachimbwa tunnel itakayowekwa precast culvert za zege kuelekea kwenye jengo, kisha pipe za...
Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje kupata maarifa kwa ufanisi kuhusu jambo lolote unalotaka kujua? Hapa chini, tutaangalia njia mbalimbali...
STORI FUPI: JINSI YA KUTAFUTA FURAHA YAKO.
Alitokea mwanamke mmoja aliyevalia nguo za gharama sana, kwa kumtazama tu ilitosha kutambua kuwa ni dada wa kitajiri. Basi alienda kwa mwanasaikolojia akamwambia kuwa
“Sina furaha na maisha yangu nipo na huzuni, yani kiufupi maisha yangu hayana maana...
Katika siku za hivi karibuni, visa vya utekaji nyara vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara. Watekaji nyara hawa mara nyingi hujifanya kuwa maafisa wa upelelezi au polisi ili kuwateka nyara watu.
Hata hivyo, ni muhimu kujua kwamba maafisa halisi wa upelelezi au polisi hawatawahi kuomba ushirikiano...
Wakuu, nimejiajiri kwenye biashara ndogo ndogo
Mwenye picha au wazo, jinsi ya kutengeneza hiyo baiskeli yenye uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, fenesi, madafu na matunda mengine
Naombeni picha au wazo nmpe fundi
Natanguliza shukurani
Nimesikia Radio Moja hapa nchini ikitangaza mpango wa kujiunga na Green Card kuwa single ni 20,000, na familia 30000/- Huu ni wizi kama wizi mmwingine! Ilitakiwa watoe elimu jinsi ya kujiandikisha na sikuwatoa pesa! Wanakusanya pesa nyingi unaweza kukuta hata katika walioomba asipata hata mtu...
Mko poa kwenye jamii kuna changamoto nyingi sana zinabidi ziwe sort out kwa njia ya tech maana now tech inakua saana.
Sasa hapa kuna watu wa aina 2 mwenye uwezo wa kutengeneza mifumo ila hana ideas na .Kuna mwenye Idea ila hajui kutengeneza sasa lengo la huu ni kuwakutanisha hawa wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.