jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania Msaada Wa Jinsi Ya Kuwasha Data kwenye simu ya Sony SOV39

    Msaada tutani wakuu nimsaidie jamaa yangu Sehemu ya data ipo on lakini kwenye screen haionekani kuwa on, hata ukiingia mtandaoni hapafunguki
  2. Unavoidable Servant

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika mchicha wa mafuta mchanganyiko na dagaa wa kukaanga

    Mambo yasiwe mengi napenda zaidi mchicha wa mafuta wenye mchuzi maana yake nyanya inahusika, naomba kujuzwa formular nataka kutowa kitu na ugali. Mahitaji ni nini na nini na kiwango chake.
  3. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Msaada nnataka kusoma online university vya nje nahitaji kujua jinsi ya kutambua vyuo vinavyotambulika

    Habari zenu wataalamu wa IT shida yangu km nilivyoandika hapo kwenye heading msaada please sihitaji cheti Mimi nnataka ujuzi wa IT ethical hacker nna diploma ya ict
  4. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kujiunga na space twitter

    Mjadala wa kesho nataka nisikose
  5. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua ibada ya kweli isiyo ya kweli

    Katika ibada ya uaguzi nabii anakazana kukuambia nani kakuroga, ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa.
  6. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Barack Obama: Jinsi ya Kutojisikia Kukata Tamaa - Simama, Chukua Hatua, na Lete Matumaini!

    Barack Obama aliwahi kusema hivi: "The best way to not feel hopeless is to get up and do something. Don't wait for good things to happen to you. If you go out and make some good things happen, you will fill the world with hope, you will fill yourself with hope." Tafsiri hisiyo rasmi ni kuwa...
  7. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakuwa move free on laptop...

    Nishirikishe kwa kunielekeza site ipi na weza pata latest move for free... Kama ni Utorent basi nipatie Link ni goes on of it... Natanguliza shkran za Dhati.
  8. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza umakini (mawazo) katika mipango ya maisha

    Wasalaam ndugu zangu waswahili, Leo nina hoja nzito saana upande wangu naomba tupeane ushauri mzuri tafwadhali... uki comment kebehi utalaaniwa immediately. Ni hivi kwanza nini siri ya kufanikiwa katika maisha?? Binafsi nilikua na ndoto kubwa saana kiasi kilinisukuma kuset appointment ikulu...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kumuacha mwanamke aliyekuganda

    Wakuu poleni na majukumu. Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa tunaongea fresh tu kirafiki simu yake ilipata tatizo nikamtengenezea hapo ndipo alipopata namba yangu...
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuteua Mgombea wa Urais - Hayati Mwalim Nyerere

    Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere akisimama na kuhutubia mkutano mkuu wa kuteua Mgombea Wa CCM bara katika nafasi ya Urais . Alizisitiza "Watanzania wanataka mabadiliko , wasipo yapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM". Aidha mwalimu Nyerere aliwataka wajumbe kuteua Mgombea atakayekidhi matakwa ya...
  11. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Naomba anaejua anifundishe jinsi ya kuanza kuhubiri neno la Mungu

    Habari wakuu Kama kichwa kinavyosema hapo juu naomba msaada,pia kama Kuna group za Whatsapp naomba kuunganishwa.
  12. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Tupeane nondo jinsi ya kupita kwenye usaili wa tume ya taifa ya uchaguzi

    Afisa mwandikishaji jimbo la tabora mjini seif. S. Seif ametoa tangazo la walioitwa kwenye usaili wa waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki jimbo la tabora mjini utakaofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya manispaa ya tabora siku ya tarehe 11-12/7/2024 kuanzia saa 8:00AM...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usitafute mwanamke mzuri kuwa katika hali hii. Jinsi ya kutambua Mwanamke aliyembele yako ni mzuri

    USITAFUTE MWANAMKE MZURI UKIWA KATIKA HALI HII. JINSI YA KUTAMBUA MWANAMKE ALIYEMBELE YAKO NI MZURI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usibabaishwe na mawigi, usichanganywe na makeup, usivurugwe na powder sijui manjano masikala. Usije ukalaghaiwa na mavazi na miondoko na mikogo. Usijichanganye...
  14. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nifundisheni jinsi ya kuwaingia watu wakubwa VIP!! Sina kazi sina mchongo Nashindwa Kuongea na Maboss

    Wakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa. Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss. Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal. Gear ya kuingia sina. Kuna mmoja hapa...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza jina la biashara kwenye TIN number

    Habari wakuu, Nimeenda Voda shop kusajili LIPA number yenye jina la biashara nikiwa na leseni yenye jina la biashara na TIN yangu ya biashara. Nikaelezwa ili nisajili LIPA namba ya namna hiyo inatakiwa nipate TIN number yenye jina la Biashara. Je kuna mwenye uzoefu aliyewahi kuongezea jina la...
  16. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi ya kuboresha mifumo ya kielektroniki katika manunuzi ya serikali ili kuondoa rushwa na ubadhirifu

    Kuboresha na kuimarisha mifumo ya kieletroniki ya manunuzi ya serikali ya Tanzania ni hatua muhimu katika kupambana na rushwa na ubadhirifu. Hapa nimeeleza baadhi ya njia za kufanya: Uwazi na Uwajibikaji Kuongeza uwazi kwa kutoa taarifa za manunuzi hadharani kupitia mifumo ya kieletroniki...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Msaada! Jinsi ya kuacha ngono iliokithiri

    Wakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee Naombeni msaada Wakuu
  18. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutumia Teknolojia na Mitandao ya Kijamii Kukuza Biashara Yako Nchi Tanzania

    Teknolojia na mitandao ya kijamii zimeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ulimwenguni, na Tanzania siyo tofauti. Kwa kutumia teknolojia ipasavyo, wafanyabiashara wanaweza kuongeza ufanisi, kufikia wateja wengi zaidi, na kuongeza mauzo yao. Makala hii itachunguza jinsi wajasiriamali...
  19. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuleta kozi hapa jinsi ya ku-apply na kutoboa Upwork. Lakini naomba tusemezane kwanza...

    Habari wanaJF, Ni mimi tena (It's me again). katika pita pita zangu, nimeangukia kozi moja makini ambayo naweza kuileta kwenu kwa ajili ya kusaidia wanaotaka kufanya kazi Upwork. Nina account huko, na nimefanikiwa pakubwa. Kozi screenshot yake hii hapa: Niliipata kwa mKenya fulani hivi...
  20. Mfugaji123

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Jinsi ya Kufanya Biashara kwenye internet ( Mtandaoni)

    Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya Statista hadi kufikia January 2024, karibu asilimia 18.9 ya watanzania walifanya manunuzi na kulipa...
Back
Top Bottom