jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kujisajili website ya Zimamoto

    Uzi tayari.
  2. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuandika maandishi mahali na kuyahifadhi ili baadae kuyachapisha au kuyahamishia mahali pengine

    Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote. Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost...
  3. magnifico

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeza beat simple ya Trap kwenye fl studio

    Habari wakuu. Ningependa kushare nanyi ujuzi wangu mdogo katika kutengeneza beat ya trap. Kwa watakaohitaji FLP yake niunge mkono kwa kusubscribe na niandikie tu katika email hii nami nitakupatia bila wasiwasi. sgbsupertech@gmail.com https://youtu.be/FAs5ySOAN5c
  4. Moaz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua Propaganda za Watawala kutoka kwa Noam Chomsky

    Noam Chomsky, mmoja wa wanafikra wakubwa wa zama zetu, ameandika sana kuhusu propaganda na jinsi serikali pamoja na vyombo vya habari vinavyotumia mbinu mbalimbali kuwadhibiti wananchi kwa kuwapa taarifa zilizopindishwa au kupotoshwa. Kupitia kitabu chake Manufacturing Consent (alichoandika na...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mawazo 114 ya Biashara na mitaji yake: Hatua kwa Hatua: Jinsi ya Kuanzisha Biashara 114

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani unahitajika...
  6. BUSINESS IDEAS ACADEMY

    JamiiForums Tanzania Aina za mitaji ya biashara na jinsi ya kuipata

    Katika safari ya ujasiriamali, mtaji ni moja ya changamoto kubwa inayowakumba wafanyabiashara wengi. Bila mtaji wa kutosha, ni vigumu kuanzisha au kukuza biashara yako. Hata hivyo, kuna aina mbalimbali za mitaji unayoweza kutumia kulingana na mahitaji na uwezo wako. Leo, tutajadili aina kuu za...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutibu kuvu (fangasi) sugu za miguuni

    Fangasi miguuni (nyungunyungu) au athlete's foot kwa jina la kitaalamu, ni tatizo linalowasumbua baadhi ya watu. Watu wenye tatizo hili mara nyingi hujikuta wakitumia tiba mbalimbali za kisasa bila mafanikio. Kama mchango kwa jamii nimeona leo nishiriki na watakaojaliwa kupitia post hii...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa jinsi ya kuhifadhi mafuta ya nguruwe yasiharibike

    Baada ya kuona wataalamu mbalimbali wakishauri tutumie zaidi mafuta ya kupikia yatokanayo na wanyama badala ya mbegu nimeona mafuta ya nguruwe yatanifaa. Nimepata wazo la kwenda kuyanunua buchani na kuyatayarisha kisha kuyahifadhi. Sasa ninaomba kwa anayefahamu namna nzuri ya kuyahifadhi ili...
  9. Steven Sambali

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona sayari kwa macho

    Wengi wameandika kuhusu kuangalia sayari zkuanzia jana ila hawajaweka urahisi wa jinsi ya kuziona kwa macho pale anga likiwa jeupe bila mawingu. Nitatoa maelezo kidogo ili kuwasaidia wengi waweze kuziona. Haya maelezo ni kwa wale wapo karibu na Ikweta zaidi. Ukiwa mbali na Ikweta basi utaona...
  10. K

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iangalie jinsi ya kuondoa kero ya moshi karibu na Uwanja wa Nyamagana, Mwanza

    Uwanja wa Nyamagana ambao upo katikati ya Jiji letu la Mwaka ni moja ya sehemu ambayo inatukutanisha Wadau wengi wa michezo hasa mchezo wa miguu. Pamoja na maboresho ambayo yamefanyika uwanjani hapo lakini bado changamoto ni suala la moshi unaotokana na mapishi unaotawala eneo hilo mara nyingi...
  11. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujitayarisha na Kujibu Aptitude Test au Written Test Usaili wa walimu

    Jinsi ya Kujitayarisha na Kujibu Aptitude Test au Written Test 1. Tambua Majukumu Yako ya Kazi Anza kwa kuelewa kwa kina majukumu yako ya kazi. Unganisha majukumu hayo na dhana maalum, kanuni za utendaji, au moduli zinazohusiana. Hii itakusaidia kuelewa lengo la swali, nini kinachopimwa, na...
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi

    Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi Kabla ya kuingia kwenye somo hili, ni muhimu kufahamu kuwa uhusiano wa kweli unapaswa kujengwa kwenye msingi wa upendo, heshima, na uwazi. Hata hivyo, kwa wasichana walio kwenye mahusiano, kuna njia za kimaadili za kumfanya...
  13. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujua Kama Mwanamke Anakupenda au Hakupendi

    Dalili za Mwanamke Kukupenda Anaonyesha Kupenda Kuwepo Karibu na Wewe Atafurahia kutumia muda na wewe, hata kama ni kwa mambo madogo kama kupiga stori au kushiriki shughuli zako. Hutafuta sababu za kuwasiliana, kama vile kutuma ujumbe au kukuuliza maswali yasiyo ya lazima ili tu muendelee...
  14. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kama mwanaume anakupenda au hakupendi

    Dalili Kwamba Anakupenda Anaonyesha Kujali kwa Moyo wa Dhati Anakufuatilia kujua hali yako (mwenendo wako wa kila siku, afya yako, au matatizo yako). Anachukua hatua kukusaidia bila ulazima, iwe kwa kukushauri au kukutegemeza. Anaweka Muda wa Kukaa na Wewe Licha ya ratiba zake kuwa na...
  15. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kuuza Nguo au Kufanya Biashara ya Nguo

    Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana. 1. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza Kabla ya kuanza, lazima uamue...
  16. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kutumia Social Media kama Instagram, X, na Facebook

    Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za kupata pesa online kupitia majukwaa kama Instagram, X (zamani Twitter), na Facebook. 1. Kuanzisha...
  17. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya ili ulimwengu ukusikilize

    Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela 💞UMSIKILIAYE NDIYE AKUSIKILIZAYE 🗣️Kuna vitu katika jamii vikifanyika vinachukuliwa Kama uchawi au kiini macho, Siyo kwamba kiini macho hakuna, vipo na vinafanyika kila siku pasipo wengi wetu kuvitambua Kama Ni viini macho. ✍️Ulimwengu wote...
  18. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania From scratch: Jinsi ya kuwa dalali popote pale ulipo.

    Eeeh wakuu, Leo nitavunja code ya udalali kwa watu wote ambao wanalala hawajui wakiamka waende wapi wakatafute ridhiki. Hii code kanipa jamaa aliyekuja huku bariadi kwa ishu zake namimi nimeona niwape bure. NILIMUULIZA ULIANZAJE ANZAJE KAZI YA UDALALI Akanijibu short tu, "nilishikwa mkono...
  19. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua thamani ya coin unayotaka kuinunua

    Kwa kawaida, watu wengi, hasa wale wanaoanza safari yao kwenye ulimwengu wa cryptocurrency, mara nyingi hupenda kuangalia bei ya coin. Wanafikiria, “Hii bei ni ndogo sana! Acha ninunue kabla haijapanda!” Lakini, rafiki, ngoja nikushike mkono na kukuonyesha siri kubwa ya soko hili kwani bei ya...
  20. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanza na Kufanya Online Business Bila Mtaji wa Pesa (Uzoefu wangu)

    Nimeanza kufanya biashara mtandaoni (online business) tangu mwaka 2021 na hii ni njia bora ya kujiongezea kipato bila ya kuwa na mtaji mkubwa wa pesa. Nitakueleza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kuanza biashara ya mtandaoni ukiwa huna mtaji wowote wa pesa. Hapa ni mambo ya msingi unayohitaji...
Back
Top Bottom