jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ni biashara ya familia au utemi?

    Nineajiriwa kwenye shirika moja la serikali ambalo tunahudumia wafanya biashara kadha na kadha, nipp lwenye kitengo cha accounts kwa hio wengi wao najua hali zao kwenye faida, madeni, sales, n.k. Katika moja wapo ya wafanya biashara kuna mfanya biashara kiukweli yupo fresh, si haba, nje ya...
  2. JamiiForums Tanzania Jina la asili la ziwa Tanganyika ni lipi? Na neno Tanganyika linamaanisha nini?

    Kabla ya wazungu kuja Ziwa victoria lilikuwa linaitwa Nyanza. Maana ya Nyaza ni eneo pana lenye maji(Ziwa). Hata jina Rasmu walililipa wazungu ni Victoria-Nyanza. Hata ziwa Nyasa ni hivyohivyo. Neno Nyasa na neno Nyanza yana maana moja. Sasa hili neno Tanganyika linamaanisha nini? Na kuna jina...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Juma KILAZA na asili ya neno KILAZA

    Siku za hivi karibuni neno KILAZA limepata umaarufu na kutumika kwa kasi kubwa hapa nchini. Neno KILAZA limepata umaarufu baada ya Rais Magufuli kuwaita VILAZA wanafunzi 7802 (special diploma) waliofukuzwa chuo kikuu cha Dodoma na kuwataka wakatafute vyuo vya saizi yao ya UKILAZA. Kama lilivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Mfahamu Binti Mfalme wa Dola ya Mongolia Aliyefahamika kwa Jina la Khutulun

    BINTI MFALME WA DOLA YA MONGOLIA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA KHUTULUN. Khutulun alikuwa binti wa pekee wa Kaidu Khan ambaye alikuwa ni kizazi cha mfalme wa dola ya mangolia Ganghis Khani shujaa aliyeogopwa kwa ukatili dunia nzima. Dola hiyo ilipatikana Asia ya kati na ilikuwa ikijulikana kwa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni jina la Movie Hii

    Inazungumzia muuaji anayeua wanawake wenye nywele ndefu
  6. JamiiForums Tanzania Azam tv msirushe tamthilia yenye jina hili, mtakosea

    Unyanyapaa ni kosa sawa na makosa mengine, hasa likifanywa na taasisi Wafanyakazi wa ndani ni kundi kubwa sana kwenye jamii zetu, ambao kazi zao ni muhimu sana. Kazi Yao inawaingizia kipato lakini pia inasababisha utulivu mkubwa maofisini miongoni mwa watumishi wenye watoto wadogo nyumbani...
  7. JamiiForums Tanzania Tupia jina la beki wa kati aliyestaafu ambaye ulikuwa unamkubali sana

    Mimi naanza na Nemanja Vidic kwa nje na kwa hapa nyumbani namkubali sana Salum Swedi Kusi. Endelea na wewe...
  8. JamiiForums Tanzania Facebook wabadili jina, sasa kuitwa Meta

    Hivi karibuni facebook walitangaza kuwa watabadili jina. Leo wametangaza jina lao jipya kuwa ni Meta. Meta ilikuwa initiative ya mke wa Mark, leo Facebook imebadili jina na kujiita Meta. Nguvu ya mapenzi hii. Karibu meta. --- Facebook has changed its corporate name to Meta as part of a...
  9. JamiiForums Tanzania Meya Mji wa Moshi awa mkandarasi ujenzi wa madarasa kwa fedha za IMF

    Bila mkuu wa wilaya ya Moshi kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasi wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa Moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa. Swali la msingi, halmashauri imempata mkandarasi asiyejulikana...
  10. JamiiForums Tanzania Facebook yajipanga kubadili jina

    Facebook Inc. imepanga kubadilijina ili kuendelea kushikilia soko la mitandao ya kijamii. CEO na Mmiliki wa kampuni hiyo, Mark Zuckerberg amesema atalitaja jinajipya Oktoba 28 katika mkutano mkuu wa mwaka wa kampuni. Facebook imesema haitajibu masuala ya uzushi yanayoenezwa dhidi yao. ===...
  11. JamiiForums Tanzania Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

    Leo nimetafakari sana juu ya hili jambo, kwa maana wanachama wa humu wa JF wakitumia majina pamoja na picha zao halisi kutaleta faida zifuatazo: 1. Kutaongeza kuheshimiana, endapo kila member humu atatumia jina pamoja na picha yake halisi kutapelekea kuheshimiana kwa kuwa member wengi humu...
  12. JamiiForums Tanzania Napata shida kuelewa kwanini Rais Samia kamuajiri Tonny Blair kuhusu COVID-19 na kurejesha jina zuri Tanzania

    Huyo Tonny Blair tuko wengi tunamuona kama mzandiki fulani. Alimuunga mkono Bush kuivamia Iraq kwa sababu za uongo eti kuna silaha za maangamizi wakati ni uongo. Nchi nyingine za Ulaya zilisita ila Tonny Blair akawa kimbelembele na wakaiangamiza Iraq tokea uchumi, watu wake hadi miundombinu...
  13. JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Kisandu sio Ukoo wangu na halikuwa jina Langu kiukoo na ndio maana Ukoo wa Kisandu haufanani kisura nami DJ. Don Nalimison

    Salaam wapendwa katika Malaika wa Mungu na Mungu Mkuu mwenye nguvu. Wengi wamekuwa wakiniuliza Sana kuhusu ubini wa KISANDU inbox, naomba leo ni jibu. Baba yangu Mzazi alipoondoka kurudi kwao Marekani alinikabidhi kwa rafiki yake Abdalah Kisandu pale Kahama, SHINYANGA na hivyo Ukoo wa Abdalah...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alisoma vyuo gani huko Afrika Kusini na China?

    Kila siku anafanyiwa interviews na press conferences anafanya lakini sijawahi kusikia akiulizwa hili swali kabisa, Jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni msomi aliyebobea. Binafsi nilimsikia kipindi cha amplifier akihojiwa na Millard Ayo akijinasibu kwamba anayo DEGREE YA MASS COMMUNICATION toka...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafuta fedha au ingia mkataba na sekta binafsi wajenge uwanja wa Mpira wa kisasa Dodoma

    Raisi Samia, utafanya yote, ila kama unataka kuacha jina, basi fanya kila uwezalo kuhakikisha eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa mkoani Dodoma ujenzi huo unaanza na kukamilika kabla ya 2025. Kwa ukimya uliopo na muda uliokwishapita, ni vigumu sisi wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

    Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
  17. JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee ajifungua, apewa jina la kichifu la Kipare na Igbo

    Mtoto anaitwa Seven Adeoluwa Akinosho Naaam, mtoto kuingia nchini siku yoyote kukabidhiwa rasmi uchifu. Hongera dada la dada Vanessa Mdee na shemu yetu
  18. JamiiForums Tanzania Wadau anaefahamu mwimbaji wa hii nyimbo au jina la hii nyimbo anisaidie tafadhari ni nyimbo ya kikorea

    Msaada wa hii nyimbo ya kikorea kwa anayejua Nani kaimba na jina la wimbo
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika tunapenda sana kuwapa watoto wetu majina ya Ulaya, Asia n.k?

    Jina ni neno au maneno anayopewa mtu au kitu au hali Fulani Nataka kujikita kwenye jina tunalopeana watu. Kwanini Waafrika tunapenda sana kuwapa watoto wetu majina ya Ulaya, Asia n.k., lakini sisi tuna maneno katika lugha za Kiafrika. Kwanini usumbuke uingie kwenye mtandao na penginepo...
  20. JamiiForums Tanzania Comment Jina lako la utani na maana yake

    Naanza na langu, Wananiitaga Tembo maana nna mkonga. wewe je.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…