Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!?
Nilikuwa nimeamua kutosema lolote kuhusiana na hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu (kuwa bubu) pamoja na kwamba nilikuwa...
Yaani Mtu Kaiba na Kaua au amesababisha Hatari Kubwa ama katika Jamii au Nchi halafu akihukumiwa na Mahakama kwenda Jela Kisheria asiitwe tena Mfungwa na sasa aitwe Mwanafunzi?
Kwahiyo Mbakaji awe anaitwa Mwanafunzi Mbakaji, Muuaji nae awe anaitwa Mwanafunzi Muuaji huku Jambazi nae awe anaitwa...
Kutokana na mgogoro uliopo hapo ulaya nimesikia kwenye vyombo vya habari mbalimbali lakini vikitaja majina tofauti.
VOA, Mwananchi,Milard Ayo wanasema,wanatamka au kuandika jina Russia lakini BBC,DW wanaripoti jina Urusi.
Sasa swali ni jina gani la kiswahili sahihi kutumika? Russia ni...
Je, kuna ubaya gani ikitokea hivyo?
Imagine wewe ni Juma, lakini wakat una sex na mpenzio anamtaja Benja😅😅😅
Au wewe ni Asha, una sex na Mohammed, mudi wakati yuko katikati ya unono anamtaja Hamida😅😅😅😃😃
Sikatai kumuenzi Mwalimu nyerere,
Lakini hii kasumba ya kumuenzi Mwalimu kwa kuita Majengo jina lake Naona sasa Imepitwa na wakati!
Ifahamike Mwalimu hakuwa malaika! Hivyo tunaweza kufanya bora zaidi kutoka pale alipoishia yeye!
Kuita Shule ya Mwalimu nyerere, ni kuweka speed gavana kwenye...
Wakuu nawasilimuni,
Nimebaini kwamba baada ya jina la Katibu wa Bunge wa sasa Mh. Nenelwa J. Mwihambi kumekuwa na kifupisho cha 'ndc'. Napenda kufahamu nini maana ya kifupisho hicho?
Shukrani!
Imekuwa kawainda mtu fulani kuitwa jina la kabila lake au sehemu anayotoka na jina hilo kumkaa na kukubalika katika jamii anamoishi ugenini kufanya shughuli zake. Majina ambayo yamekuwa maarufu sana utasikia mtu akiitwa muha, mchaga na mpemba, akiwa na duka panaitwa kwa muha, kwa mchaga na kwa...
Habari ya mtandaoni kwasasa ni watu kupita na magari, bajaji, pikipiki, bodaboda katika daraja jipya la Tanzanite.
Wapo wenye kuisifu Serikali ya Mama, Wengine wanamuenzi Magu, wengine wanalaumu kuwa kwanini lisingejengwa Jangwani n.k
Mimi binafsi nimeshangazwa na mkinzano wa jina na...
Nimejaribu kukumbuka kwa haraka haraka kuna kitu gani kinataja jina la Dr. Salim kwa kumbukumbu ya utumishi wake kwa taifa letu. Sijui kuna barabara au daraja gani limepewa jina lake. Ikumbukwe kwenye utumishi wa kimataifa hakuna mtu aliyeitangaza na kuacha alama kimataifa kama Dr. Salim A...
1. Awe ni TISS Agent
2. Awe ni Mmedani ( JWTZ ) Mstaafu
3. Awe Lawyer na Diplomat tu
ANGALIZO
Hakikisha awe ni Muislamu kwa Imani ( Dini ) halafu awe anatokea Visiwani ( Zanzibar Isles ) na kamwe asitokee huku Kwetu Tanzania Mainland.
Mheshimiwa Rais wangu Samia kama ambavyo hukuniangusha...
Jeshi la polisi mkoa wa Manyara katika operesheni zao, wamegundua kiwanda bubu kilichopo Mtaa wa Ngarenaro mjini Babati, kinachozalisha pombe kali feki zinazofungashwa kwenye vifungashio vya kampuni ya Konyagi.
Jeshi hilo limekamata shehena ya pombe hizo feki huku wakiwaweka wafanyakazi wa...
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?
Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi...
SIKU moja mara baada ya aliyekua Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kutangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake wa Uspika, baadhi ya wakazi wa Shinyanga wametoa maoni yao kuhusiana na maamuzi yake hayo.
Mmoja wa wakazi hao, ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania...
Wadau nafasi ya Spika ndio hivyo iko wazi. Na kwa kuwa kwa mujibu wa Katiba (iliyopo) mgombea nafasi ya uspika sharti apendekezwe na chama ni muafaka kwa vyama hususan vyenye wabunge kupendekeza majina ya wagombea kupitia vyama vyao.
Nawashauri ACT Wazalendo waitishe press chap watutaarifa jina...
Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi.
Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe
Haya matunda nilibahatika kuyala nikiwa mdogo na wakati huo sikufanikiwa kujua hata yalikuwa yanaitwaje ila ninacho fahamu ni kwamba yana ladha nzuri sana ya utamu ambayo hauwezi kufananisha na matunda mengine.
Msaada wenu wakuu, nahitaji kupanda miti yake, ikiwezekana hata minne.
Natanguliza...
Kuna hawa watu ambao wanaitwa jina la utani "BIG" huwa kuna kaheshima fulani wanakuwa nako kwenye jamii.
Mfano nimepita mitaa fulani ya survey hapo karibu na Mlimani City, kuna jamaa fulani wanamuita BIG machapati. inasemekana huyu jamaa ndiye bingwa wa kutengeneza chapati tamu jiji zima la Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.