jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Una biashara lakini hujui kama unatakiwa kusajili Jina la Biashara au Kampuni? 🤔

    Usikimbilie kusajili bila kujua tofauti yake! Watu wengi huchanganya Business Name na Company, na mwisho wake wanaweza kuchagua mfumo usioendana na mahitaji ya biashara yao. Watu wengi wanaanzisha biashara lakini hawajui kama wanapaswa kusajili Jina la Biashara (Business Name) au kuanzisha...
  2. JamiiForums Tanzania RAIS MWINYI: Jina lako linapolomoka umaarufu kwa mradi usionatija wa MABASI

    Baba! Baba! Baba! Nimekuita mara tatu,hakuna mtu kajijengea jina zuri kwa marais ukiondoa Muasisi wetu karume kama wewe ,yaani Mheshimiwa umempiku mpaka Mzazi wako .Nia yako imethibitishwa hadharani wewe unaitakia mema Zanzibar ,toka ukanyage ikulu sijawahi kuona kasoro yako makuu ulofanya hata...
  3. JamiiForums Tanzania Ujinga wa waamini ndio ulizaa jina la "Atheists"

    Japo wasioamini mungu hukubali tu kuitwa atheists (wasioamini mungu) ila kiuhalisia ni ujinga tu wa binadamu ndio ulipelekea kuwepo hili jina au hii lebo. Jiulize kwa nini hakuna watu wenye lebo maalumu au wanaitwa wakataa/ wasioamini uchawi, wasioami spiderman, wasioamini uwepo wa sungura...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini makampuni ya simu mmeruhusu kusajili line za matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation, ili wawatapeli wananchi?

    Vodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
  5. JamiiForums Tanzania Tukio la kuuawa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sadiki mwenye umri wa miaka 19, 3 January 2004.

    Tukio la kuuawa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sadiki mwenye umri wa miaka 19, 3 January 2004, mkazi wa Iriboru mkoani Arusha, ni miongoni mwa matukio ya kusikitisha yaliyowahi kusimuliwa katika eneo hilo na ambayo, kwa mujibu wa simulizi za watu waliolifahamu tukio hilo, yaliibua...
  6. JamiiForums Tanzania Utata wa "identity" wa shahidi wa Jamhuri waibuka mahakamani. Inasemekana huyu Jina lake halisi ni Peter Jumamosi na sio Amin Mahamba...

    Picha: Huyu ndiye Amini Said Mahamba halisi ambaye ni marehemu. Alikuwa Askari Polisi ktk cheo cha SACP. ================= Ikumbukwe kwamba kumekuwa na minong’ono mingi kuhusu shahidi huyu (askari Polisi Amini Mahamba) kuhusu identity yake halisi ambaye ndiye mpelelezi Mkuu wa kesi hii...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya Machawa Majinga Fulani Kumkufuria Kaka, Akayapuuza kwa Kuyanyamazia Aka..., Sasa Yameanza Kumkufuria Dada!, Ayapuuze, Ayanyamazie au Akemee?.

    Wanabodi, Angalizo. Simple minds discuss people, great minds discuss ideas, hili sio bandiko la kudiscuss people, ndio maana hakuna jina la mtu yeyote limetajwa humu, hivyo nakuomba hata kama wewe ni simple mind, ukajisikia unawashwa washwa kutaja majina, nakuomba jifanye great mind kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Jina la Dossa Aziz Halikuwemo Katika Orodha ya Watunuliwa Medali

    https://youtu.be/8bHn7ojbnlo?si=p3RGwTUvj34OmroN
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Dossa Aziz Jina la Utani Walilompa ni ''Benki"

    Nukuu za Dossa Aziz na Harakati za Uhitaji Dossa Aziz anatajwa kama mtu aliyekuwa na utajiri mkubwa ambao aliutumia kufadhili chama cha TANU na viongozi wake: Dossa kama "Benki": Wakati wa harakati, bili zote za chakula na vinywaji za kamati ya ndani ya TANU katika hoteli ya Princess zilikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Namera Group of Industries wagomea mabadiliko ya jina la Kampuni hadi walipwe stahiki zao

    Wafanyakazi wa Kampuni ya Namera Group of Industries (T) LTD kilichopo Gongolamboto, Dar es Salaam wamefanya mgomo na kukusanyika nje ya kiwanda hicho wakilalamikia hatua ya mwajiri wao kubadilisha jina la kampuni hiyo bila kuwalipa stahiki zao na kuvunja mikataba yao ya awali. Wafanyakazi hao...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini Waafrika hawawapi jina la Yesu watoto wao?

    Kwa nini Waafrika Wakristo wanaogopa kuwapa jina la Yesu watoto wao wa kiume? Ulaya, Marekani Kusini na Kaskazini watoto wanapewa Jina la Yesu, Waarabu na Waislamu wanawapa watoto jina la Issa, Waafrika Wagalatia tu ndio wanaogopa kuwapa hili jina watoto wao !
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Angola, aambatana na Mama Maria Nyerere kuzindua hospitali ya Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
  13. JamiiForums Tanzania Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe

    Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;- Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli, Nakwa kuthibitishia hilo admin wa group hili la Maajabu Ya Dunia , Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua haya yafuatayo, Utafiti huu...
  14. JamiiForums Tanzania Naombeni jina la wimbo huu na aliyeimba

    Salamu ndugu zangu, na imani una siku njema. Naomba unisaidie jina la huu wimbo na aliyeimba.🫶
  15. JamiiForums Tanzania Sababu 5 zinazofanya usajili wa jina la biashara kuwa muhimu kuliko unavyofikiria

    usajili jina la biashara ni hatua muhimu kwa mtu anayepanga kuanzisha au kukuza biashara yake. Hizi ni faida zake: 1. Hulinda jina la biashara yako Jina likisajiliwa, linakuwa salama na linapunguza uwezekano wa kutumiwa na mtu mwingine. 2. Huongeza uaminifu kwa wateja Wateja huamini zaidi...
  16. JamiiForums Tanzania Mawakili wa TID kufungua kesi kudai fidia ya 500ml kutoka Bar ya Kitambaa Cheupe kwa kumchafulia jina

    Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe, kupitia Mkurugenzi wake Jessica Kikumbi, kulipa fidia ya Sh500 milioni. Katika notisi hiyo, T.I.D pia...
  17. JamiiForums Tanzania Njooni Tusemezane sasa, Neno au jina la Walokole limetokea wapi, na linamaanisha nini kwenye imani?

    Neno la Bwana katika Injili iliyoandikwa katika Mathayo 28: 19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; Je neno au jina la Walokole limetokea wapi? Je kuwa Mkristo ni hatua ya awali kisha ulokole ni daraja la juu? Je ni...
  18. JamiiForums Tanzania Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa?

    Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa? Watu wengi huwekeza muda, fedha na ubunifu kujenga biashara zao, lakini husahau kulinda kitu cha kwanza kinachowatambulisha, ambacho ni jina la biashara. Fikiria hali hii. Umeanzisha biashara, umetengeneza nembo, mabango, kurasa za mitandao...
  19. JamiiForums Tanzania Sheria za NIDA zinamruhusu Civilian-Coin Nalimi Kisandu(CIVILIAN-COIN) kubadili jina Moja lakini NIDA wamemuwekea vikwazo na hawaitambui Mahakama.

    Sheria za NIDA zinamruhusu Civilian-Coin kubadili jina Moja lakini NIDA wamemuwekea vikwazo. Kitambulisho Cha NIDA no. 19800628-33116-00002-22. Jina: Deogratius Nalimi Kisandu Ndicho kinachotakiwa kuhaririwa jina Moja, kutoka jina la ubatizo la kwanza "Deogratius" na kuweka jina jipya maarufu...
  20. JamiiForums Tanzania Jina la Yesu lina TBS kuzidi majina mengine yote

    Amani iwe nanyi wapendwa.......Back in days mimi ni under 30 leo nitatoa ushuhuda kidogo kuhusu huyu Yesu kristu aketiye mahali pa juu sana mbinguni 1. Niliitwa nikiwa chini kabisa · Zaburi 40:2 – "Akanitoa katika kisima cha uharibifu, na katika matope matepete; akasimamisha miguu yangu juu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…